Tabia nilizozishuhudia kwa baadhi ya wanaume wa Dar

Ishu sio umbeya, haya mambo mnayafanya kweupeeee kabisa, kwenu mnaona ni kawaida. Unahitaji macho tu.
Sasa mkuu mwezi tu umeyajua yote hayo sisi wengine tupo miaka mbona hatuyajui yote hayo, au umeletwa kuhudhuria vikao vya kina dada ndio ukayapata yote hayo?
 
Mbea sana huyu sijui kafata kuchunguza mambo yetu?
Nimemshangaa sana kwa kweli mbona mimi nilikwenda mkoa fulani nilitaka kutumia choo wakaniambia niende kutumia msituni. Kutawazia ati majani sasa mimi nikakata majani tu sijajua kama ulikuwa upupu dadekiiii sijenda tena mikoani
 
Watu wa mapolini huwa nawashangaa sana wakija Dar wanahadisia jamaa zao wote na wakisharudi huwa tiketi hawatupi ili kumuonesha kila mpolipoli mwenzake kuwa alikuwa mjini.sasa nakushangaa wewe sijui UMEFANYWAJE hadi unalalamika.
Sijafanywa kitu na hamwezi nifanya kitu, hii iko wazi kabisa, mko dhaifu sana, VITOTO VYA PANYA ROAD vinawaweka chini ya uvungu wa gari, counter na vitanda, ni nimeshangazwa na tabia zenu ambazo hazishabihiani na za mwanaume halisi.
 
Leo ndio nimejifunza kuwa dar sio mkoa. Nampongeza mwalimu wako aliekufundisha kwamba dar sio mkoa
 
Sasa mkuu mwezi tu umeyajua yote hayo sisi wengine tupo miaka mbona hatuyajui yote hayo, au umeletwa kuhudhuria vikao vya kina dada ndio ukayapata yote hayo?
Maana yake hujui kilichokuleta Dar zaidi ya kushangaa na kukaa kwa watu, kama unayembea kutoka sehemu moja hadi nyingine lazima barabarani utaonana na hivi vioja.
 
Mkuu hiyo no 9 niunga mkono 100% wakivamiwa utakuta hawana rungu wala sime ndani, basi utasikia " wooo wooo baba shabani mwiziiii" huyo bb shabani ni mpangaji mwenzie.
 
Maana yake hujui kilichokuleta Dar zaidi ya kushangaa na kukaa kwa watu, kama unayembea kutoka sehemu moja hadi nyingine lazima barabarani utaonana na hivi vioja.
Kwahio kuna wake za watu barabarani kukwambia kama haridhishwi na mumewe?
 
Duuh!! Calm down brother, weka kiporo. [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
------>Ulienda Dar kufatilia wanaume ama kufatilia dili za hela¿¿¿¿¿????....

-------> Wanaume wa "Mikoani" hatuna tabia za Umbeya na Ushambenga....

Kama umewahi kufika Dar unatembeaga na pamba masikioni? Unatembeaga huku macho yamefumbwa?? Ni macho na masikio yako kushuhudia haya mambo.
Hili sio suala la umbea na ushambenga kama ulivyoliweka, ni suala la kuwaambia WANAUME WA DAR ES SALAAM WAWE WANAUME HALISI. Wanaaibisha wanaume wa Tz, mtu wa nje akija Dar hachelewi kusema wanaume wa Tz kisa kawaona WANAUME FEKI WA DAR. Lazima waambiwe ukweli na wabadilike, wawe wanaume wa kweli na wanaume halisi. Kama wewe jamaa ni mwoga, kaa na uwoga wako kwa kudai ni umbea, mimi nimewambia kwa niaba ya wanaume wengi wa mikoani kuwa waache hizo tabia.
 
Sijafanywa kitu na hamwezi nifanya kitu, hii iko wazi kabisa, mko dhaifu sana, VITOTO VYA PANYA ROAD vinawaweka chini ya uvungu wa gari, counter na vitanda, ni nimeshangazwa na tabia zenu ambazo hazishabihiani na za mwanaume halisi.
Kwi kwi kwi kwiiiii, teteteteteeh, uwiii mbavu zangu! [emoji1] [emoji1] [emoji1] Unataka kusema wanaume wa Dar wanashindana tabia na madem zao,!! Duuh! Kaaazi Kweli kweli. Ushaambiwa wanaume wa Dar ni haohao wa mikoani
 
Vijana wa mashambani baada ya mvua kukata sasa wanapata muda wa kupost huku wakiwa juu ya miti....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…