mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 47,054
- 58,689
wenye IST mna roho mbaya sana
Nashukuru kwa kunielewa mkuuAlichoandika na unachojibu tofauti.
Siongelei ushirikina, naongelea kuwa self sufficient, kujitegemea. Si una bajeti ya kazini-nyumbani, jaribu kutumia bajeti yako kuliko kusimangwa.Najua hii mada imekaa kishirikina kwamba kuwekana nuksi kwenye gari
Mzigo ukiongezeka ulaji wa mafuta unaongezeka piaHivi ni mwili wote au makalio tu ndiyo yananyonya mafuta🤣🤣🤣🙌🙌🙌
Ndiyo iwe kila siku unavizia kwenye parking? Kama ni mara moja moja its okay but ikiwa daily ni kero.Wewe utakuwa na roho mbaya mkuu. Huku Afrika siyo ulaya huwa tunashirikiana.
Mfano unatoka posta unaenda mbweni ukimpa lift mtu ukamuacha mwenge unapungukiwa nini hapo?
Tena ingekuwa ni mara Moja,Sasa hivi wamegeuza utaratibu, utasikia "kaka twende ukaniache palepale pa Jana"Mh,nadhani ni kukosa mshipa wa aibu tu
Wakazie,Bora kuchuniwa kuliko kufadhaisha moyo pasipo sababuTena ingekuwa ni mara Moja,Sasa hivi wamegeuza utaratibu, utasikia "kaka twende ukaniache palepale pa Jana"
Kaka inabidi nipate mbinu ya ujanjaujanja tu, nikiwajibu hivyo nadhani ndio utakuwa mwanzo wa chuki,visasi na majungu pale kaziniSimple waambie una mambo muhimu ya kufanya , ya kifamilia. So unahitaji privacy. Watakao elewa haya, wasipo elewa nao poa pia. Watajijua wenyewe huko
Jukumu lako sio ku please matakwa yao, umekuja kufanya kazi
Ulitaka aende kazini na magari yake yote? Umejuaje kwamba ana kagari kamoja tu?Kigari hicho tu kimoja ushaanza kuwasimanga wenzio na ukijenga itakuwa je?
Tena kazi mnafanya Moja, ni kheri yule mfanya usafi,mlinzi au secretary nafahamu kipato Chao ni kidogo.Kuna bolt, uber nk. Kwa nini utake lift za bure?
Ningeweza kuwachana live lakini nisingependa majungu yaanze pale kazinihao wanaovizia lift na kuazima gari yako wako jf? unaonaje ukiwachana live bila kupepesa macho?
😁😁😁Najua hii mada imekaa kishirikina kwamba kuwekana nuksi kwenye gari
kwamba sio mafanikio, basi wote tungekuwa nayo kama ni hivyo.Hivi tanzania ya leo tunaona gari ni mafanikio.
Kaishi nchi zanje.Ni sawa na kumiliki simu tu.kwamba sio mafanikio, basi wote tungekuwa nayo kama ni hivyo.
Daah! Hii imenichekesha lakini ukiachana na mafuta Kuna baadhi ya michongo wengine hatupendi ifahamike kazini ila mtu unatamani ukitoka kazini upitie huko.hawa watu wakiwemo kwenye gari inakuwa ni ngumu tenaUmemsaidia huyu ambaye ndio mara yake kununua gari.