rikiboy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 22,163
- 43,988
Weee nawe kama huwezi hata kusingizia kuwa gari inazinguaa wew tu ndo unaijuliqa bhasii mkatalie mtu maana utakuwa mtumwa waoo.Kazini Kuna umbali kidogo na Mimi usafiri wa umma Huwa naona changamoto Ile kujazana mle kwenye gari.
Uber naona gharama kuliko nkitumia gari yangu,kubolt boda nawaogopa wale madereva maana Kila Mmoja na akili zake,hivyo njia pekee ni kwenda na gari yangu.
Utashangaa sometime nimepark mshikaji anakuja anasema nimuazime akachukue chakula,mara sijui akapokee zawadi kwa demu wake,mara sijui akanunue dawa.
Asa hawa mi Huwa sihofii mafuta ila baadhi Wana uendeshaji wa ovyo kwa magari yasiyo Yao