sengobad
JF-Expert Member
- Aug 13, 2017
- 9,008
- 8,788
Ni ngumu kujinasua, yaani wee acha tu.Upuuzi upuuzi! Kama unayajua hayo kwann usichukue tahadhari
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni ngumu kujinasua, yaani wee acha tu.Upuuzi upuuzi! Kama unayajua hayo kwann usichukue tahadhari
Yaani hata akioa kwingine sio kwamba ukweli hautosemwa utasemwa tu, ni mpaka hapo hiyo tabia itakapo koma japo itachukua miaka mingi, na elewa kuwa kila kabila lina tabia zake na tabia hizo ukoma kutoka kizazi hadi kizazi.USICHUKIE NDUGU HUJASEMWA WEWE.Since 2012 humu mpo obsessed na wachaga Yani wachaga wachaga kaskazini kaskazini unfortunately wenyewe they don't give a JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala Yani hawajali chochote
Ukichek statistics idadi ya wachaga hata 2m haifiki fighting spirit ya hawa watu inawanyima usingizi.
Nenda kaoe unapotaka then live your life stop wachaga wachaga
Shauri yako, wewe ingia kichwakichwa.acheni ufala. mwanaume unakuaje pimbi sawa na kuogopa vita? oa kabila lolote mradi mmependana. la msingi ni kuangalia DNA za familia kama zina maradhi ya kurithi, familia kama ina mambo ya ulozi hayo ndo ya msingi. kama zina hayo mambo usioe wala kuolewa.
Mzaramo shida yake hataki kutoka mjini hata akizeeka vipi labda umwambie mwende kisarawe, manarumango, Kibiti yaani Pwani pwani vinginenyo ndoa ivunjike tu.Wewe ulishawahi kumwona mzaramo mzee Shinyanga au Magu.Kijana ume andika mashudu tu
Aya tafuta mzaramo uoe sasa umri una zidi kukuacha sasa
Mmeru toka lini akawa mpole wewe 😂 naijua hioo!!!mwanaume ukiwa chokochoko pole kama zezeta lazima upandwe kichwani na kuswaga kama kondoo.
nina dada yangu mdogo wangu kiumri namtafutia mchumba kabila mmeru umri miaka 28 ni mpole mstaarabu hana mtoto
Wachaga hawako Loyal bali ni manipulators wazuri sana. Yani lazma akuingize kwenye mfumo kwanza kisha ndio akunyooshe.Aisee kuna pisi ya kichaga naona inajibebisha sana. Ngoja nitimue mbio kabla hayajanikuta mazito 😂😂😂
Mwambie tu aendelee kutafuta.mwanaume ukiwa chokochoko pole kama zezeta lazima upandwe kichwani na kuswaga kama kondoo.
nina dada yangu mdogo wangu kiumri namtafutia mchumba kabila mmeru umri miaka 28 ni mpole mstaarabu hana mtoto
Ukweli mchungu.1. Wanawake wa kichaga ukioa akiona tu una future anaanza kujiweka Loyal kwako kwa kukuaminisha yeye ni wakitofauti anataka mfanikiwe wote
2. Anakuweka karibu hadi hati zisome majina yake kupitia upendo wake fake.
3. Anakuzalia watoto na kukupiga kampani sana katika shughuli zako kiasi kwamba unaweza usitokee kazini na mambo ya kaenda kumbe lengo lake ajimilikishe biashara yako akutawale.
4. Anatengeneza mazingira ujione unauhitaji wa kutanua biashara au ufungue nyingine sababu ya vijikero unavoviona pale kazin kwa kuwepo yeye kwa mitego alosuka ye mwenyewe
5. Anakushawishi ufungue biashara na ukifungua tu anakushawishi hadi anamleta mdogo wake toka moshi asimamie kisa hana kazi kumbe ndio unazidi jiuza utumwani we mwenyewe
6. Ukifika hii stage hapo ndio unakuwa umejikaanga[emoji38] kila ukitaka kufanya kitu mpaka uwape taarifa hata ukitaka hela kwa matumizi binafsi lazima uwaombe wao maana we ushatawaliwa kisaikolojia ukikosea tu home kote wana kununia na kila ofisi wanalipoti tukio lolote kwa mke hadi ukikohoa kazini chini chini wanapeleka taarifa kwa mkeo. Hapa wanaanza kukuwinda nyezo zako unaanza jiua mwenyewe kisaikolojia mawazo hapa ndio dalili mbaya. Ukifika hii stage unawindwa ukosee uonekane we ndio chanzo. Jirinde sana kwenye hii stage usichepuke ukijichanganya umekwisha
7. Ukifika hii stage sasa ndio huna umuhimu waweza fanyiwa chochote ndio . Wanaanza rasmi anzisha migogoro ili wakupoteze wabaki na mali.
8. Utastuka hii stage hakuna ndugu wako anaweza kuja kwako, mali zako wameshika wakwe, mke mbishi, jeuri wakati alikua mwema hapa ndio dalili ya kifo jua ushatawaliwa kilichobaki ni rehema za mwenyezi Mungu
NB ukitaka jua uko stage gani angalia ndugu zako wanaokuja kwako kama wapo wengi jua upo stage 1 kama wanaongezeka upo stage 2 wakianza pungua upo stage 3 na kuendelea.
Naomba thread hii isindikizwe na wimbo wa Chike ft Mohbad- Egwu
Aiyeeee Aiyeeee Aiyeee Aiyeeee Uuuuuu Uuuu Uuuuu Aiyooo Iyoooo Uuuuu[emoji445][emoji445][emoji445]
Ikawaje mkuu.Nilifika hiyo stage ya Kwanza, alikuwa loyal sana kwangu hadi nikashangaa
sio kweli bwana wameru dada zetu hawana hizo wao ni ubishi tu ila ukiwa ngangari ukakata makofi anatulia. hayo yaliyoelezwa wanayo dada zako wanawafanyia wanaume mabwege.Hiyo
Hiyo ipo kwa Waarusha sana sana, hasa wa Arumeru
umekazania wameru. mbona mleta mada hajawasema. waache waliotajwa wapambane na hali zao.Kuna Waarusha na Wameru ndugu yaani hawana tofauti na Wachaga kwenye mali...na yamkini Wanawazidi wachaga kabisa
Jiwe la Gizani , ukiskia Aaaaah! Jua limempata mhusika 🤣🤣Sasa we mtu r na l tu zinakushinda ndio utakuwa na akili kweli? Alafu watu tunataka wanawake wa aina hiyo, sio mategemezi wanaosubiri kutunzwa kama mayai. Hao unaowasema ndio ndoto ya wanaume wengi kwa taarifa yako. Mwanamke anayekufanya bora kuliko jana. Tena wachaga wana hofu ya Mungu sana. Eti wakuue wangapi wameuliwa? Mnawaza msichokijua, mnafanganyana bila akili. Hakuna mwanaume mwenye akili asietaka kuwa na mwanamke wa kichaga. Jenerali Ulimwengu kauliwa? Erick Shigongo kauliwa? Sumaye? Wapo kibao yani. Ukiwa na mwanamke wa kichaga unakuwa na uhakika wa kuzaliwa watoto wazuri wenye akili, maadili na hofu ya Mungu. Sio wanawake wa kiswahili na washirikina. Embu tutolee upupu wako hapo!
huyo jamaa yako ni bwege au , anakipato kikubwa cha kusomesha?, si awatimue, kwani na yeye hana ndugu ktk ukoo wake wakusomesha, wanawake wabinafsi sana.Huku hatari jamaa yangu kaletewa ndugu awasomeshe wamekosa mkopo 😀