Tabia nisizozipenda kwa mabinti wa kaskazini (hasa wachaga) wakiolewa

Unajua konde toka aachwe ndio alikuja gundua "Bora ugali dagaa kwenye amani kuliko wali nyama vitani mateso vitimbwi purukushani..". Aliteseka sana mmakonde yule kulirudisha range lake🤣🤣🤣
Konde boy alijiona mwamba ule mzingo sio saizi yake, halafu hauna lolote kichwani kama rangi za nywele zake. Hafadhali kashituka mapema kabla hajafilisiwa
 
Pa
Kaka watu wanapumulia mashine hakuna kwa kusemea inabidi uje jf utoe tu povu tu hamna namna. Mana waweza kufa na dukuduku moyoni
Mpangaji wangu mchaga,mkewe mchaga, aisee jamaa hana sauti kwa mkewe hadi huruma, halafu mkewe alivyo fala alitaka anitawale na mimi, mama-e nilimfanyia show kali sasaivi ananiheshimu mbwa yule
 
Kweli
Mi mwenyewe katika kizazi hiki cha sasa siamini sana katika mke kuua mume kwa uchawi au mapanga. Unasukiwa mpango wa kukuangamiza kisaikolojia stress zikukukute upotee.
 
mwanaume ukiwa chokochoko pole kama zezeta lazima upandwe kichwani na kuswaga kama kondoo.
nina dada yangu mdogo wangu kiumri namtafutia mchumba kabila mmeru umri miaka 28 ni mpole mstaarabu hana mtoto

"...nina dada yangu mdogo wangu kiumri namtafutia mchumba kabila mmeru umri miaka 28 ni mpole mstaarabu hana mtoto..."

👆
Hivi ni kwanini Wameru wengi hamjui kuandika kwa ufasaha?
 
acheni ufala. mwanaume unakuaje pimbi sawa na kuogopa vita? oa kabila lolote mradi mmependana. la msingi ni kuangalia DNA za familia kama zina maradhi ya kurithi, familia kama ina mambo ya ulozi hayo ndo ya msingi. kama zina hayo mambo usioe wala kuolewa.
 
Fika PM achia Mawasiliano ya huyo Dada yako ushapata Shemeji wa JF
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…