msomi duni
Member
- Apr 11, 2024
- 90
- 301
Dah aiseee we jamaa huu uzi ungekuwa research ningekupa A maana ina ukweli kwa asilimia 99, mi niliishia stage za mwanzo na bahati nzuri nilizaa nae ila tuligawana kila kitu namshukuru Mungu nilichukua watoto wangu saivi najikongoja kuanza upya maisha
pale wanapoolewa na wanaume wa makabila mengine.