Tabia nilizozishuhudia kwa baadhi ya wanaume wa Dar

Tabia nilizozishuhudia kwa baadhi ya wanaume wa Dar

Wanaume wote wa kizaramo ndiyo wanaume wa Dar...
 
Wadaslinga ndo walianza kuleta majigambo n dharau kw wabarA ndo hvy ikawa vita barid.
 
sifa ya sisi wanaume wa dar wengi hatujaajiliwa ni MISHEN TAUNI

tunauwezo wa siku kuingiza pesa mingi bila kutoa mijasho mingi

araf waongaji wazuri sana 7bu anaweza kuonga nusu ya faida yake kwa siku wakati mwingne hadi msingi 7bu hana demu mmoja

wao wanapenda gari zaidi kuriko nyumba yaan anaweza kuwa na gari ya ml 20 araf kapanga chumba na sebule pale sinza au kinondoni au mwananyamala wengne chumba kimoja tu

Ni smart mda wote

ni wale ambao mpk leo wanaamini ukienda south au USA basi wewe lazima utusue

sifa nyingne kubwa ni kuwa wanapiga miti balaa akimkamata demu mpaka K yote inawaka moto

na ni lazima uwe umezaliwa dar au angalau o level uwe umepiga dar kidogo afadhari
ila sisi WAZARAMO ndo wanaume harisi wa dsm wengne hawa wavamizi tu


hizo kwa uchache ukitaka kumjua zaidi Mwanaume wa DSM nenda sikiliza yahaya by JIDE
 
Kuongea wanabana pu...wote weupe wanakunywa maji balaa...ukiuza dawa za kuongeza nguv za kiume unanunua brevis baada ya mwez (inalip)wanapendaa kuhongwa(kulelewa) mitaa yao biashara kubwa n yard za magar na maduka ya nguo(kinondoni)
 
Wanaume wa mikoani ni wakulima....picha zao nyingi wapo shambani, kwenye mazizi ya ngombe, mbuzi au mabanda ya kuku...
 
Wakiona hata mende wanapiga ukelele, limende hiloo!
 
wale wanaokimbizwa na vitoto vya miaka 10 na kwenda kujifungia ndani a.k.a panya
 
ha ha Jimena vipi wanaume wa sweden wapo vipi ukilinganisha na wa hapa dar??
 
Oyaa mjue mnaboa mnaokomaa humu na swala la.wanaume wa dar?

Tumewafanyia nini labda??

Af wengi wenu dada zenu wakipata wanaume wa dar mnavyofurah sasa kwa sababu mtapata nafasi ya kuja dar japo kulala sebuleni

Muache huu ujinga pleasee wa kila kitu wanaume wa dar
 
Back
Top Bottom