Tabia nisizozipenda kwa mabinti wa kaskazini (hasa wachaga) wakiolewa

Huoni upotoshaji uliopo kwenye hii mada? Kwamba kahitimisha hizo ndio tabia za jumla za wanawake wa kichaga
Ndugu yangu, sina nia mbaya; nimepita sehemu tofauti na nimekutana na watu tofauti wengi wao wanawazungumzia wanawake wa kichagga kwa namna hiyo! Wengi tu!

Kama wengi wao wanazungumzia hivyo kuna shida mahali!
 
Aisee
 
Mwaka 2019 kuna jamaa yangu kabila mkurya na mfanyabiashara mzuri. Alijichanganya akaoa kibinti cha kichaga kazi mwalimu

Jamaa kwa ulimbukeni ama kwa kurogwa sijui akajikuta amemshirikisha mwanamke kwenye project zake.

Ndoa ilidumu miaka 2 jamaa alipigwa kitu kizito mpaka watu tukashangaa kwani mwanamke alikomba mgao wa maana kutokana na ndoa kuvunjika.

Rafiki yetu ilibidi aanze kujikusanya upya maana alipigwa pigo la kimbunga Hidaya.

Kabla ya hapo wananzengo walisha muonya juu ya hilo kabila ila akakomaza shingo.
 
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Duh mambo yashakua mengi, anavonipikia masupu supu nkajua ndo mahaba moto moto
 
South Pare hiyo. Hata wanaume wapare wa Usangi hawataki kuoa huko. Wale ni balaa jingine.
Wanawake wa kipare nao ni janga jengine. Wajuaji, viburi, muda wote wasikilizwe wao, wao ndiyo wenye kauli ya mwisho. Halafu ni wabinafsi wanataka mazuri yawe upande wake tu.

Hicho kiburi anacholeta utadhani anakulisha na kukuvisha kumbe hamna kitu. Yeye ndiye anakutegemea wewe kwa kila kitu.

Hili nimelishuhudia kwa rafiki yangu mmoja. Mshikaji wetu mmoja mpare akawa anamwambia; mimi mimi wazazi wangu wote ni wapare lakini mama yangu kaniambia nisioe mpare.
 
wachaga wamefanana sana tabia na wakikuyu wa kule kenya. In fact na vile ni mipaka imetenganisha ila hawa ni ndugu moja tabia zao zinafanana sana hasa kwenye mali. Wakikuyu wana msemo wao yaani familia ikishakuwa na mali basi ujue safari ya baba ya kwenda kuzimu imewadia.. wengi wa wanawake wa kikuyu ni wajane.. wanaume wao wengi wanakufa kwa stress.

wachaga na wakikuyu ni katika wanawake wenye kuwapa stress sana waume zao na wakatili sana. Kuna mmoja huko Nairobi alimuua mumewe mzungu akamzika kwenye chemba ili arithi mali zake..

Ila wapo wazuri japo ni wachache
 
Mnapewa mbuye mnagawa hati za mali akili zipo kweli? wanaofanywa hivyo nao pia ni mademu mwanaume wa kweli ujinga hapana letewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…