Tabia nilizozishuhudia kwa baadhi ya wanaume wa Dar

Tabia nilizozishuhudia kwa baadhi ya wanaume wa Dar

Ni kweli kabisa, pia huwa nashangaa unakuta jamaa lina mwili mkubwa asubuhi anakwambia ana njaa alafu anaenda kunywa kakikombe ka kahawa kadogooooo kamoja na vikashata viwili kisha anasema kashiba, wanaume wa dar wana matatizo.
Hahahahaa
 
Wanaume wengi wa mikoani wanapenda Sana kuishi Dar tatizo hawapawezi maisha, wengi wanalalamika maisha yako juu na wengine hawana connection. Na wengine wanaomba hadi kufika kwa watu. Dar Gharama hampawezi.. Mikoani unaweza ishi hata wiki hujatumia pesa yoyote lakini hapa dar ni moto mnapaogopa, wengi wamikoni waliokuja dar wanalamika Hilo Tena mmoja akaniambia unaweza huu mji mbona mgumu? Walioko mikoani wengi waoga wa maisha na wamezoea Vya Bure.. Mkoani hata maji unaomba kwa jirani . Hizo Zingine ni tabia za mtu na mtu hata mikoani wapo..
 
Hao unaowaongelea ni wale wasio na msimamo na mipango mkakati.
 
Home boy unesahau kitu kidume cha mkoa kikiingia bongo wiki ya pili sikiliza lafudhi ya kuongea hapo ndo kituko anataka aongee kama mzaramu
 
Kwenye huu uzi wanaume wa Dar wengi wamenithibitishia hii point yako, wanapenda kuhusisha kila kitu na eidha nitaolewa Dar au nitaombwa makalio na wanaume wa Dar, ina maanisha wengi ndo wako hivyo. Wao wanaona ni kawaida kwa mwanaume kumuomba nyuma mwenzake.
Hicho ndo kilichokukimbiza, yaelekea ulikuwa unapenda kuchunguzachunguza maisha ya watu wakaamua kukufungia kazi na kukuomba nyuma,

Na ole wako ungekuwa mnywa pombe ukapewa ofa ukaikubali, lazima ungetafunwa

Una bahati sana, siku nyingine uwe mwangalifu, usidhani kukunja ndita usoni ndo watu tutakuogopa, tunakufumua tu, sura inafunikwa na gazeti
 
Watu wa mapolini huwa nawashangaa sana wakija Dar wanahadisia jamaa zao wote na wakisharudi huwa tiketi hawatupi ili kumuonesha kila mpolipoli mwenzake kuwa alikuwa mjini.sasa nakushangaa wewe sijui UMEFANYWAJE hadi unalalamika.
 
Ha ha ha tiketi hawatupi?
 
Na kazi zako ulikuwa unafanya saa ngapi? au ilikuwa KK?[emoji4]
 
wanawake wa mikoani wakija dar huwa hawatamani kurudi kwenu mikoani kwaajili ya wanaume wa Dar!.
hilo hukulichunguza mkuu,na wakiwa na ela ambazo ni zenu wanaume wa mikoani wanaishia kuja kuhonga wanaume wa Dar na safari zinakuwa kila wiki.
mfano mzuri mdada wa kinyakyusa ambae anafanya bank inayoanzia na C mkoani mbeya,alikuja akakutana na toz la dar ambalo zamani lilikuwa hingaji ila limefilisisiwa na madada wenye majina sasa hilo linahonga hapa Dar kama halina akili,na nahisi wewe ni mumewe umejua unaponda kwa wivu tu.
 
Ha ha ha tiketi hawatupi?
Akikutana na wenzake aaahh nilikuwa Dar bwana ndio maana mlikuwa hamnioni anatoa tiketi za ma daladala na tiketi ya mabasi ya kwao wakija lazima waende baharini na ndio maana mleta uzi kataja posta alienda kuona bahari na uwanja wa Taifa sasa hivi yupo na simu yake ya kichina analeta zarau na shauri yako mchina wako inazimwa hiyo we leta jeuri tu.sisi hatuwezi kula miugari kwani tunalima sisi? Au kutembea umbali mrefu kwani sisi wachungaji?.yani sijui ulikuleta umbeya Dar?.umejuaje kuwa hatuwalizishi wake zetu au ulijaribu
 
Wewe unaonekana una tabia za umbeya sana, Yaani mwezi tu umeyajua yote hayo
 
Hicho ndo kilichokukimbiza, yaelekea ulikuwa unapenda kuchunguzachunguza maisha ya watu wakaamua kukufungia kazi na kukuomba nyuma,

Na ole wako ungekuwa mnywa pombe ukapewa ofa ukaikubali, lazima ungetafunwa

Una bahati sana, siku nyingine uwe mwangalifu, usidhani kukunja ndita usoni ndo watu tutakuogopa, tunakufumua tu, sura inafunikwa na gazeti
Huku tunaenda jando wewe, narture na nature (mazingira na uasilia) vinatufanya tuwe wanaume halisi.

Inaonyesha kwenu kulala na wanaume ndo sifa, naona mmekomalia sana. Mimi ni mwanaume 100% sipo ktk hayo mambo.

Eti mnafumua tu, unaongea kabisa kwa kujivunia kuwa mnafumua wanaume, wanaume wa Dar mna kasoro.
 
Ni kweli mkuu baadhi ya wanaume wa Dar Wakija mikoani wanapenda kulelewa kwa mfano hapa arusha wanaume wa Dar Wengi Wao wana tabia ya kulelewa na wanawake alafu ni wambea yani kila kitu ukimwambia anasema , mwanau Hawez hata kujishughulisha anamtegemea mwanamke yy anachojua ni mechi ya 6 x 6 na ukikaa vibaya anatembea had na marafiki zako. Hapa arusha wanawake Wengi wanalalamika kuwa wanaume wa Dar wanapenda kulelewa. Na ukiishiwa wanakuacha wanahamia kwa mwanamke mwingine.
navyojua mimi wanawake wa arusha ndio wanaoongoza kuua waume zao msifiche madhaifu yenu
 
Back
Top Bottom