Tabia nyengine za wapenzi wetu tusizilaumu sana, pengine alikutana na zimwi kabla yako!

KENZY

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2015
Posts
36,625
Reaction score
89,385
Ukute alikuwa mtoaji mzuri tu si mchoyo, alikuwa anashare taarifa,pesa n.k
Lakini alipokutana na kurumbembe ambalo halikufunzwa kwao likamnyoosha. nayeye binti/kaka wa watu akaona isiwe tabu, Namna yakwenda na hawa walimwengu ni "Jino kwa jino!".

kila binadamu huwa ana namna yakujilinda kutokana na yale aliyokutana nayo hapo kabla!, kuna watu mapuswa fedha na watu waliowaamini, hebu fikiria kijana anaejitafuta amepanga kamuweka mtu wake ghetto kaenda kazini kuja kurudi mpenzi wake kabeba kila kitu!.
ukija kukutana nae huyu unafikiri atakuwa na imani ileile..??

lazima nayeye atakuwa jinamizi kama majinamizi mengine!.
Mdada wa watu mzuri mwenye moyo safi tu kakutana na janamume gaidi lisilo na chembe ya uadilifu linamtenda dada wa watu!, leo kesho dada wa watu anakuja kukutana na malaika kenzy so anaamua kulipiza kwangu!.

Huchukua muda mpaka mtu kukuamini na kujiachia kwako, so msome na mvumilie vile uwezavyo yakikushinda achana nae labda sio mzigo unaoweza kuubeba!, viumbe vyengine sio vya nchi hii!.

Rai yangu jamani tuweni waungwana mnatuharibia jamii unakutana na mtu ashabadirika amekuwa na misimamo kama ya al shabab japo ni mdada!, unaweza kumlaumu bure kumbe kuna komamanga huko lilishawahi kummanga kwelikweli!.

Watu tunataka tufurahie mapenzi, tule raha na sio kuishi kama kasongo!.
 
Nikweli lakini haipaswi kuendeleza kisasi chako Kwa mtu mwingine,ulikutana na kurumbembe lako likakupiga matukio basi ukiachana nalo usisonge mbele na chuki zako za kupigwa matukio,sahau Ishi Kwa akili na usipeleke hisia zako za nyuma mbele, furahia maisha Kwa kuanza upya bila kutumia yalopita
 
Acha kuongea porojo,

Just imagine kijana kajitafuta for 4yrs kaweka room fresh alafu alete mwanamke ghetto wanaishi wote after a time amuibie kila kitu amrudishe 0
 
Unatakiwa ku heal kwanza kabla hujaingia kwenye mahusiko mengine. Tatizo watu wanaingia wakiwa bado wana maumivu, ndio hizo tabia huchupuka
 
Acha kuongea porojo,

Just imagine kijana kajitafuta for 4yrs kaweka room fresh alafu alete mwanamke ghetto wanaishi wote after a time amuibie kila kitu amrudishe 0
Kwahio Kwa tukio Hilo ndio atawachukia wanawake wote for the rest of his life?? Kua Kila mwanamke atakua nae atahisi ni mwizi?.hizo ni ajali kazini sahau endelea na maisha
 
Ukute alikuwa mtoaji mzuri tu si mchoyo, alikuwa anashare taarifa,pesa n.k
Lakini alipokutana na kurumbembe ambalo halikufunzwa kwao likamnyoosha. nayeye binti/kaka wa watu akaona isiwe tabu, Namna yakwenda na hawa walimwengu ni "Jino kwa jino!".

kila binadamu huwa ana namna yakujilinda kutokana na yale aliyokutana nayo hapo kabla!, kuna watu mapuswa fedha na watu waliowaamini, hebu fikiria kijana anaejitafuta amepanga kamuweka mtu wake ghetto kaenda kazini kuja kurudi mpenzi wake kabeba kila kitu!.
ukija kukutana nae huyu unafikiri atakuwa na imani ileile..??

lazima nayeye atakuwa jinamizi kama majinamizi mengine!.
Mdada wa watu mzuri mwenye moyo safi tu kakutana na janamume gaidi lisilo na chembe ya uadilifu linamtenda dada wa watu!, leo kesho dada wa watu anakuja kukutana na malaika kenzy so anaamua kulipiza kwangu!.

Huchukua muda mpaka mtu kukuamini na kujiachia kwako, so msome na mvumilie vile uwezavyo yakikushinda achana nae labda sio mzigo unaoweza kuubeba!, viumbe vyengine sio vya nchi hii!.

