Tabia ya Hawa wafanyakazi wenzangu, inaninyima raha

Habari,
Hivi Watanzania huu mtindo wa kuomba lift kwenye gari za watu muda wote mmeutoa wapi?
Walau mtu awe jirani yako umemkuta mbali huko kidogo ina make sense.

Sasa ndugu zangu mtu kazini wanakuvizia kwenye parking inakera sana aisee.

Tena zaidi mtu unamuuliza unaenda wapi badala akujibu na yeye anakuuliza kwani we unaelekea wapi utanishushia hukohuko!

Mtu unashindwa hata kupitia kwa kimchepuko chako kisa hawa watu.
Halafu huwezi jua mtu ana michongo yake gani anataka aifanye ila hapendi watu wa kazini wajue.

Pia tambueni gari mkipanda watu wengi hata ulaji wa mafuta unaongezeka tofauti na akiwa mtu mmoja au wawili.

Tabia ya nyingine ni kuazima gari yaani pale ofisini inafika mchana, mtu anakwambia niazime gari nikafuate chakula hotelini, daah! Yaani unampa mtu kupunguza lawama ila hii tabia inakera maana wengine Wana uendeshaji mbaya kama mi gari yangu ni manual Sasa wengine hawawezi hata kuziendesha vizuri ila wanaforce pia mafuta wakitumia hawa watu Huwa hawachangii hata tone.

Kwanini mtu kama hujataka kununua gari basi kwenye michongo yako bolt au kapande daladala usiwe kero kwenye Mali za watu wengine
Sijui nidhibiti vipi hizi tabia
My first car ilikufa kifo cha mende kwa sababu ya niazime niazime. Siku hizi gari langu naliendesha mwenyewe na nashukuru hakuna anayesema niazime gari. Nikikupa gari hujaomba ila nimekupa mwenyewe na naona kuna ulazima wa kufanya hivyo.
 
Wapige tukio,nenda nao kwa mchepuko wako,nenda kaweke gari mlangoni mwite aje akukumbatie nenda nae restaurant waambie wasubiri,agiza nyama nenda hotelini kalale mpaka wapate story telling scene
Kuna maza fulani alikuwa anafanya kazi TSN ila alikuwa ana moyo wa kutoa lift. Sasa jiroge upande lift yake ndo utaelewa. Nyumbani utafika saa mbili. Maana anapitia sehemu anawambia narudi sasa hivi. GAri hajafunga anaingia atakaa hadi masaa 2 hata 3. Sasa mnawaza muondok muache gari bila kufungwa, haiwezekani kwanza maza mwenyewe ni boss wenu.
Mnakaa tu. Yani kwa tabia yake ilifika kipindi anaforce kuwapa watu lift kila mtu anamkimbia japo uelekeo ni ule ule. Na ukimkimbia ananuna.
Sasa jamaa aanze mtindo huo. anawapa lift halafu anapita sehemu anawambia anrudi dakika moja, anawachomesha mahindi.
Akifanya hivyo mara 3 wataacha watajua jamaa huwa haendi direct.
 
Ukiwa mtenda mabaya, wewe mwenyewe haujijui..
Ukiwa mtenda mabaya, kila siku unasema unaonewa..
Ukiwa mtenda mabaya, huko unakokwenda pia ni pabaya..
Ukiwa na roho mbaya eeh, kweli tutakuogopa..
Ukiwa na pesa nyingi, husahau hata ba ndugu zako..
Kweli walimwengu hawana wema, mola awape nini..
Karola wee
Karolaaa
Dah safi mkuu
 
Kuna maza fulani alikuwa anafanya kazi TSN ila alikuwa ana moyo wa kutoa lift. Sasa jiroge upande lift yake ndo utaelewa. Nyumbani utafika saa mbili. Maana anapitia sehemu anawambia narudi sasa hivi. GAri hajafunga anaingia atakaa hadi masaa 2 hata 3. Sasa mnawaza muondok muache gari bila kufungwa, haiwezekani kwanza maza mwenyewe ni boss wenu.
Mnakaa tu. Yani kwa tabia yake ilifika kipindi anaforce kuwapa watu lift kila mtu anamkimbia japo uelekeo ni ule ule. Na ukimkimbia ananuna.
Sasa jamaa aanze mtindo huo. anawapa lift halafu anapita sehemu anawambia anrudi dakika moja, anawachomesha mahindi.
Akifanya hivyo mara 3 wataacha watajua jamaa huwa haendi direct.
Asije hapa na mada nyingine kwamba kazini wanamchukia.
 
Habari,
Hivi Watanzania huu mtindo wa kuomba lift kwenye gari za watu muda wote mmeutoa wapi?
Walau mtu awe jirani yako umemkuta mbali huko kidogo ina make sense.

Sasa ndugu zangu mtu kazini wanakuvizia kwenye parking inakera sana aisee.

Tena zaidi mtu unamuuliza unaenda wapi badala akujibu na yeye anakuuliza kwani we unaelekea wapi utanishushia hukohuko!

Mtu unashindwa hata kupitia kwa kimchepuko chako kisa hawa watu.
Halafu huwezi jua mtu ana michongo yake gani anataka aifanye ila hapendi watu wa kazini wajue.

