Truth Matters
JF-Expert Member
- Apr 12, 2013
- 2,302
- 4,603
Waacheni waoane wenyewe kwa wenyewe!
Mambo hayo wanawafanyia makabila yasiyokuwa ya Kichagga!

Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
1. Wanawake wa kichaga ukioa akiona tu una future anaanza kujiweka royal kwako kwa kukuaminisha yeye ni wakitofauti anataka mfanikiwe wote
2. Anakuweka karibu hadi hati zisome majina yake kupitia upendo wake fake.
3. Anakuzalia watoto na kukupiga kampani sana katika shughuli zako kiasi kwamba unaweza usitokee kazini na mambo ya kaenda kumbe lengo lake ajimilikishe biashara yako akutawale.
4. Anatengeneza mazingira ujione unauhitaji wa kutanua biashara au ufungue nyingine sababu ya vijikero unavoviona pale kazin kwa kuwepo yeye kwa mitego alosuka ye mwenyewe
5. Anakushawishi ufungue biashara na ukifungua tu anakushawishi hadi anamleta mdogo wake toka moshi asimamie kisa hana kazi kumbe ndio unazidi jiuza utumwani we mwenyewe
6. Ukifika hii stage hapo ndio unakuwa umejikaanga😆 kila ukitaka kufanya kitu mpaka uwape taarifa hata ukitaka hela kwa matumizi binafsi lazima uwaombe wao maana we ushatawaliwa kisaikolojia ukikosea tu home kote wana kununia na kila ofisi wanalipoti tukio lolote kwa mke hadi ukikohoa kazini chini chini wanapeleka taarifa kwa mkeo. Hapa wanaanza kukuwinda nyezo zako unaanza jiua mwenyewe kisaikolojia mawazo hapa ndio dalili mbaya. Ukifika hii stage unawindwa ukosee uonekane we ndio chanzo. Jirinde sana kwenye hii stage usichepuke ukijichanganya umekwisha
7. Ukifika hii stage sasa ndio huna umuhimu waweza fanyiwa chochote ndio . Wanaanza rasmi anzisha migogoro ili wakupoteze wabaki na mali.
8. Utastuka hii stage hakuna ndugu wako anaweza kuja kwako, mali zako wameshika wakwe, mke mbishi, jeuri wakati alikua mwema hapa ndio dalili ya kifo jua ushatawaliwa kilichobaki ni rehema za mwenyezi Mungu
NB ukitaka jua uko stage gani angalia ndugu zako wanaokuja kwako kama wapo wengi jua upo stage 1 kama wanaongezeka upo stage 2 wakianza pungua upo stage 3 na kuendelea.
Naomba thread hii isindikizwe na wimbo wa Chike ft Mohbad- Egwu
Aiyeeee Aiyeeee Aiyeee Aiyeeee Uuuuuu Uuuu Uuuuu Aiyooo Iyoooo Uuuuu🎶🎶🎶
Dah..Oa ila ishi nao kwa akili sana . Kila dokezo analoleta unalifanyia uchambuzi wa kina kabla ya kutolea maamuzi
Shida sio mali zangu. Shida ni kwanini mali zangu zitumike kuninyanyasa hadi kuhatarisha uhai wanguSio Royal ni Loyal. Kaoe mzaramo. Hawanaga mambo mengi. Wao hutaka tu ruhusa ya kwenda ngomani na sherehe zingine. Hawana shida kabisa na mali zako.

Kuna vya ukweli Na Kuna ambavyo sio1. Wanawake wa kichaga ukioa akiona tu una future anaanza kujiweka royal kwako kwa kukuaminisha yeye ni wakitofauti anataka mfanikiwe wote

🤣🤣🤣Pia nimetoa hii thread kuwapa tahadhari wanaume wenzangu waishi nao kwa akili . Hasa kuzisoma hizo alama za nyakati nlizoorothesha hapo juu, inaumiza wanaume kutawaliwa kwa mali ulizotafta mwenyewe.🥲
Huyo mke mbona mzuri ukijiongeza kiakili mfano mnakutana una msingi wa million 100. Anakupa ramani na ushirikiano mpaka mtaji wa 5 billion.
Hapo mkigawana kila mtu akalala mbele na Hela,biashara,talaka na papuchi na mgegedo wake naona sawa tu.
Sasa hizo tabia mbaya za wanyakyusa na hao wahangaza unaowajua inabidi uzilete hapa mana mi nimeleta ninazozijua uenda na we ukileta na mngine akaleta tunaweza gundua kitu , pengine tutagundua hakuna kabila la kuoa tena bongo hii🤣🤣Una chuki za kindezi sana jomba
Hayo mauaji yanayotokea Geita huko kila siku ni wachaga wale pia?
Unajua tabia za wamama wa kinyakyusa kwenye ndoa?
Unajua tabia za wahangaza wakiolewa?
Acheni kuwasakama wachaga.