Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na wewe unapiga pamba?Mimi nipo Dar ndio mana nasema hivyo
Umenifanya nikapaliwa ,aliyekuelewa naomba anisaidieMi huwa napenda kupiga pamba za kwa 'Husein pumbu kali'...
Huyu jamaa kuna siku nilinunua shati kwake elfu 45 nimefika home shati mikono ni njiwa... Daaah... Msasa hivi pale studio naona anafanya renovation ila pembeni yake kuna wana wana vitu vya ukweli hatari.. Mleta mada njoo nikupeleka mi nakaa hapa jakaranda .. Unapajua jakaranda?Mi huwa napenda kupiga pamba za kwa 'Husein pumbu kali'...
Mmmh na wewe! Firs thing first...Sasa kuna faida gani unapiga pamba kali halafu kitandani hamna kitu.
Kama ni pumba sawa....lkn pamba hamna pale.Mi huwa napenda kupiga pamba za kwa 'Husein pumbu kali'...
Pale zipo za kibraza meni, we inaonekana unapenda ile miondoko ya kipapaaa au kipedeshee!Kama ni pumba sawa....lkn pamba hamna pale.
Tafuta huko mmoja wa kukukonga moyo mwaya!Hi,
Kubali ukatae ila wanaume wa Dar wako smart sana, wanajua kuvaa vizuri, wanaenda na fashion.
Katika pita pita mitaa kwa mitaa niliyopita wanaume wengi wanatupia pamba kali.
Sasa waliopo maofisini ndio usiseme yani wanatokelezea sana.Hakika wanaume wa Dar mnajua kutupia.
Hongereni wanaume wa Dar
mmmmm mie wangu wa Pwani..Unawapenda wa wapi....???
Hahahaha kaka asituletee tabia za wavulana wa Dar huyo!!Ukihama Dar unahama na tabia zenu. Nawaonea huruma wabeba mizigo ( wanyamwezi )
hila wewe ulikuwa muhamiaji tu Dar rudi kwenu Tabora maisha yamekushinda.Bandugu nimeamua kuhama Dar rasmi, imekuwa wanaume wa Dar hatuna heshima kabisa hapa jf, yaani tunaonekana wapenda umbeya, wavivu, watoto laini,
Baada ya kugundua dharau tunayopata toka mikoani nimeona bora nihamie TUTUO, SIKONGE, TABORA,
Kwaherini bakini na Dar yenu
Mwandiko wako tu unatosha kujua wewe pia mkimbizi darhila wewe ulikuwa muhamiaji tu Dar rudi kwenu Tabora maisha yamekushinda.
swissme
mimi sio kinyago cha Dar.mimi ni kurya live from Mara.Mwandiko wako tu unatosha kujua wewe pia mkimbizi dar
Sasa kakangu umeamua siyoMwandiko wako tu unatosha kujua wewe pia mkimbizi dar
Mwandiko wako tu muraa nimejua,mimi sio kinyago cha Dar.mimi ni kurya live from Mara.
swissme
Ndio hivyo binamuSasa kakangu umeamua siyo