D Metakelfin
JF-Expert Member
- Mar 23, 2017
- 3,728
- 4,181
- Thread starter
- #81
Jinsi ya kuwakwepaGari Yako,,,Uamuzi Ni Wako,,,Wafanyakazi Ni Wenzako Katika Ofisi Moja Sisi Tutaamua/Kukushauri Nini Sasa?
Jinsi ya kuwakwepaGari Yako,,,Uamuzi Ni Wako,,,Wafanyakazi Ni Wenzako Katika Ofisi Moja Sisi Tutaamua/Kukushauri Nini Sasa?
Pole sana, fanya maamuziYaani mtu unashindwa kuwa huru kabisa hilo ndio Tatizo kubwa kwangu
Ukiachana na mafuta.Kuna watu wana roho ngumu sn, yani unaona heri uondoke na gari ukiwa peke yako na kuwaacha wafanyakazi wenzio wanatembea kwa mguu. Hujui ukianguka ghafla hapo kazini hilo gari halitakupeleka hospitali lenyewe, na hata ndugu zako watafika too late. Labda km hao wafanyakazi wenzako mnabifu or else tenda wema uende zako.
Na hisia zangu zinanituma, wewe utakuwa "MWALIMU." maana hawa ndo wakipata kidogo wanajiona madoni, na majivuno kibao (ASHAKUMU SIYO MATUSI). "Niwie radhi km nitakuwa nimekukwaza kwa niliyoongea". Mfungo mwema.
Hilo Bado Liko Upande Wako Tu,,Nadhani Wewe Ndio Unafahamu Zaidi Ya Namna Utakavyowakwepa Ndio Uko nao HukoJinsi ya kuwakwepa
This is too much...Mimi personally napenda sana my privacy ili kufanya mambo yangu, so ningewachana tuu but in a friendly way.Ni Kila siku mkuu.
Yaani nnavyotoka nakuta wamesimama pembeni pale
Kakurupuka kujibuAlichoandika na unachojibu tofauti.
Kuna mwingine ukimwambia hivyo anaanza kuuliza kwani unaenda wapi huenda na mi naelekea hukohuko.Mkuu kwan anakuwa amekuomba akausindikize unapoenda ww au umsogeze anapoenda yeye? C unamwambia tuu kuwa utamshusha njian mana ww unaenda njia tofauti, Yn mm umenipa lift naanzaje kwenda huko unapokwenda ww.
Hongera kwa kununua na kutujuza una gari, bloo. Ni kile kile kipasso au umenunua gari sasa?Habari,
Hivi Watanzania huu mtindo wa kuomba lift kwenye gari za watu muda wote mmeutoa wapi?
Walau mtu awe jirani yako umemkuta mbali huko kidogo ina make sense.
Sasa ndugu zangu mtu kazini wanakuvizia kwenye parking inakera sana aisee.
Tena zaidi mtu unamuuliza unaenda wapi badala akujibu na yeye anakuuliza kwani we unaelekea wapi utanishushia hukohuko!
Mtu unashindwa hata kupitia kwa kimchepuko chako kisa hawa watu.
Halafu huwezi jua mtu ana michongo yake gani anataka aifanye ila hapendi watu wa kazini wajue.
Pia tambueni gari mkipanda watu wengi hata ulaji wa mafuta unaongezeka tofauti na akiwa mtu mmoja au wawili.
Tabia ya nyingine ni kuazima gari yaani pale ofisini inafika mchana, mtu anakwambia niazime gari nikafuate chakula hotelini, daah! Yaani unampa mtu kupunguza lawama ila hii tabia inakera maana wengine Wana uendeshaji mbaya kama mi gari yangu ni manual Sasa wengine hawawezi hata kuziendesha vizuri ila wanaforce pia mafuta wakitumia hawa watu Huwa hawachangii hata tone.
Kwanini mtu kama hujataka kununua gari basi kwenye michongo yako bolt au kapande daladala usiwe kero kwenye Mali za watu wengine
Sijui nidhibiti vipi hizi tabia
Mafuta sio shida sana, shida ni Uhuru wa Mimi kufanya mishe zangu.kabla sijaelekea home,Mwamba ukiwa na muda wabebe wenzio Kama unakwenda mchepuko wapige kiswahili ukapate dhambi peke yako. Kama unauthubutu wajengee mazingira wachangi mafuta kiduchu wapate usafiri wa uhakika.
Sio roho mbaya ila kupanga ni kuchagua mtu kama hana uwezo wa kununua gari labda ningesema namsaidia, ila hawa wenye uwezo ndio waninyime mi uhuruUna roho mbaya sana mpuuzi wewe,
ungejua hilo ni jeneza usingeandika mafi hayo hapa.
Kama hutaki si unakataa tu kwani lazima?
Ushamba na hilo unaita gari manual si itakua una skrepa wewe hujui tu nyau we.
Chagua week yako moja Tu,unawaambia week hii nna ratiba ya kwenda mahali(tofauti na direction ya siku zote).Usipowapa lift week nzima watalisahaau gari.Daah! Hii imenichekesha lakini ukiachana na mafuta Kuna baadhi ya michongo wengine hatupendi ifahamike kazini ila mtu unatamani ukitoka kazini upitie huko.hawa watu wakiwemo kwenye gari inakuwa ni ngumu tena
Sitaki wajue Sasa kama mi Huwa Nina mizunguko yangu kabla ya kwenda nyumbaniMimi nashangaa sana watu wenye vitu vyao halafu vinawatesa....kwanini usijisikie huru na Mali yako!??? Mimi bhana upendo wa mshumaa Sina kwamba niwake huku nateketea hiyo big noo...kama ni Mimi ningewaambia TU nikitoka kazini siendi home Moja kwa Moja Niko na ratiba zangu nyingine....nani atakuuliza ratiba Gani...yaani mwanaume mzima umekuja kulalamika huku kwa ajili ya jambo dogo kama hili....Mimi hata ninapoishi rafiki yangu akiniomba aje kama sipo tayari namwambia usije kipindi hiki sitaki interaction na huwa wananielewa coz sipendi Ile umemkubalia mtu kitu halafu umnyanyase nacho....Mimi kama ni ndio inakuwa ndio kutoka moyoni na kama ni hapana ni hapana kweli sijali utanionaje au utanichukuliaje
Kwan hua unawabeba kila siku?Mafuta sio shida sana, shida ni Uhuru wa Mimi kufanya mishe zangu.kabla sijaelekea home,
Kuna baadhi ya sehemu Huwa natamani kupitia ila sihitaji wajue
Ukiwachana majungu yanaanzaThis is too much...Mimi personally napenda sana my privacy ili kufanya mambo yangu, so ningewachana tuu but in a friendly way.
Najua, haihusiani na hii mada.Hongera kwa kununua na kutujuza una gari, bloo. Ni kile kile kipasso au umenunua gari sasa?
PS
Unajua maana ya mpanda ngazi hushuka?
Hii nayo mbinu nzuriChagua week yako moja Tu,unawaambia week hii nna ratiba ya kwenda mahali(tofauti na direction ya siku zote).Usipowapa lift week nzima watalisahaau gari.