Tabia nisizozipenda kwa mabinti wa kaskazini (hasa wachaga) wakiolewa

Tabia nisizozipenda kwa mabinti wa kaskazini (hasa wachaga) wakiolewa

Since 2012 humu mpo obsessed na wachaga Yani wachaga wachaga kaskazini kaskazini unfortunately wenyewe they don't give a JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala Yani hawajali chochote

Ukichek statistics idadi ya wachaga hata 2m haifiki fighting spirit ya hawa watu inawanyima usingizi.

Nenda kaoe unapotaka then live your life stop wachaga wachaga
I wonder. Mie sio mchagga lakini nakerwa na tabia za kuwasimanga wadada wa kichagga, ilhali tabia za namna hio zipo kila kabila. Hio ni character ya mtu mmoja mmoja, hasa kwente tamaa za mali.
 
Yaani unavurugwa hadi unafkuza ndugu zako we mwenyewe. Ukianza kugundua akili zinakurudi unakuta Kwenu walishakutenga zamani kisa tabia za mke unakosa hata ndugu wa kukupiga kampani uzeeni
Haizewekani kwenu wamekomaa mpka na wewe ukawa bonge la mtu na hapo wewe unaanza kuwa mbinafsi hutaki na wewe wengine wakulie kwako,mwanamke anahakikisha unakata mzizi na ndugu zako,hata mama yako ataitwa mchawi, yaani hapo anataka ale asali mwenyewe. Uelewe wanaume zile tamaa za ngono zinatutawala kiasi kwamba unafanya maamuzi kwa kuzingatia mb0l0 yako Mana unataka it00mbe huwazi Maisha mengine like mama yako na wewe anahitajika apumzike na maumivu aliyoyapata akiwabeba tumboni apumzike na afarijike yaani ni sawa umehaso inatakiwa ukae ule matunda ya jashi lako.


Sasa umesoma ,ukapmbana ,ukaingia huko mgodini unapata pesa Cha kwanza no kuangalia demu mkali Naye anaangalia Mali zako na sio wewe.

Unapooa kumbuka unaleta ndugu mpya katika Koo yako.
Sio aje mjifanye mnajitenga kisa mna vihela vya mboga Basi hutaki nzi hapo home.

Ila yakija kutokea ndio utajua na ke ni wajanja mno atakuwa anakujaza kwao wakoje na Nani anataka nini, yaani ataongea kiasi kwamba wewe unaingiwa na huruma ya ndugu yake anavyoteseka,muda huo amekuny0nya p√MB√ Umeingia kingi ndipo anapoingiza ajenda zake.kuwa dogo lake akaenda kwa anko wake kuomba hela Ila mke wake akamwawagia maji akamfukuza na akamtukuna kuwa mjomba wao hasomeshi ukoo wote.

Wanawake Wana akili mno na wanazo manipulative technique mwanaume akasome.

Yaani tumewazidi logical brain na muscular powers Ila Sasa kucheza na hisia ama mwili wako kuwa unajisikiaje saivi wako more far that us


Unaweza ukatoka kucheat out akakajua Ila akanyamaza.

Wanazo ama wako gifted na kusoma human instincts, intuition and inner dialogue kuliko mwanaume.


Wewe unawaza yeye na yeye anawaza kwao.


Wanawake ni traders wazuri mno yaani always Wana nufaika kwenye mahusiano kuliko sie
 
Kesi za mirathi mkoa unaoongoza ni Dar es Salaam, ikifuatiwa na Tanga. Kila mahali utakuwa pameandikwa nyumba haiuzwi. Watu wa pwani ni tatizo. Sijui nani anawadanganyaga mnajazana upupu.
Punguza spidi Mkubwa.

Nimesema nyingi sana.
Sijasema suala la kuongoza na wala sijataja Mkoa.
 
Mzee umejua kuwasanua. Umeongea kama usalama wa taifa anatoa ripoti ya uchunguzi kamili. Hii ni kweli kabisa na wanaume wengi hawajui huu mtego huwa wanawekewaje.

Hapo wakikaa pembeni unasikia wanakuita "Chasaka" sijui kama nimepatia. Unachorwa tu kisaikolojia muda uende watu wamalize mission "Take over Chasaka".

[emoji19][emoji19][emoji19][emoji19] Be careful Men, they are out there looking for the next "Chasaka" to take over and then take out.
 
Upuuzi upuuzi! Kama unayajua hayo kwann usichukue tahadhari
Me nilichomoka katika huu mtego nikiwa nimekaa na mtu tena tunadate tunamiezi kadhaa hata mwaka bado. Akawa anajileta sana kutaka kujua nafanya nini na anadadisi ile utadhani katumwa hadi nikaona sio kawaida maana kama mahitaji nampatia, kama ni swala la kujua nafanya nini ni mimi nitamshirikisha nitakapokuwa tayari.

