Tabia ya Hawa wafanyakazi wenzangu, inaninyima raha

Tabia ya Hawa wafanyakazi wenzangu, inaninyima raha

Huwa wanajaa hakuna seat inayobaki wazi ndugu yangu,huyo mchepuko atapanda wapi?
Nadhani jamaa hujamuelewa vizuri japo ameingizia utani ishu ya mchepuko.
Lakini jambo la msingi ni hivi wewe kwa vile unawaonea aibu kuwaambia ukweli kwa maneno fanya vitu kwa vitendo.
Siku wakipanda endesha kuelekea uelekeo tofauti na wa kwenda nyumbani kwako kisha jifanye una appointment na mtu ambaye ushampanga kisha waache kwenye gari uende ukafanye mazungumzo na huyo mtu wako kisha urudi baada ya masaa 2 au 3 baada ya hapo watachukia na hawatapanda tena gari yako wataipitia mbali,wakirudia tena kupanda na wewe unarudia tena mchezo huo hadi wakome
 
Wengi hamjamuelewa mtoa mada yeye kiuhalisia halalamikii mafuta anacholalamikia zaidi ni uhuru

Yani anataka kwenye gari yake awe pekeake ili akikuta manzi pisi Kali njiani anaipigia honi anaipa lift na kuanza mtongozo sasa mkijazana kwenye gari hizo pisi za njiani atazibebaje?
 
Hii ni ishara ya udhaifu kitu chako nacho una kililia humu , Bila shaka nyie ndo wale ambao ata mkiombwa pesa na mwanamke hata kama huna uwezi sema sina na upo tayari uka kope uumpe
Hilo jibu la Sina Huwa nalitoa haraka tu.
Shida hawa nilishakosea kuwajengea mazoea tangu mwanzoni na nahofia nikikataa majungu yataanza
 
Habari,
Hivi Watanzania huu mtindo wa kuomba lift kwenye gari za watu muda wote mmeutoa wapi?
Walau mtu awe jirani yako umemkuta mbali huko kidogo ina make sense.

Sasa ndugu zangu mtu kazini wanakuvizia kwenye parking inakera sana aisee.

Tena zaidi mtu unamuuliza unaenda wapi badala akujibu na yeye anakuuliza kwani we unaelekea wapi utanishushia hukohuko!

Mtu unashindwa hata kupitia kwa kimchepuko chako kisa hawa watu.
Halafu huwezi jua mtu ana michongo yake gani anataka aifanye ila hapendi watu wa kazini wajue.

Pia tambueni gari mkipanda watu wengi hata ulaji wa mafuta unaongezeka tofauti na akiwa mtu mmoja au wawili.

Tabia ya nyingine ni kuazima gari yaani pale ofisini inafika mchana, mtu anakwambia niazime gari nikafuate chakula hotelini, daah! Yaani unampa mtu kupunguza lawama ila hii tabia inakera maana wengine Wana uendeshaji mbaya kama mi gari yangu ni manual Sasa wengine hawawezi hata kuziendesha vizuri ila wanaforce pia mafuta wakitumia hawa watu Huwa hawachangii hata tone.

Kwanini mtu kama hujataka kununua gari basi kwenye michongo yako bolt au kapande daladala usiwe kero kwenye Mali za watu wengine
Sijui nidhibiti vipi hizi tabia
Mkuu si unawaambia tu kuwa kuna sehemu napitia hivyo utemchelewesha kwa safari yake
 
Chelsea kutoka ofisini waambie kuna rafiki yako au Mke wako unamsubiri
Hii mbinu nzuri ila itakuwa inanichelewesha sana kuondoka na kuwahi kwenye mambo yangu,pia linaweza kutokea Tatizo ofisini nikaja kuhusishwa kisa nakuwa wa mwisho kuondoka
 
Msaada au lift hailazimishwi..ni kweli tunasaidiana lakini tusijiendekeze! Ikitokea mara moja moja sawa... kusaidiana kupo ila busara itawale..

Sema mletaa mada kama huna amani usibebe mtu ueleweke kua huzimiki hayo mambo hutaona mtu akijileta.... usijistukie ..mbona mimi siombwi lifti ila tu watu wanajuaga sipendi haya mambo ya ujima..navimba mwenyewe kwenye chuma la watu 7.

Siku nikiwa sina gari hua nakwea mwendokasi
.bolt au bajaji sisumbui mtu.
Kaka hebu nielezee vizuri,naona kama unaweza kunisaidia kwa hili
 
Wabandikie huu msitari nyuma ya gari lako, Mithali 25:17 Mguu wako usiingie katika nyumba ya jirani yako ila kwa kiasi; Asije akakukinai na kukuchukia.
Kaka ntaonekana napiga vijembe hapo
 
Hizo tabia za kijamaa za kuombaomba mnaendekeza sana.

Na ukiendekeza ipo siku utambeba mtu akafia kwenye gari na humjui hata jina lake

Ila na wewe una tatizo kubwa
Eti unampa gari mtu kwa kumuheshimu
Seriously?
Yeye kashindwa kuwa na Soni wala aibu kwa kukuomba gari lako, sasa wewe unamhurumiaje Ombaomba?

