The_future
JF-Expert Member
- Jan 30, 2015
- 215
- 162
Wananunua magari kwa kuiga wachache wenye uwezo na pia kudanganya watu ila wese linawapiga changa.No. 13 ufafanuzi plz
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wananunua magari kwa kuiga wachache wenye uwezo na pia kudanganya watu ila wese linawapiga changa.No. 13 ufafanuzi plz
Umeifanyia nini dar? Au ndo wale wale!Mbea sana huyu sijui kafata kuchunguza mambo yetu?
Sasa mkuu mwezi tu umeyajua yote hayo sisi wengine tupo miaka mbona hatuyajui yote hayo, au umeletwa kuhudhuria vikao vya kina dada ndio ukayapata yote hayo?Ishu sio umbeya, haya mambo mnayafanya kweupeeee kabisa, kwenu mnaona ni kawaida. Unahitaji macho tu.
Natumai hili swali sio langu, mimi sio mkazi wa Dar.Ww umeifanyia nini dsm
Kwa kigezo kipi?i bet huyo demu wako anatamani aolewe na wanaume wa dar!
Nimemshangaa sana kwa kweli mbona mimi nilikwenda mkoa fulani nilitaka kutumia choo wakaniambia niende kutumia msituni. Kutawazia ati majani sasa mimi nikakata majani tu sijajua kama ulikuwa upupu dadekiiii sijenda tena mikoaniMbea sana huyu sijui kafata kuchunguza mambo yetu?
Sijafanywa kitu na hamwezi nifanya kitu, hii iko wazi kabisa, mko dhaifu sana, VITOTO VYA PANYA ROAD vinawaweka chini ya uvungu wa gari, counter na vitanda, ni nimeshangazwa na tabia zenu ambazo hazishabihiani na za mwanaume halisi.Watu wa mapolini huwa nawashangaa sana wakija Dar wanahadisia jamaa zao wote na wakisharudi huwa tiketi hawatupi ili kumuonesha kila mpolipoli mwenzake kuwa alikuwa mjini.sasa nakushangaa wewe sijui UMEFANYWAJE hadi unalalamika.
Maana yake hujui kilichokuleta Dar zaidi ya kushangaa na kukaa kwa watu, kama unayembea kutoka sehemu moja hadi nyingine lazima barabarani utaonana na hivi vioja.Sasa mkuu mwezi tu umeyajua yote hayo sisi wengine tupo miaka mbona hatuyajui yote hayo, au umeletwa kuhudhuria vikao vya kina dada ndio ukayapata yote hayo?
we muulize atakuambia.Kwa kigezo kipi?
Kwahio kuna wake za watu barabarani kukwambia kama haridhishwi na mumewe?Maana yake hujui kilichokuleta Dar zaidi ya kushangaa na kukaa kwa watu, kama unayembea kutoka sehemu moja hadi nyingine lazima barabarani utaonana na hivi vioja.
Duuh!! Calm down brother, weka kiporo. [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Nimethibitisha kitu kingine kuwa mnadinyanya huko, maana kila mwanaume wa Dar lazima aandike hivyo, sio sifa ya mwanaume hiyo, eidha mfanyaji au mfanywaji, mna mapungufu makubwa ya kuwa wanaume kamili.
Hivi unajua kuwa huku tulipo ndo tunawalisha nyie? Nchi gani mnaendesha nyie? Viwanda vyote vya Dar vinatoa mali ghafi bara, pato kubwa la nchi msingi wake ni bara, unajua hilo au? Dar mmetuzidi foleni na joto. Pia ambacho mnacho huko na bara hatuna ni HAO WANAUME WENYE SIFA HIZO HAPO JUU. Wako lukuki huko.
------>Ulienda Dar kufatilia wanaume ama kufatilia dili za hela¿¿¿¿¿????....
-------> Wanaume wa "Mikoani" hatuna tabia za Umbeya na Ushambenga....
Kwi kwi kwi kwiiiii, teteteteteeh, uwiii mbavu zangu! [emoji1] [emoji1] [emoji1] Unataka kusema wanaume wa Dar wanashindana tabia na madem zao,!! Duuh! Kaaazi Kweli kweli. Ushaambiwa wanaume wa Dar ni haohao wa mikoaniSijafanywa kitu na hamwezi nifanya kitu, hii iko wazi kabisa, mko dhaifu sana, VITOTO VYA PANYA ROAD vinawaweka chini ya uvungu wa gari, counter na vitanda, ni nimeshangazwa na tabia zenu ambazo hazishabihiani na za mwanaume halisi.