Tabia nilizozishuhudia kwa baadhi ya wanaume wa Dar

Tabia nilizozishuhudia kwa baadhi ya wanaume wa Dar

Mi huwa napenda kupiga pamba za kwa 'Husein pumbu kali'...
Huyu jamaa kuna siku nilinunua shati kwake elfu 45 nimefika home shati mikono ni njiwa... Daaah... Msasa hivi pale studio naona anafanya renovation ila pembeni yake kuna wana wana vitu vya ukweli hatari.. Mleta mada njoo nikupeleka mi nakaa hapa jakaranda .. Unapajua jakaranda?
 
Katika wadada wengi wa JF atleast wewe umeongea ukweli wako kutoka moyoni

Ila wanaume wa Bara(Mikoani) watakuja hapa watapinga huu ukweli
 
Hi,

Kubali ukatae ila wanaume wa Dar wako smart sana, wanajua kuvaa vizuri, wanaenda na fashion.

Katika pita pita mitaa kwa mitaa niliyopita wanaume wengi wanatupia pamba kali.

Sasa waliopo maofisini ndio usiseme yani wanatokelezea sana.Hakika wanaume wa Dar mnajua kutupia.

Hongereni wanaume wa Dar
Tafuta huko mmoja wa kukukonga moyo mwaya!
 
Bandugu nimeamua kuhama Dar rasmi, imekuwa wanaume wa Dar hatuna heshima kabisa hapa jf, yaani tunaonekana wapenda umbeya, wavivu, watoto laini,
Baada ya kugundua dharau tunayopata toka mikoani nimeona bora nihamie TUTUO, SIKONGE, TABORA,
Kwaherini bakini na Dar yenu
 
Ukihama Dar unahama na tabia zenu. Nawaonea huruma wabeba mizigo ( wanyamwezi )
 
Bandugu nimeamua kuhama Dar rasmi, imekuwa wanaume wa Dar hatuna heshima kabisa hapa jf, yaani tunaonekana wapenda umbeya, wavivu, watoto laini,
Baada ya kugundua dharau tunayopata toka mikoani nimeona bora nihamie TUTUO, SIKONGE, TABORA,
Kwaherini bakini na Dar yenu
hila wewe ulikuwa muhamiaji tu Dar rudi kwenu Tabora maisha yamekushinda.

swissme
 
Back
Top Bottom