Sijawahi kuombwa gari wala kuomba gari kwa mtu
Hii ni tabia za kimasikini sana
Huna gari agiza Uber
Unampa gari mtu bahati mbaya kagonga na limeharibika itakuwa imekula kwako

Maana kama kashindwa ku request atakuwa na hela ya kukutengenezea?

Mtu hana hata Insurance unampaje gari lako na humjui

Mwanangu alipokuwa anajifunza gari alitaka aendeshe kidogo mtaani kwetu
Nikamwambia huwezi kuendesha bila Insurance
Nikamkatia hapo hapo ya masaa mawili nikalipia tukaondoka kwa raha bila wasiwasi wowote
Insurance ya masaa mawili??? Akigongaa mnalipwa🤣🤣🤣🤣
 
Wengi hamjamuelewa mtoa mada yeye kiuhalisia halalamikii mafuta anacholalamikia zaidi ni uhuru

Yani anataka kwenye gari yake awe pekeake ili akikuta manzi pisi Kali njiani anaipigia honi anaipa lift na kuanza mtongozo sasa mkijazana kwenye gari hizo pisi za njiani atazibebaje?
Kwahy kumbe mnazungumzia uhuru wa kuchukua malaya njiani?

Sawa 🤝

D Metakelfin
 
Hyo kitu inakela kwakwel, nina boxer yangu natoka mishemishe nina mzigo mkubwa pia nimepata abilia njian..
Nikapigwa mkono njian na mdada tunafahamiana nae anaomba lift jaman nikamwambia nafas hamna ila kakomaa ikabid akae juu ya mzgo mda huo njia ilikua ni kupanda mlima. ilipga mayowe pikipk mpaka niliihulumia.
Yey tukamwacha njian alifka, na bahat mbaya mafuta yakatuishia njian ikabid tusukume ila chanzo tumegawa lift.
Watu Huwa hawajali wanajijali wao tu, kumbe mwenye chombo pia una mahesabu kibao kuhusu chombo chako
 
Mkuu labda hujaelewa hawa watu wanajua kabisa mi ninakoishi, hivyo wanapanda wakijua naelekea Goba Sasa nikisema nielekee njia ya tofauti italeta maneno na majungu.na wao wameshageuza ni utaratibu Sasa kupanda gari yangu ila kiukweli mi Kuna muda Huwa nahitaji kwenda kwenye mishe zangu nyingine ila sipendi wao wajue,je nafanyeje na wameshapanda kwenye gari huku wanajua kabisa ni muda wa kwenda majumbani
Inakata ila sasa ndo yashakukuta mzee pole sana jipange kuwakimbiza kwa kuwaambia wachangie mafutaa utaonaa walivyo wanafikiii.
 
Ipo Mimi nakuomba lifti wewe unsniliuza naenda wapi? Mimi nakujibu kwa kukuliza kwani wewe unaenda wapi ili swali linakua la kimtego ili usininyime lifti, Popote utapsema unaenda basi mimi nitasema utaniacha sehemu fulani.
Kaka kama ulikuwepo yaani hii ndio mbinu kubwa Huwa wanatumia na mi Huwa nakereka mno maana Kila nnapotaja jamaa utasikia twende
 
Bila shaka umeelewa tumpe mbinu mwana ya kuwatoa hao kauzibe wanaofanya asifaidi ndinga yake

Raha ya ndinga ni kuwapa lift mishangazi na pisi kali
Hakuna namna zaidi ya kuwaambia hao ambao hawana magari kuwa seat zimebaki kwa ajili ya malaya tuu, hvy kama wao ni malaya bc wapande.
 
Kuishi na watu hutakiw kuishi kinyonge,inatakiwa wakat mwingine ujifunze kusema hapana,maana wengine hufanya makusudi ili watumie vitu vyako kwa kukuona wew huwa hukatai na kuna mwingine atakuja kuliharibu tu makusudi ili uteseke kulitengeneza wakat yeye akifurah

Siku ukiwa na ratiba zako uwe unaliacha nyumban
Kazini Kuna umbali kidogo na Mimi usafiri wa umma Huwa naona changamoto Ile kujazana mle kwenye gari.
Uber naona gharama kuliko nkitumia gari yangu,kubolt boda nawaogopa wale madereva maana Kila Mmoja na akili zake,hivyo njia pekee ni kwenda na gari yangu.

Utashangaa sometime nimepark mshikaji anakuja anasema nimuazime akachukue chakula,mara sijui akapokee zawadi kwa demu wake,mara sijui akanunue dawa.
Asa hawa mi Huwa sihofii mafuta ila baadhi Wana uendeshaji wa ovyo kwa magari yasiyo Yao
 
Watu Huwa hawajali wanajijali wao tu, kumbe mwenye chombo pia una mahesabu kibao kuhusu chombo chako
Wabongo kqa kujikausha ni nomaa nakwambia mtu anaweza Panda gari miezi 6 kavuu bili kuchangia hata 100 ya mafuta na huwa unapita nae Sheli lakini binadamu ndivyo tulivyo.
 
Back
Top Bottom