Ila sasa kilichonisaidia ni kusikia mazungumzo yake na mama yake akimuuliza demu anarepoti kama mpelelezi aliye kwenye special Covert mission. Nikaona hapa kuna kitu hakipo sawa ingawa sio shida mtoto kuongea na mama yake but why mama yake awe curious vile na maisha yetu.

Sasa kuna siku tulikuwa tunapiga story tu akaniletea story za ujenzi wakati mimi niliongelea kupanga nyumba kubwa yaani ile nasema hapa hadi mwaka kesho mwishoni tujiandae kuhamia nyumba ya vyumba viwili vya kulala sehemu fulani kutoka hapa pa sasa chumba na sebule tu.

Yeye akaanza kushauri kwann tusijenge kabisa, nikamwambia kujenga kwasasa bado maana hakuna ulazima huo me naona ni kuzika pesa. Yeye akawa kama napigia kura kujenga tena nyumba ya vyumba vitano. Mmmmmmhmn

Me nikamuuliza mavyumba yote ya kazi gani hayo, akanambia si wageni wakija. Nikaona hapa kipengele hiki, kwenye kujielezea akaropoka kuwa anapenda kukaa karibu na mama yake na wadogo zake.

Nikawa naitikia tu kwa kumsapoti kuwa ni wazo zuri sana. Nikaona huyu hanijui vema. Yaani mimi naplan maisha kwaajiri yetu na wewe kumbe wewe unaplan maisha ya kwako na familia yako ulipotoka, kwan mimi sina ndugu wa kujenga nyumba niishi nao.

Niakashaona tu huyu kumshirikisha kwenye maisha yangu baadae kutakuwa na changamoto ambazo zinaepukika kwa urahisi muda huu ila baadae zitakuwa zimeshashika mizizi na itakuwa ni gharama sana kutoka.

Tulikuja kupeana space tu baadae na story iliishiaga hapo.
 
Pia nimetoa hii thread kuwapa tahadhari wanaume wenzangu waishi nao kwa akili . Hasa kuzisoma hizo alama za nyakati nlizoorothesha hapo juu, inaumiza wanaume kutawaliwa kwa mali ulizotafta mwenyewe.🥲
Umefanya vema sana. Huu ndio uanaume. Wanaume huwa hatuzingumzii yanayotusibu tunakufa na tai shingoni.
 
Una chuki za kindezi sana jomba

Hayo mauaji yanayotokea Geita huko kila siku ni wachaga wale pia?

Unajua tabia za wamama wa kinyakyusa kwenye ndoa?

Unajua tabia za wahangaza wakiolewa?

Acheni kuwasakama wachaga.
Wamamama wa kinyakyusa dah hawa nao ni hatari nyingine kwakweli.
 
Kwa hiyo warembo wa Kichaga ni wa kuogopwa kama mnyama mkali ?!!
Loyal ones wapo ila ndio wachache sana na uwe makini sana kwenye kuchagua mtu wa kuishi nae. Kuna mademu wa kichagga wakishua na wanahuruma kama nini na wanajitoa hadi unajiuliza huyu ni mchagga au mtu wa wapi.

Ila usiombe ukutane na ile breed ya kichagga ambayo mama ameteseka na maisha sana ametulia, baba alishakufa halafu familia ina mabinti wazuri, yaani unakuwa kama umeenda kwenye pango la mavampire yanasubiri giza liingie wakunyonye damu wakule nyama kabisa. [emoji19][emoji19][emoji19][emoji19]

Majority are soulless, na watu wengi wanawakimbilia kwasababu ya kutojiamini kama mwanaume na kupenda kusaidiwa kutafuta maisha matokeo yake wanasurrender na miaka ya baadae walija kuchenjiwa wanalalamika kuwa wanawake wa huku ni tatizo, wewe hukuwaona tokea mwanzoni watu wanahadithia visa vyao kila uchao? [emoji848]

But ni vema hivi kuexpose tabia za hovyo kwenye jamii ili kama taifa tuendelee kujenga umoja wa kijamii maana hatuwezi kuwa na tabia ambazo zinasababisha changamoto ya raia kujamiiana kwa upendo, ushirikiano, umoja, na mshikamano.


