Tabia nisizozipenda kwa mabinti wa kaskazini (hasa wachaga) wakiolewa

Since 2012 humu mpo obsessed na wachaga Yani wachaga wachaga kaskazini kaskazini unfortunately wenyewe they don't give a https://jamii.app/JFUserGuide Yani hawajali chochote

Ukichek statistics idadi ya wachaga hata 2m haifiki fighting spirit ya hawa watu inawanyima usingizi.

Nenda kaoe unapotaka then live your life stop wachaga wachaga
 
Nilifika hiyo stage ya Kwanza, alikuwa loyal sana kwangu hadi nikashangaa
 
Huyo mke mbona mzuri ukijiongeza kiakili mfano mnakutana una msingi wa million 100. Anakupa ramani na ushirikiano mpaka mtaji wa 5 billion.

Hapo mkigawana kila mtu akalala mbele na Hela,biashara,talaka na papuchi na mgegedo wake naona sawa tu.
 
Mshazoea kutuchezea vyasaka, tunatafuta wote mkizipata mnaanza kuhonga na kutapanya Mali za familia.....wanawake wakichaga hawataki ujinga, wanalinda utajiri wa watoto.....Bora utangulie Kwa Mungu ili watoto waishi vizuri, kuliko kuhangaika huko urogwe watoto wageuke machokoraa...
Wamama wa kichaga mitano tena
 
Kuna vya ukweli Na Kuna ambavyo sio
 
"8. Utastuka hii stage hakuna ndugu wako anaweza kuja kwako, mali zako wameshika wakwe, mke mbishi, jeuri wakati alikua mwema hapa ndio dalili ya kifo jua ushatawaliwa kilichobaki ni rehema za mwenyezi Mungu."

👆👆

Mimi ni Mchagga.

Kuishi na mwanamke wa Kichagga inahitaji akili sana, yaani hawa ndiyo haswa Biblia ilimaanisha.

Sasa ukiwa na akili sana, lazima mtaachana kwa sababu akishashindwa kukutawala atajiweka kando, ila ukiwa mzembe haya sasa unaenda na maji ya mto Kikavu.

Siamini kwamba wanawake wa Kichagga haswa Wamachame kwamba wanawaua waume zao kwa uchawi ama sumu, bali ni stress.

Sababu ya wanaume wengi waliooa Wachagga kufa mapema ni stress zitokanazo na namba 8 hapo juu.

🏃🏃🏃
 
Unajua konde toka aachwe ndio alikuja gundua "Bora ugali dagaa kwenye amani kuliko wali nyama vitani mateso vitimbwi purukushani..". Aliteseka sana mmakonde yule kulirudisha range lake🤣🤣🤣
Huyo mke mbona mzuri ukijiongeza kiakili mfano mnakutana una msingi wa million 100. Anakupa ramani na ushirikiano mpaka mtaji wa 5 billion.

Hapo mkigawana kila mtu akalala mbele na Hela,biashara,talaka na papuchi na mgegedo wake naona sawa tu.
 
Una chuki za kindezi sana jomba

Hayo mauaji yanayotokea Geita huko kila siku ni wachaga wale pia?

Unajua tabia za wamama wa kinyakyusa kwenye ndoa?

Unajua tabia za wahangaza wakiolewa?

Acheni kuwasakama wachaga.
Sasa hizo tabia mbaya za wanyakyusa na hao wahangaza unaowajua inabidi uzilete hapa mana mi nimeleta ninazozijua uenda na we ukileta na mngine akaleta tunaweza gundua kitu , pengine tutagundua hakuna kabila la kuoa tena bongo hii🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…