D Metakelfin
JF-Expert Member
- Mar 23, 2017
- 3,728
- 4,181
- Thread starter
- #321
Hivi mkuu unajua kero ya kuwa kwenye Mali yako lakini hauko huru?Roho mbaya tu hiyo sijui ilikuaje ukabahatika kumiliki gari na bila shaka itakua ni IST au Passo.
Hivi mkuu unajua kero ya kuwa kwenye Mali yako lakini hauko huru?Roho mbaya tu hiyo sijui ilikuaje ukabahatika kumiliki gari na bila shaka itakua ni IST au Passo.
Sikutumia mbinu yoyote... mmoja alichukua gari akalipiga mzinga mtakatifu. Ela ya kulipa hana nikaliuza kama skrepa. Nikanunua gari lingine. Mimi huwa siazimi gari la mtu hivyo na mimi simpi mtu gari. Yani usitoke huko eti niazime gari unless nione una shida nikupe mwenyewe napo ni nadra sana.Ulitumia mbinu gani mpaka watu wakaacha kukuazima gari?
Mdogo wangu Monetary doctor nipo salama kabisa.Nilifunzwa tafuta chako, miliki chako, penye ulazima tumia msaada wa mtu mwingine
Tunabezwa na watu aseeh
Hovering uko salama bruh? Ramadhani Karim,
Ni njema broh... Namshukuru MunguMdogo wangu Monetary doctor nipo salama kabisa.
Nashukuru, vipi maendeleo yako.
Tupo safii.Ni njema broh... Namshukuru Mungu
Vip hrkt zinaendaj hapo?
Ni fresh arifu nimefurahi kukuona hapa mkuu...Tupo safii.
Mambo ni shwari, Mungu ni mwema.
Ahsante.
Vipi kuhusu wewe?
Asee kaka shukrani sana kwa kunikumbuka hivi. Picha yetu ya pamoja ipo palepale.🤞Ni fresh arifu nimefurahi kukuona hapa mkuu...
Ondoa shaka bruh tupo pamojaAsee kaka shukrani sana kwa kunikumbuka hivi. Picha yetu ya pamoja ipo palepale.🤞
Hakuna namna inabidi waujue ukweliTatizo huo ndio utakuwa mwanzo wa chuki na majungu
Ukiwa huna gari na una shida ya usafiri mtu akikunyima lifti unamuona ana roho mbaya sana.Ila cku ukimiliki gari utamsamehe maana utaelewa kwann alikuwa anakutosa watu wana mishe nyingi hapa mjini we unawaza kwenda hm tu.Habari,
Hivi Watanzania huu mtindo wa kuomba lift kwenye gari za watu muda wote mmeutoa wapi?
Walau mtu awe jirani yako umemkuta mbali huko kidogo ina make sense.
Sasa ndugu zangu mtu kazini wanakuvizia kwenye parking inakera sana aisee.
Tena zaidi mtu unamuuliza unaenda wapi badala akujibu na yeye anakuuliza kwani we unaelekea wapi utanishushia hukohuko!
Mtu unashindwa hata kupitia kwa kimchepuko chako kisa hawa watu.
Halafu huwezi jua mtu ana michongo yake gani anataka aifanye ila hapendi watu wa kazini wajue.
Pia tambueni gari mkipanda watu wengi hata ulaji wa mafuta unaongezeka tofauti na akiwa mtu mmoja au wawili.
Tabia ya nyingine ni kuazima gari yaani pale ofisini inafika mchana, mtu anakwambia niazime gari nikafuate chakula hotelini, daah! Yaani unampa mtu kupunguza lawama ila hii tabia inakera maana wengine Wana uendeshaji mbaya kama mi gari yangu ni manual Sasa wengine hawawezi hata kuziendesha vizuri ila wanaforce pia mafuta wakitumia hawa watu Huwa hawachangii hata tone.
Kwanini mtu kama hujataka kununua gari basi kwenye michongo yako bolt au kapande daladala usiwe kero kwenye Mali za watu wengine
Sijui nidhibiti vipi hizi tabia
Bila roho mbaya kufanikiwa ni ngumu,najisaidia Mimi nakusaidia na weweRoho mbaya tu hiyo sijui ilikuaje ukabahatika kumiliki gari na bila shaka itakua ni IST au Passo.
Sawa kakaSikutumia mbinu yoyote... mmoja alichukua gari akalipiga mzinga mtakatifu. Ela ya kulipa hana nikaliuza kama skrepa. Nikanunua gari lingine. Mimi huwa siazimi gari la mtu hivyo na mimi simpi mtu gari. Yani usitoke huko eti niazime gari unless nione una shida nikupe mwenyewe napo ni nadra sana.
Anza kuwa kauzu baadaye wakishakuelewa haitakusumbua. Watu ambao huwa wako straight watu huwa hawawachukii wanakuwa washajua msimamo wao.
Walau ulijishtukia au kuwa na aibu na sio Kila anayekupa lift amependa wengine ni huruma,wengine wanaogopa lawama,wengine wachawi.Inawezekana pia hili jambo linategemea watu waliokuzunguuka. Wengine ni utamaduni wao kutoa lifti bila kuombwa. Miaka ya nyuma nilihamia kinyerezi kwenye nyumba ya ndugu yangu aliyekuwa haishi hapo. Huo mtaa nilizungukwa na majirani wenye magari na maisha mashallah, hapo ndio nimeanza kazi. Yaani asubuhi nilikuwa napewa lifti hadi nikawa najishtukia. Ikafika mahali najichelewesha kutoka nyumbani ili wenye magani wawe wameondoka, kumbe kuna mwingine naye siku hiyo amechelewa kutoka. Niliteseka hadi nikanunu la kwangu.
Awalipe wao wanunue ya kwaoHalafu ukiwanyima wanaogeleshana wenyewe eti mungu atakulipa 😀