Nadhani kuna kizazi cha wamawake kilipita kwa wachagga kikatia sumu kali sana kwa mabinti zao ambao ndio wakaja kuzaa kizazi hiki cha wanawake wa kichagga waliopita na waliopo sasa. Anyways watanyooka tu hakunaga mkate mgumu mbele ya chai. Wanaume wa kichagga watetea kabila sisi tutapambana nao hadi kieleweke na dada zao tutawanyoosha hadi wawe kama watanga shenzi[emoji19]
 
Waacheni waone wenyewe kwa wenyewe!

Mambo hayo wanawafanyia makabila yasiyokuwa ya Kichagga!
Mmmmmmhmn hamna si kweli, wanaume wa kichagga wenyewe wanakimbia kuoa wanawake wa kichagga siku hizi wanaoa kabila zingine na wanakiri kuwa mapenzi wanayaona.

Wanaona kabisa kuwa hapa kuna tabia na spirit ya hivyo.
 
Nilifika hiyo stage ya Kwanza, alikuwa loyal sana kwangu hadi nikashangaa
Miaka ya zamani ukipata mwanamke ambaye hayupo loyal unastop mahusiano ghafla maana ni wazi hakupendi.

Ila miaka ya sasa ukipata mwanamke loyal unakuwa na mashaka zaidi maana unawaza huyu anataka kunipiga tukio gani au alishawahi kufanya tukio gani hadi ajishushe hivi kwangu.
 
Mshazoea kutuchezea vyasaka, tunatafuta wote mkizipata mnaanza kuhonga na kutapanya Mali za familia.....wanawake wakichaga hawataki ujinga, wanalinda utajiri wa watoto.....Bora utangulie Kwa Mungu ili watoto waishi vizuri, kuliko kuhangaika huko urogwe watoto wageuke machokoraa...
Wamama wa kichaga mitano tena
Mshafika wapalestina. [emoji19][emoji19][emoji19] Vita na vianze.
 
Hao wanawake ni wa mkoa upi? Ndiyo wa huko kaskazini Simiyu sijui au? Au Arusha Arusha huko?

Kwa vyovyote vile, nahisi wanaonewa tu.
1. Wanawake wa kichaga ukioa akiona tu una future anaanza kujiweka Loyal kwako kwa kukuaminisha yeye ni wakitofauti anataka mfanikiwe wote

2. Anakuweka karibu hadi hati zisome majina yake kupitia upendo wake fake.

3. Anakuzalia watoto na kukupiga kampani sana katika shughuli zako kiasi kwamba unaweza usitokee kazini na mambo ya kaenda kumbe lengo lake ajimilikishe biashara yako akutawale.

4. Anatengeneza mazingira ujione unauhitaji wa kutanua biashara au ufungue nyingine sababu ya vijikero unavoviona pale kazin kwa kuwepo yeye kwa mitego alosuka ye mwenyewe

5. Anakushawishi ufungue biashara na ukifungua tu anakushawishi hadi anamleta mdogo wake toka moshi asimamie kisa hana kazi kumbe ndio unazidi jiuza utumwani we mwenyewe

6. Ukifika hii stage hapo ndio unakuwa umejikaanga😆 kila ukitaka kufanya kitu mpaka uwape taarifa hata ukitaka hela kwa matumizi binafsi lazima uwaombe wao maana we ushatawaliwa kisaikolojia ukikosea tu home kote wana kununia na kila ofisi wanalipoti tukio lolote kwa mke hadi ukikohoa kazini chini chini wanapeleka taarifa kwa mkeo. Hapa wanaanza kukuwinda nyezo zako unaanza jiua mwenyewe kisaikolojia mawazo hapa ndio dalili mbaya. Ukifika hii stage unawindwa ukosee uonekane we ndio chanzo. Jirinde sana kwenye hii stage usichepuke ukijichanganya umekwisha

7. Ukifika hii stage sasa ndio huna umuhimu waweza fanyiwa chochote ndio . Wanaanza rasmi anzisha migogoro ili wakupoteze wabaki na mali.

8. Utastuka hii stage hakuna ndugu wako anaweza kuja kwako, mali zako wameshika wakwe, mke mbishi, jeuri wakati alikua mwema hapa ndio dalili ya kifo jua ushatawaliwa kilichobaki ni rehema za mwenyezi Mungu

NB ukitaka jua uko stage gani angalia ndugu zako wanaokuja kwako kama wapo wengi jua upo stage 1 kama wanaongezeka upo stage 2 wakianza pungua upo stage 3 na kuendelea.

Naomba thread hii isindikizwe na wimbo wa Chike ft Mohbad- Egwu

Aiyeeee Aiyeeee Aiyeee Aiyeeee Uuuuuu Uuuu Uuuuu Aiyooo Iyoooo Uuuuu🎶🎶
 
Back
Top Bottom