Tabia nisizozipenda kwa mabinti wa kaskazini (hasa wachaga) wakiolewa

Tabia nisizozipenda kwa mabinti wa kaskazini (hasa wachaga) wakiolewa

Una chuki za kindezi sana jomba

Hayo mauaji yanayotokea Geita huko kila siku ni wachaga wale pia?

Unajua tabia za wamama wa kinyakyusa kwenye ndoa?

Unajua tabia za wahangaza wakiolewa?

Acheni kuwasakama wachaga.
Hiki kikao ni cha kuwasema wanawake wa kichagga hao wengine tutawajadili kikao kijacho sawa ndugu.
 
mwanaume ukiwa chokochoko pole kama zezeta lazima upandwe kichwani na kuswaga kama kondoo.
nina dada yangu mdogo wangu kiumri namtafutia mchumba kabila mmeru umri miaka 28 ni mpole mstaarabu hana mtoto
Mmmmmmhmn miaka 28 halafu mpole na hana mtoto? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]


Huu mtego atakaeuingia hebu kila wiki awe anatupa ripoti ya mahusiano yake na bi dada huyu.
 
1. Wanawake wa kichaga ukioa akiona tu una future anaanza kujiweka Loyal kwako kwa kukuaminisha yeye ni wakitofauti anataka mfanikiwe wote

2. Anakuweka karibu hadi hati zisome majina yake kupitia upendo wake fake.

3. Anakuzalia watoto na kukupiga kampani sana katika shughuli zako kiasi kwamba unaweza usitokee kazini na mambo ya kaenda kumbe lengo lake ajimilikishe biashara yako akutawale.

4. Anatengeneza mazingira ujione unauhitaji wa kutanua biashara au ufungue nyingine sababu ya vijikero unavoviona pale kazin kwa kuwepo yeye kwa mitego alosuka ye mwenyewe

5. Anakushawishi ufungue biashara na ukifungua tu anakushawishi hadi anamleta mdogo wake toka moshi asimamie kisa hana kazi kumbe ndio unazidi jiuza utumwani we mwenyewe

6. Ukifika hii stage hapo ndio unakuwa umejikaanga😆 kila ukitaka kufanya kitu mpaka uwape taarifa hata ukitaka hela kwa matumizi binafsi lazima uwaombe wao maana we ushatawaliwa kisaikolojia ukikosea tu home kote wana kununia na kila ofisi wanalipoti tukio lolote kwa mke hadi ukikohoa kazini chini chini wanapeleka taarifa kwa mkeo. Hapa wanaanza kukuwinda nyezo zako unaanza jiua mwenyewe kisaikolojia mawazo hapa ndio dalili mbaya. Ukifika hii stage unawindwa ukosee uonekane we ndio chanzo. Jirinde sana kwenye hii stage usichepuke ukijichanganya umekwisha

7. Ukifika hii stage sasa ndio huna umuhimu waweza fanyiwa chochote ndio . Wanaanza rasmi anzisha migogoro ili wakupoteze wabaki na mali.

8. Utastuka hii stage hakuna ndugu wako anaweza kuja kwako, mali zako wameshika wakwe, mke mbishi, jeuri wakati alikua mwema hapa ndio dalili ya kifo jua ushatawaliwa kilichobaki ni rehema za mwenyezi Mungu

NB ukitaka jua uko stage gani angalia ndugu zako wanaokuja kwako kama wapo wengi jua upo stage 1 kama wanaongezeka upo stage 2 wakianza pungua upo stage 3 na kuendelea.

Naomba thread hii isindikizwe na wimbo wa Chike ft Mohbad- Egwu

Aiyeeee Aiyeeee Aiyeee Aiyeeee Uuuuuu Uuuu Uuuuu Aiyooo Iyoooo Uuuuu🎶🎶🎶
Mnaambiwa msioe machame, nyie wabishi ona sasa 🤣
 
