D Metakelfin
JF-Expert Member
- Mar 23, 2017
- 3,728
- 4,181
- Thread starter
- #341
Nisingekuwa na gari,nisingesaidiwa?Wasaidie wenzio ipo siku na wewe utaweza kukwama wakakusaidia haohao
Kauli hizi Huwa wanatoa wasio na kitu sikuzote
Nisingekuwa na gari,nisingesaidiwa?Wasaidie wenzio ipo siku na wewe utaweza kukwama wakakusaidia haohao
Huu msamiati ni mgumu kwelikweliHaya ndio matatizo ya kushindwa kusema hapana/sitaki. Jifunze hiyo misamiati migumu na usiogope lawama. Fanya kile unachofurahia kukifanya hata kama kinakwaza wengine ila mradi ni halali na ni haki yako.
Hakatai kuomba lift ila ni too muchWewe utakuwa na roho mbaya mkuu. Huku Afrika siyo ulaya huwa tunashirikiana.
Mfano unatoka posta unaenda mbweni ukimpa lift mtu ukamuacha mwenge unapungukiwa nini hapo?