Tabia nilizozishuhudia kwa baadhi ya wanaume wa Dar

Tabia nilizozishuhudia kwa baadhi ya wanaume wa Dar

wewe umezaliwa tandahimba hujawahi hata safiri utajuaje mambo ya dar? au ushabiki tu. Nyangema karibu sana dar
mbona mkali babu..... ila jipange siku shemeji yako akiichoka kei ya dada yako najua utahama mjini ndio utaelewa tandahimba hakuna tofauti na hapo buguruni malapa alikoolewa dada ako....
 
Hamuwezi Fanya tufanyavyo wa mikoani(wanaume halisi) chips yai moja mnaishia kuchezea chezea tu. Nyie ni jinsia ya tatu. Ndo maana waganga wa kienyeji wanafanya biashara ya dawa za kuongeza nguvu za kiume huko Dar, na wanawauzieni saana. Huku hatujui hiyo kitu. Msipoweza kuridhisha mke, mtakuja kuridhishwa nyie.
 
Kwani kuna tatizo hapo Mkuu? wewe wa wapi kwanza, usije ukawa ndo wale waliogombania soda za bure za magufuli

hivi kiume unakojoaje kwenye kopo then asubuhi unakwenda kumwaga aaghh.... tatizo sio soda ya bure tatizo ni baada ya kunywa soda na kukojoa kwenye ile chupa usiku kisa unaogopa kutoka nje....
 
😀😀😀😀😀😀 wanaume wa dar es salaam!😀😀😀😀 iko poa sana
Dsm ni mshikemshike, Unaamka saa 11 alfajiri unageuka saa 3 usiku, Bize saa zote tunahaso!!!!!
.................ukitaka kutembelea gari piga kazi, ukitaka kutembelea vituo vya afya endekeza mapenzi............
Hapa kazi tu,
Mwanaume wa Dsm.
 
Wanaume wa dar wanapenda mtelemko mfano huyu mgombea wa uvvccm2017 Anawaza kwenda kuiba tu 2017.
 
Lile tangazo la Chips Snacks, linawahusu wanaume wa Dar.
 
😀😀😀😀😀😀 wanaume wa dar es salaam!😀😀😀😀 iko poa sana
Dsm ni mshikemshike, Unaamka saa 11 alfajiri unageuka saa 3 usiku, Bize saa zote tunahaso!!!!!
.................ukitaka kutembelea gari piga kazi, ukitaka kutembelea vituo vya afya endekeza mapenzi............
Hapa kazi tu,
Mwanaume wa Dsm.
Mimi naamka saa kumi na nusu alfajiri narudi kazini saa tano na nusu usiku. NIMEZALIWA MSOWERO NIMESOMA DAR NA SASA NAISHI DAR.
 
Likimalizika la wanaume wa dar,watakuja wanaume wa posta,kinondoni,temeke,ilala n.k
 
Umwazime Dela, wengi wenu bwabwa. Nyie c ndo wengi wenu wanaume wa Dar mnaombaga madem zenu wawaingize kidole ass ili wawabust. Mnatuaibisha wanaume wa TZ
ndo mambo yako hayo? pole sana
 
Hahaha huu uzi unachekesha sana
ni kama mchezo wa kuigiza, hakuna ukweli wowote. halafu wanaoponda dar hawasemi wao wako wapi, wengine ni wale wa rombo wanachapiwa wake zao kila siku kwa kuendekeza viroba, inafikia wakenya wanakuja kuwasaidia
 
Umeona eeeeh! Wengi wanaponda nao waonekane wamo ila huko bush waliko wanataman sana kuja dar
 
ndo mambo yako hayo? pole sana
Wanafikiri huku kila mtu ana shamba,huku ni kupiga michongo ya pesa mwanzo mwisho,ukikuta shoga ujue huyo kaona maghorofa ya katikati ya jiji kupitia bongo movies akaamua kuja kutoka kijijini ili asafishe macho ndo akaishia kua shoga. Maana huku MWANAUME PESA
 
ni kama mchezo wa kuigiza, hakuna ukweli wowote. halafu wanaoponda dar hawasemi wao wako wapi, wengine ni wale wa rombo wanachapiwa wake zao kila siku kwa kuendekeza viroba, inafikia wakenya wanakuja kuwasaidia
Ndo maana nimecheka sana, kwani kiukweli haina mwenyewe, wenyeji halisi ni wazaramo kama tujuavyo na hawa kwa sasa wamehamishwa hawapo tena dar.
Wanaume wa dar kwa sasa ndo wachaga, wasukuma,wahehe,wahaya, wagogo, wanyakyusa,wamasai,wanyaturu, wamakonde nk. Kibaya zaidi wa mikoani wanapaona dar kama ulaya vile japo kiukweli ni jiji tu la ovyo, so mimi naona ni kamsemo kalicho vuma kwa wakati wake kuwafunga midomo wajuaji
 
Back
Top Bottom