Hata WAROMBO? Ili nikae mkao wa kula,. Ngoja niandike jina la mama yangu mzazi kila kitu hadi simu yangu
Watu mkiwa mnatafuta matatizo huwa mnatumia kila aina ya mbinu kuyapata hata iweje. Sasa kwan hapa tunaongelea kitu gani, yaani unaambiwa usinywe Coca-cola wewe unauliza "hata ya kopo?" Sasa ya kopo ni chai ya maziwa? [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Watu mkiwa mnatafuta matatizo huwa mnatumia kila aina ya mbinu kuyapata hata iweje. Sasa kwan hapa tunaongelea kitu gani, yaani unaambiwa usinywe Coca-cola wewe unauliza "hata ya kopo?" Sasa ya kopo ni chai ya maziwa? [emoji23][emoji23][emoji23]
😀😀😀😀
Kiruuuu
 
Na kuna baadhi ya wapare pia wapo hivyo............ukiingia kwa hawa wanawake unapotezwa mapema,,,,mchume mali mzae watoto then safari yako mwisho.....nimeshuhudia haya matukio kama ma 3 kwa watu wa karibu na stage mbaya zaidi ni ukianza kuona kwako ndugu wa mwanamke wanaanza kua wengi kuliko wako mwanaume hapo huna maisha marefu
Hao tena, si ndio mabingwa wa kujaza ndugu kwenye nyumba na ukitaka akulaani umwambie sitaki mazoea hapa.
 
I wonder. Mie sio mchagga lakini nakerwa na tabia za kuwasimanga wadada wa kichagga, ilhali tabia za namna hio zipo kila kabila. Hio ni character ya mtu mmoja mmoja, hasa kwente tamaa za mali.
Nadhani hata sisi unatukera sana kutuingilia katika kuwasema wadada wa kichagga.
 
Sasa we mtu r na l tu zinakushinda ndio utakuwa na akili kweli? Alafu watu tunataka wanawake wa aina hiyo, sio mategemezi wanaosubiri kutunzwa kama mayai. Hao unaowasema ndio ndoto ya wanaume wengi kwa taarifa yako. Mwanamke anayekufanya bora kuliko jana. Tena wachaga wana hofu ya Mungu sana. Eti wakuue wangapi wameuliwa? Mnawaza msichokijua, mnafanganyana bila akili. Hakuna mwanaume mwenye akili asietaka kuwa na mwanamke wa kichaga. Jenerali Ulimwengu kauliwa? Erick Shigongo kauliwa? Sumaye? Wapo kibao yani. Ukiwa na mwanamke wa kichaga unakuwa na uhakika wa kuzaliwa watoto wazuri wenye akili, maadili na hofu ya Mungu. Sio wanawake wa kiswahili na washirikina. Embu tutolee upupu wako hapo!
Sasa mbona Tanzania haijaoa wachagga, hao wanawake wengine wazuri nao wote ni wachagga au basi umeamua tu kutetea? [emoji848]
 
Stage yeyote ukizubaa stress zinakuua suala ni wewe mwenyewe ulianza stress katika stage ipi
Stress ni mbaya sana kwa afya ya mwanaume especially umri unavyokuwa ukielekea utu uzima. Stress inaleta magonjwa yasiyo ya kuambukiza na kuudhoofisha mwili.

Ukiwa mbali na stress hata mwili wako kama mwanaume hauzeeki haraka. Wanawake stress wanazipenda ila hawaziwezi kuzibeba, ndio maana ukiishi nao anakuwa anakuhamishia wewe stress sasa usipokuwa na mke zaidi ya m'moja au michepuka zile stress zake zote anakubebesha wewe ili yeye ajiskie raha sasa. Na ndio maana wanaishi muda mrefu kuliko wanaume.

Tazama hawa wanawake wa kisasa wanaoishi wenyewe namna wanazeeka mapema, binti wa miaka 27 hadi 30 ukimuingia vibaya unaweza mwambia shikamoo kumbe mtoto wa juzi.

Wanaume wajitathimini sana katika kutegemea furaha yao itokane na mwanamke maana watatumia hiyo fursa kukucontrol wanavyotaka na mwishowe ni kukuacha na hali mbaya. Mwanaume uliyedhoofu hauna kazi kwa mwanamke tena atatafuta namna ya kukuacha ili apate mtu mpya. So hebu tufanye kama tunajiongeza kidogo.
 
Back
Top Bottom