Rai yangu jamani tuweni waungwana mnatuharibia jamii unakutana na mtu ashabadirika amekuwa na misimamo kama ya al shabab japo ni mdada!, unaweza kumlaumu bure kumbe kuna komamanga huko lilishawahi kummanga kwelikweli!.

Watu tunataka tufurahie mapenzi, tule raha na sio kuishi kama kasongo!.
Kazi kwelikweli aisee👿
 
Nikweli lakini haipaswi kuendeleza kisasi chako Kwa mtu mwingine,ulikutana na kurumbembe lako likakupiga matukio basi ukiachana nalo usisonge mbele na chuki zako za kupigwa matukio,sahau Ishi Kwa akili na usipeleke hisia zako za nyuma mbele, furahia maisha Kwa kuanza upya bila kutumia yalopita
Kweli mkuu sio kila mtu ni mpumbaavu kama yule wa mwanzo
 
Kuna tabia hazivumiliki demu anakucheat umvumilie kisa analipitiza yale ex alimfanyia.
 
Nikweli lakini haipaswi kuendeleza kisasi chako Kwa mtu mwingine,ulikutana na kurumbembe lako likakupiga matukio basi ukiachana nalo usisonge mbele na chuki zako za kupigwa matukio,sahau Ishi Kwa akili na usipeleke hisia zako za nyuma mbele, furahia maisha Kwa kuanza upya bila kutumia yalopita
kabisa watu wa move on
 
Nimeandika hapo juu ukishindwa kuvumilia achana na hilo jambazi!..
Kabisa dawa ni kuacha yasiyovumilika haijalishi utaacha wangapi, ili upate mtu sahihi mwenye mambo yanayovumilika.
 
Ukute alikuwa mtoaji mzuri tu si mchoyo, alikuwa anashare taarifa,pesa n.k
Lakini alipokutana na kurumbembe ambalo halikufunzwa kwao likamnyoosha. nayeye binti/kaka wa watu akaona isiwe tabu, Namna yakwenda na hawa walimwengu ni "Jino kwa jino!".

kila binadamu huwa ana namna yakujilinda kutokana na yale aliyokutana nayo hapo kabla!, kuna watu mapuswa fedha na watu waliowaamini, hebu fikiria kijana anaejitafuta amepanga kamuweka mtu wake ghetto kaenda kazini kuja kurudi mpenzi wake kabeba kila kitu!.
ukija kukutana nae huyu unafikiri atakuwa na imani ileile..??

lazima nayeye atakuwa jinamizi kama majinamizi mengine!.
Mdada wa watu mzuri mwenye moyo safi tu kakutana na janamume gaidi lisilo na chembe ya uadilifu linamtenda dada wa watu!, leo kesho dada wa watu anakuja kukutana na malaika kenzy so anaamua kulipiza kwangu!.

Huchukua muda mpaka mtu kukuamini na kujiachia kwako, so msome na mvumilie vile uwezavyo yakikushinda achana nae labda sio mzigo unaoweza kuubeba!, viumbe vyengine sio vya nchi hii!.

Rai yangu jamani tuweni waungwana mnatuharibia jamii unakutana na mtu ashabadirika amekuwa na misimamo kama ya al shabab japo ni mdada!, unaweza kumlaumu bure kumbe kuna komamanga huko lilishawahi kummanga kwelikweli!.

Watu tunataka tufurahie mapenzi, tule raha na sio kuishi kama kasongo!.
Ndio maana kaka zenu tunawasisitiza kuoa mwanamke bikira. Huyu experience ya kila kitu anakuja kuipata kwako kwa mara ya kwanza. Mwanamke ambae tayari ashakua veteran kwenye dating pool huyu amebeba trauma kutoka mahusiano yake yaliyopita.
 
Wengine hawajui hata kama wanashida!
Sababu most of the time wana ignore , jamii yetu ya kibongo ina incourage umalaya au mtu kudumbukiw kwenye mahusiano mengine faster kabla ya kupona. Outcome ni ustawi wa ndoa au relation kuvurugika

As white man says, hurt people hurt people
 
Ndio maana kaka zenu tunawasisitiza kuoa mwanamke bikira. Huyu experience ya kila kitu anakuja kuipata kwako kwa mara ya kwanza. Mwanamke ambae tayari ashakua veteran kwenye dating pool huyu amebeba trauma kutoka mahusiano yake yaliyopita.
Nipatie huyo bikra maana sikuhizi zipo hadi zakutengeneza!
 
Back
Top Bottom