The_future
JF-Expert Member
- Jan 30, 2015
- 215
- 162
Asante, salaam ziwafikie wanaume wote wa Dar slum niliowagusa.haya wanaume wa Dar tumekusikia ila sio wote wenye uchafu huo haya bas tuma salam kwa watu wa tatu tafadhari
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante, salaam ziwafikie wanaume wote wa Dar slum niliowagusa.haya wanaume wa Dar tumekusikia ila sio wote wenye uchafu huo haya bas tuma salam kwa watu wa tatu tafadhari
Mimi ni mwanaume ambaye sio wa Dar. Baada ya kushuhudia haya mambo, najivunia sana kuwa wa mkoani, kama mnavyotuita.Wewe ni mwanaume ,shoga au mwanamke?
Ima maana wanaume wa Dar wanaoa wanaume wenzao pia? Hii itabidi niionheze ktk list.Siku wakikuoa ndiyo utawajua vizuri wanaume wa Dar
Kumbe hii nayo ni tabia yao? Basi hatari.Inasemekana uliombwa Nyago na midume ya Dar
We subiri kiama. Utashangaa unalowea Dar na kuwa wa Dar. Unadhani wote unawaona wamezaliwa Dar?Ima maana wanaume wa Dar wanaoa wanaume wenzao pia? Hii itabidi niionheze ktk list.
Sio rahisi, nina shughuli huku bara ndogo ila nzuri tu ambayo mi ndo bosi wangu. Nitafika kushangaa hivi visa labda kwa wiki, nikiwasimulia huku kuhusu hivi visa wanaona kama nawadanganya, nitakuwa naja nao kuja kutalii, maana hawa wanaume watakuwa kama kivutio cha utalii.We subiri kiama. Utashangaa unalowea Dar na kuwa wa Dar. Unadhani wote unawaona wamezaliwa Dar?
Tatizo ukifika Dar company yako ni vijiweni. Dar ndiyo Tanzania.Sio rahisi, nina shughuli huku bara ndogo ila nzuri tu ambayo mi ndo bosi wangu. Nitafika kushangaa hivi visa labda kwa wiki, nikiwasimulia huku kuhusu hivi visa wanaona kama nawadanganya, nitakuwa naja nao kuja kutalii, maana hawa wanaume watakuwa kama kivutio cha utalii.
Pia wanapenda Magari ya wanaume wenzaoHabari za mchana mabibi na mabwana. Nina uhakika leo wengi mpo nyumbani au mmeenda matembezini kujinafasi na hii sikukuu ya Pasaka. Wengine pia mpo kazini mkipiga kazi.
Sio lengo langu kuongea kuhusu watu hasa wanaume, na sisi vijana wa shoka ambao ni wa "mkoani" kama tunavyoitwa na wana Dar slum SIO HULKA YETU ila kwa sababu ni wanaume wa hapa Tanzania, tunaguswa na kushangazwa na mienendo ya wanaume wa Dar slum.
Baada ya kuwepo Dar Slum kwa muda wa mwezi mmoja nikifuatilia dili langu fulani, hatimaye nilifanikiwa na kurudi mkoani.
Ila ukweli ni kwamba nimeshangazwa sana na wanaume wa Dar. Asilimia 90% wana haya yafuatayo ambayo kwa mwanaume wa kawaida rijari kama sie wa mikoani huwezi tukuta na hizi tabia;
Wanaume wa Dar Slum:
1. Wanawake wao wanalalamika hawawaridhishi kitandani,
2. Wengi wanalia lia tu kila wanapoombwa hela na wapenzi wao, eti wanataka usawa,
3. Wengine wamewekwa ndani na wanawake, yaani wanalelewa.
4. Wana vitambi, yaani unakuta kijana mdogo kabisa na ni mwembamba ila kitambi hicho,
5. Wanatinda nyusi,
6. Nao wanaoshwa kucha za miguuni na wanaume wenzao.
7. Wanalia lia hamna kazi ila wanachagua kazi za kufanya,
8. Unakuta jibaba zima liko juu ya miaka 25 ila linakaa kwa baba na mama au bado ni tegemezi,
9. Wako dhaifu sana, hawana tabia ya kufanya mazoezi ya kuimarisha afya, wakivamiwa makwao ni full kukimbia kuomba misaada kwa majirani ambao nao ni wanaume wale wale, kitu ambacho sisi wanaume wa mikoani kama kuna ishu ya mabavu na busara huwa tunaimaliza kishujaa,
10. Wanaogopa kuja MIKOANI ambako ndo kuna hela,
11. Makaka poa wapo kila kona na wanaume wengine wanaona eti ni kawaida kuwa Mungu aliwaumba hivyo,
12. Wavivu, unakuta yupo ktk basi na kuna foleni yeye anaenda sehemu ambayo ni kama mita 300 toka liliposimama basi ktk foleni ila yuko tayari asubiri hata dk 50 ndani ya basi.
13. Wanaume Wenye magari wanatembea na madumu ya mafuta,
14. Wachafu, Ukienda mahali wanapoishi kwa wale walio mabachelor ni kama zizi la ng'ombe,
15. Wanaume wanakojoa kojoa popote tu barabarani kama mbwa,
16. Kwa wale vijana unakuta kavaa suruali kaweka chini ya makalio na anaona ni sawa tu kuonyesha nje nje nguo yake ya ndani tena chafu,
17. Unakuta wanaume wenye familia jioni wamekaa kwenye kahawa na kashata wanaongea umbea,
18. Etc
Kwa kweli nimeshangazwa sana na hawa wanaume wa Dar, hayo ni baadhi ya mapungufu yao, ila yako mengi sana!
Na jiji lenyewe ni KERO. Isiponyesha mvua ni jua kali, joto foleni na vibaka, ikinyesha mvua ni matope, madimbwi ya maji hadi mjini posta.
Kwa kifupi, wanaume wa Dar Slum mjirekebishe, wanaume hatitakiwi kuwa hivyo! Mtuige sisi wa mkoani.
Hujamgusa yeyote wewe mbwiga, badala ya kufanya kazi zako unakaa kuchunguza vitambi vya wanaume wenzio. Aibu kwako kwa kudhalilisha uanaume.Asante, salaam ziwafikie wanaume wote wa Dar slum niliowagusa.
Hamna uchunguzi, cha kufanya usikae nyumbani tu, mambo yako wazi wazi, ni macho yako tu!Muda wa mwezi mmoja umechunguza yote na kuyaona, Mwenyeji wako alikua na kazi kubwa ya kukuwezesha.