Fbn
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 15,749
- 37,420
Kama umekuja na lako tupunguze idadi ya foleniMtatangiuliaje parking mjazane kumsubiri? Hamna ratiba zenu hadi mjipangie gari si lenu?
Kama umekuja na lako tupunguze idadi ya foleniMtatangiuliaje parking mjazane kumsubiri? Hamna ratiba zenu hadi mjipangie gari si lenu?
Ndo na shangaa.Yani katika vitu ambavyo sinaga mda navyo ni magari.Kigari hicho tu kimoja ushaanza kuwasimanga wenzio na ukijenga itakuwa je?
Umemsaidia huyu ambaye ndio mara yake kununua gari.Zamani kuna mzee mmoja alikua anapeleka Petro station ⛽ kisha anachangisha PESA za mafuta.kwenda n kurudi.mbona walikoma kupanda bure.Alikua n msemo wake kua jamani wote tunalipwa twendako. Rest in peace 🕊️ mzee w mjini.
Sasa wewe unajua nakaa Mbweni lakini je unajua mi hapa katikati na michongo gani Huwa naifanya na nisingependa watu wa kazini wafahamuWewe utakuwa na roho mbaya mkuu. Huku Afrika siyo ulaya huwa tunashirikiana.
Mfano unatoka posta unaenda mbweni ukimpa lift mtu ukamuacha mwenge unapungukiwa nini hapo?
Mwanzoni ilikua mara mojamoja Sasa wamegeuza ni utaratibu kamiliHiyo gari siyo ya jumuiya piga chini kupe hao
Nenda na baiskeliHabari,
Hivi Watanzania huu mtindo wa kuomba lift kwenye gari za watu muda wote mmeutoa wapi?
Walau mtu awe jirani yako umemkuta mbali huko kidogo ina make sense.
Sasa ndugu zangu mtu kazini wanakuvizia kwenye parking inakera sana aisee.
Tena zaidi mtu unamuuliza unaenda wapi badala akujibu na yeye anakuuliza kwani we unaelekea wapi utanishushia hukohuko!
Mtu unashindwa hata kupitia kwa kimchepuko chako kisa hawa watu.
Halafu huwezi jua mtu ana michongo yake gani anataka aifanye ila hapendi watu wa kazini wajue.
Pia tambueni gari mkipanda watu wengi hata ulaji wa mafuta unaongezeka tofauti na akiwa mtu mmoja au wawili.
Tabia ya nyingine ni kuazima gari yaani pale ofisini inafika mchana, mtu anakwambia niazime gari nikafuate chakula hotelini, daah! Yaani unampa mtu kupunguza lawama ila hii tabia inakera maana wengine Wana uendeshaji mbaya kama mi gari yangu ni manual Sasa wengine hawawezi hata kuziendesha vizuri ila wanaforce pia mafuta wakitumia hawa watu Huwa hawachangii hata tone.
Kwanini mtu kama hujataka kununua gari basi kwenye michongo yako bolt au kapande daladala usiwe kero kwenye Mali za watu wengine
Sijui nidhibiti vipi hizi tabia
Hii mbinu nzuri lakini wakijua wataanza majungu hawaNi Mali yako lakini inakukosesha amani.
Anyway tafuta parking tofauti na hapo ofisini kwako mkuu.
Dkt remmyUkiwa mtenda mabaya, wewe mwenyewe haujijui..
Ukiwa mtenda mabaya, kila siku unasema unaonewa..
Ukiwa mtenda mabaya, huko unakokwenda pia ni pabaya..
Ukiwa na roho mbaya eeh, kweli tutakuogopa..
Ukiwa na pesa nyingi, husahau hata ba ndugu zako..
Kweli walimwengu hawana wema, mola awape nini..
Karola wee
Karolaaa
Ndugu wanahusianaje na pesa zako?Ukiwa mtenda mabaya, wewe mwenyewe haujijui..
Ukiwa mtenda mabaya, kila siku unasema unaonewa..
Ukiwa mtenda mabaya, huko unakokwenda pia ni pabaya..
Ukiwa na roho mbaya eeh, kweli tutakuogopa..
Ukiwa na pesa nyingi, husahau hata ba ndugu zako..
Kweli walimwengu hawana wema, mola awape nini..
Karola wee
Karolaaa
Acha roho mbaya,aliyekypa wewe ndio aliyewanyima wao,kama unaenda njia tofautina wao we elejea unakoenda wenyewe watashuka tu njiani,acha ubinafusiHabari,
Hivi Watanzania huu mtindo wa kuomba lift kwenye gari za watu muda wote mmeutoa wapi?
Walau mtu awe jirani yako umemkuta mbali huko kidogo ina make sense.
Sasa ndugu zangu mtu kazini wanakuvizia kwenye parking inakera sana aisee.
Tena zaidi mtu unamuuliza unaenda wapi badala akujibu na yeye anakuuliza kwani we unaelekea wapi utanishushia hukohuko!
Mtu unashindwa hata kupitia kwa kimchepuko chako kisa hawa watu.
Halafu huwezi jua mtu ana michongo yake gani anataka aifanye ila hapendi watu wa kazini wajue.
Pia tambueni gari mkipanda watu wengi hata ulaji wa mafuta unaongezeka tofauti na akiwa mtu mmoja au wawili.
Tabia ya nyingine ni kuazima gari yaani pale ofisini inafika mchana, mtu anakwambia niazime gari nikafuate chakula hotelini, daah! Yaani unampa mtu kupunguza lawama ila hii tabia inakera maana wengine Wana uendeshaji mbaya kama mi gari yangu ni manual Sasa wengine hawawezi hata kuziendesha vizuri ila wanaforce pia mafuta wakitumia hawa watu Huwa hawachangii hata tone.
Kwanini mtu kama hujataka kununua gari basi kwenye michongo yako bolt au kapande daladala usiwe kero kwenye Mali za watu wengine
Sijui nidhibiti vipi hizi tabia
Halafu wanageuza utaratibu mbaya mi na michongo yangu Huwa nahitaji kuifanya kabla ya kufika home lakini inashindikana kwa Sasa maana sihitaji waifahamuHayo ndo madhara ya siasa za ujamaa kuomba omba kama masikini kwanini unataka mimi ni share "your poverty" kwa kunishirikisha umasikini wako.
Huwa wanajaa hakuna seat inayobaki wazi ndugu yangu,huyo mchepuko atapanda wapi?Wapige tukio,nenda nao kwa mchepuko wako,nenda kaweke gari mlangoni mwite aje akukumbatie nenda nae restaurant waambie wasubiri,agiza nyama nenda hotelini kalale mpaka wapate story telling scene
Nakupa lift halafu nakushusha kituoni unaniuliza naelekea wapi? Hili swali ndio Huwa linanikera sana, ninapoelekea panakuhusu nini wewe shuka endelea na mambo yakoDuh ndo umeamua kuja kunisema hadi huku JF 😭
Kila mtu ana kipimo chake Cha mafanikio, Kuna mwingine kula Milo mitatu kwa siku ni mafanikio kwakeHivi tanzania ya leo tunaona gari ni mafanikio.