Pia tambueni gari mkipanda watu wengi hata ulaji wa mafuta unaongezeka tofauti na akiwa mtu mmoja au wawili.

Tabia ya nyingine ni kuazima gari yaani pale ofisini inafika mchana, mtu anakwambia niazime gari nikafuate chakula hotelini, daah! Yaani unampa mtu kupunguza lawama ila hii tabia inakera maana wengine Wana uendeshaji mbaya kama mi gari yangu ni manual Sasa wengine hawawezi hata kuziendesha vizuri ila wanaforce pia mafuta wakitumia hawa watu Huwa hawachangii hata tone.

Kwanini mtu kama hujataka kununua gari basi kwenye michongo yako bolt au kapande daladala usiwe kero kwenye Mali za watu wengine
Sijui nidhibiti vipi hizi tabia
Pole sana Mkuu, tafuta namna ya kupata kazi nzuri.
Hiyo unayoifanya ni cheap sana au unafanya kazi na watu wa hovyo sana.
 
Nakupa lift halafu nakushusha kituoni unaniuliza naelekea wapi? Hili swali ndio Huwa linanikera sana, ninapoelekea panakuhusu nini wewe shuka endelea na mambo yako
😂😂😂 Eh tunataka jua unaelekea wapi labda nami nataka enda, anyways huwa inaboa sana bt hatuna namna
 
My first car ilikufa kifo cha mende kwa sababu ya niazime niazime. Siku hizi gari langu naliendesha mwenyewe na nashukuru hakuna anayesema niazime gari. Nikikupa gari hujaomba ila nimekupa mwenyewe na naona kuna ulazima wa kufanya hivyo.
Ulitumia mbinu gani mpaka watu wakaacha kukuazima gari?
 
Kuna maza fulani alikuwa anafanya kazi TSN ila alikuwa ana moyo wa kutoa lift. Sasa jiroge upande lift yake ndo utaelewa. Nyumbani utafika saa mbili. Maana anapitia sehemu anawambia narudi sasa hivi. GAri hajafunga anaingia atakaa hadi masaa 2 hata 3. Sasa mnawaza muondok muache gari bila kufungwa, haiwezekani kwanza maza mwenyewe ni boss wenu.
Mnakaa tu. Yani kwa tabia yake ilifika kipindi anaforce kuwapa watu lift kila mtu anamkimbia japo uelekeo ni ule ule. Na ukimkimbia ananuna.
Sasa jamaa aanze mtindo huo. anawapa lift halafu anapita sehemu anawambia anrudi dakika moja, anawachomesha mahindi.
Akifanya hivyo mara 3 wataacha watajua jamaa huwa haendi direct.
Hii mbinu nayo nzuri nitaijaribu
 
Habari,
Hivi Watanzania huu mtindo wa kuomba lift kwenye gari za watu muda wote mmeutoa wapi?
Walau mtu awe jirani yako umemkuta mbali huko kidogo ina make sense.

Sasa ndugu zangu mtu kazini wanakuvizia kwenye parking inakera sana aisee.

Tena zaidi mtu unamuuliza unaenda wapi badala akujibu na yeye anakuuliza kwani we unaelekea wapi utanishushia hukohuko!

Mtu unashindwa hata kupitia kwa kimchepuko chako kisa hawa watu.
Halafu huwezi jua mtu ana michongo yake gani anataka aifanye ila hapendi watu wa kazini wajue.

Pia tambueni gari mkipanda watu wengi hata ulaji wa mafuta unaongezeka tofauti na akiwa mtu mmoja au wawili.

Tabia ya nyingine ni kuazima gari yaani pale ofisini inafika mchana, mtu anakwambia niazime gari nikafuate chakula hotelini, daah! Yaani unampa mtu kupunguza lawama ila hii tabia inakera maana wengine Wana uendeshaji mbaya kama mi gari yangu ni manual Sasa wengine hawawezi hata kuziendesha vizuri ila wanaforce pia mafuta wakitumia hawa watu Huwa hawachangii hata tone.

Kwanini mtu kama hujataka kununua gari basi kwenye michongo yako bolt au kapande daladala usiwe kero kwenye Mali za watu wengine
Sijui nidhibiti vipi hizi tabia
Inaelekea hilo gari ulilinunua baada ya kujinyima sana na kujiapiza. Anyway kama hujawahi kuomba au kupewa lifti popote pale wapotezee mkuu. Ni hayo tu.
 
Pole sana Mkuu, tafuta namna ya kupata kazi nzuri.
Hiyo unayoifanya ni cheap sana au unafanya kazi na watu wa hovyo sana.
Hii njia siiwezi aisee, kupata kazi yenye uhuru kama hii sio rahisi
 
Inaelekea hilo gari ulilinunua baada ya kujinyima sana na kujiapiza. Anyway kama hujawahi kuomba au kupewa lifti popote pale wapotezee mkuu. Ni hayo tu.
Hahahaa!! Sijawahi kujiapiza chochote mkuu lakini hii tabia Yao inakera
 
Back
Top Bottom