Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 21,593
- 46,759
Si utafute namna ya kuwakazia tu
Huyo jamaa ni boya,Yn mafuta yaishe kisa kugawa lift ya mtu mmoja?
Dah 🙌 namshukuru Mungu sina usafiri ila sio rahisi kuomba lift kwa watu ndo mana sikutan na watu wenye roho mbaya kama hizi
Na kazini huwa anaomba msaada wa kueleweshwa jinsi ya kufanya kazi na Hao ambao hataki kusongamana kwenye kigari chakeSawa bosi.
Akili yako inakutuma kwamba kila anayeomba LIFTI au msaada basi ANA SHIDA???
Kwako wewe ukiwa na gari huhitaji ushirikiano na watu wengine?
Msongamano upo kwenye gari tu? Nyumba za iibada je? Kila mtu awe na yake ili kuonesha hawana shida?
Individualist culture ipo kwa wazungu Sana, hawapendi kabisa Mambo ya kujuana juana, sie ngozi, nyeusi bado kidogo, tuna kaujamaa ndani, yetu, bado tunafikri cha mwingine ni cha kwangu, au nina haki ya kusaidiwa,Habari,
Hivi Watanzania huu mtindo wa kuomba lift kwenye gari za watu muda wote mmeutoa wapi?
Walau mtu awe jirani yako umemkuta mbali huko kidogo ina make sense.
Sasa ndugu zangu mtu kazini wanakuvizia kwenye parking inakera sana aisee.
Tena zaidi mtu unamuuliza unaenda wapi badala akujibu na yeye anakuuliza kwani we unaelekea wapi utanishushia hukohuko!
Mtu unashindwa hata kupitia kwa kimchepuko chako kisa hawa watu.
Halafu huwezi jua mtu ana michongo yake gani anataka aifanye ila hapendi watu wa kazini wajue.
Pia tambueni gari mkipanda watu wengi hata ulaji wa mafuta unaongezeka tofauti na akiwa mtu mmoja au wawili.
Tabia ya nyingine ni kuazima gari yaani pale ofisini inafika mchana, mtu anakwambia niazime gari nikafuate chakula hotelini, daah! Yaani unampa mtu kupunguza lawama ila hii tabia inakera maana wengine Wana uendeshaji mbaya kama mi gari yangu ni manual Sasa wengine hawawezi hata kuziendesha vizuri ila wanaforce pia mafuta wakitumia hawa watu Huwa hawachangii hata tone.
Kwanini mtu kama hujataka kununua gari basi kwenye michongo yako bolt au kapande daladala usiwe kero kwenye Mali za watu wengine
Sijui nidhibiti vipi hizi tabia
Acha niitunze hiiWabandikie huu msitari nyuma ya gari lako, Mithali 25:17 Mguu wako usiingie katika nyumba ya jirani yako ila kwa kiasi; Asije akakukinai na kukuchukia.
Hii nayo imetokea wapi!?Hivi tanzania ya leo tunaona gari ni mafanikio.
Yaani mmeshirikiana kushindwa kumuelewa!Ndo na shangaa.Yani katika vitu ambavyo sinaga mda navyo ni magari.
Mtu kuwa na gari anaona katoboa maisha.
Bad!Mwanzoni ilikua mara mojamoja Sasa wamegeuza ni utaratibu kamili
Uongo!Kaishi nchi zanje.Ni sawa na kumiliki simu tu.
Hakuna kitu kama Ulaya kumiliki gari lazima uwe na uchumi mkubwa sana, Wengi wao wanatumia usafiri wa public. Waki uku wanashangaa wananchi wa Kawaida wana miliki gari ambalo kwa kwao awawezi kulimuduKaishi nchi zanje.Ni sawa na kumiliki simu tu.
Ndiyo maana mimi najiepusha sana na mambo ya lift. Yaani sipendi kabisa kupewa lift sembuse kuomba. Lift zina changamoto zake. Si umeona mtoa mada alivyotema nyongo. Waomba lift tunawanyima raha wenye magari yao. Machoni anajifanya kukuchangamkia kukupa lift lakini moyoni anakuwa amenuna.Wewe utakuwa na roho mbaya mkuu. Huku Afrika siyo ulaya huwa tunashirikiana.
Mfano unatoka posta unaenda mbweni ukimpa lift mtu ukamuacha mwenge unapungukiwa nini hapo?
Wewe utakuwa na roho mbaya mkuu. Huku Afrika siyo ulaya huwa tunashirikiana.
Mfano unatoka posta unaenda mbweni ukimpa lift mtu ukamuacha mwenge unapungukiwa nini
Nina bosi wangu watu wanaweka mpaka pumba ya ng'ombe kwenye buti lakeDah wanangu mna roho mbaya kinoma, mara nyingi anayeomba lift anakuwa pekee ake tena bila mzigo mkubwa wakiwa wengi n wawili tuu, sasa hapo n mafuta gani yatakayoingia kwenye matumizi kisa umempa mtu lifti?
Shida nayoiona ni mazoea yamezidi, vitu vingine vinakera.Wewe utakuwa na roho mbaya mkuu. Huku Afrika siyo ulaya huwa tunashirikiana.
Mfano unatoka posta unaenda mbweni ukimpa lift mtu ukamuacha mwenge unapungukiwa nini hapo?
Unaenda wapi?Kwani wewe unaenda wapi?Habari,
Hivi Watanzania huu mtindo wa kuomba lift kwenye gari za watu muda wote mmeutoa wapi?
Walau mtu awe jirani yako umemkuta mbali huko kidogo ina make sense.
Sasa ndugu zangu mtu kazini wanakuvizia kwenye parking inakera sana aisee.
Tena zaidi mtu unamuuliza unaenda wapi badala akujibu na yeye anakuuliza kwani we unaelekea wapi utanishushia hukohuko!
Mtu unashindwa hata kupitia kwa kimchepuko chako kisa hawa watu.
Halafu huwezi jua mtu ana michongo yake gani anataka aifanye ila hapendi watu wa kazini wajue.
Pia tambueni gari mkipanda watu wengi hata ulaji wa mafuta unaongezeka tofauti na akiwa mtu mmoja au wawili.
Tabia ya nyingine ni kuazima gari yaani pale ofisini inafika mchana, mtu anakwambia niazime gari nikafuate chakula hotelini, daah! Yaani unampa mtu kupunguza lawama ila hii tabia inakera maana wengine Wana uendeshaji mbaya kama mi gari yangu ni manual Sasa wengine hawawezi hata kuziendesha vizuri ila wanaforce pia mafuta wakitumia hawa watu Huwa hawachangii hata tone.
Kwanini mtu kama hujataka kununua gari basi kwenye michongo yako bolt au kapande daladala usiwe kero kwenye Mali za watu wengine
Sijui nidhibiti vipi hizi tabia
Kwa hiyo hauna muda na gari lakini unawasapoti watu ambao baada ya kumaliza kazi wanajipanga kwenye parking kila siku kutegemea gari ya mtu mwingine?Ndo na shangaa.Yani katika vitu ambavyo sinaga mda navyo ni magari.
Mtu kuwa na gari anaona katoboa maisha.