Macbook pro
JF-Expert Member
- Jul 15, 2020
- 752
- 1,106
Hata mimi nilikuwa hivyo ila niliacha, umasikini tu na umalaya unakusumbua.
Watu wakiwa wengi kwa gari gari inakula mafuta kasemaWewe utakuwa na roho mbaya mkuu. Huku Afrika siyo ulaya huwa tunashirikiana.
Mfano unatoka posta unaenda mbweni ukimpa lift mtu ukamuacha mwenge unapungukiwa nini hapo?
Nilichoona kwa mtoa mada na baadhi ya wanaosapoti kilichoandikwa na mtoa mada ni wana roho mbaya tuu, huwez kulalamika ety Ukitoa lift kwa mtu mmoja mafuta yattaisha, bc n sawa mafuta yataisha c unawaambia tuu wachangie mafuta au unaenda uelekeo tofauti na wao kwa nia ya kuwakwepa tuu kuliko kuwa kwenye makasiriko yasiyo na msingiMleta mada pamoja na umasikini wetu ila hata wewe una udhaifu mkubwa sana, unashindwaje kuwaambia ukweli? Mbona options zipo nyingi tu.
1. Mkitoka ofisini pamoja, pitia filling station then waambie wachangie mafuta, mtu aliyezoea kutoa nauli ya 1,000 mwendokasi ukimwambia atoe 5,000 ya mafuta kesho harudi tena kwenye gari yako.
2. Waambie ukweli kama una safari zako binafsi, usikwepekwepe. Ujamaa ndio umetuharibu, tunapenda vya bure.
Nakumbuka siku moja tulikuwa kanisani mchana kukawa na trip fupi, wengine wakachukua boda, wengine bajaj, na kulikuwa na magari binafsi...jamaa wakapanda kwenye gari ya mwenzao, ile gari ni five seater, kuangalia hivi jamaa anaona nyuma wamekaa wanne. Akawaambia live, hii gari inabeba watatu nyuma, mmoja apungue.
Usiumie nafsi wakati unaweza kuwa huru kwa kusema ukweli.
Ukikataa kutoa lift au kumpa mtu gari utapatwa na nini!!??Habari,
Hivi Watanzania huu mtindo wa kuomba lift kwenye gari za watu muda wote mmeutoa wapi?
Walau mtu awe jirani yako umemkuta mbali huko kidogo ina make sense.
Sasa ndugu zangu mtu kazini wanakuvizia kwenye parking inakera sana aisee.
Tena zaidi mtu unamuuliza unaenda wapi badala akujibu na yeye anakuuliza kwani we unaelekea wapi utanishushia hukohuko!
Mtu unashindwa hata kupitia kwa kimchepuko chako kisa hawa watu.
Halafu huwezi jua mtu ana michongo yake gani anataka aifanye ila hapendi watu wa kazini wajue.
Pia tambueni gari mkipanda watu wengi hata ulaji wa mafuta unaongezeka tofauti na akiwa mtu mmoja au wawili.
Tabia ya nyingine ni kuazima gari yaani pale ofisini inafika mchana, mtu anakwambia niazime gari nikafuate chakula hotelini, daah! Yaani unampa mtu kupunguza lawama ila hii tabia inakera maana wengine Wana uendeshaji mbaya kama mi gari yangu ni manual Sasa wengine hawawezi hata kuziendesha vizuri ila wanaforce pia mafuta wakitumia hawa watu Huwa hawachangii hata tone.
Kwanini mtu kama hujataka kununua gari basi kwenye michongo yako bolt au kapande daladala usiwe kero kwenye Mali za watu wengine
Sijui nidhibiti vipi hizi tabia
Uzoefu unaonyesha kwamba wapewa lift wengi sio wachangiaji wa mafuta, hata ukipita kituo cha mafuta huwa hawajigusi. Ndio maana watoa lift wanapata makasiriko.Nilichoona kwa mtoa mada na baadhi ya wanaosapoti kilichoandikwa na mtoa mada ni wana roho mbaya tuu, huwez kulalamika ety Ukitoa lift kwa mtu mmoja mafuta yattaisha, bc n sawa mafuta yataisha c unawaambia tuu wachangie mafuta au unaenda uelekeo tofauti na wao kwa nia ya kuwakwepa tuu kuliko kuwa kwenye makasiriko yasiyo na msingi
Ujamaa umetuharibu sana, Binafsi huwa sibebi watu kwenye gari kabisa kwasababu kwanza nataka PrivacyAcha roho mbaya,aliyekypa wewe ndio aliyewanyima wao,kama unaenda njia tofautina wao we elejea unakoenda wenyewe watashuka tu njiani,acha ubinafusi
ChoyoUjamaa umetuharibu sana, Binafsi huwa sibebi watu kwenye gari kabisa kwasababu kwanza nataka Privacy
Shida kuchangia au kupanda gari?Uzoefu unaonyesha kwamba wapewa lift wengi sio wachangiaji wa mafuta, hata ukipita kituo cha mafuta huwa hawajigusi. Ndio maana watoa lift wanapata makasiriko.
Watu wana roho mbaya sana humu, ety lift ya mtu mmoja inaongeza ulaji wa mafuta 🙌
KabisaHata mimi nilikuwa hivyo ila niliacha, umasikini tu na umalaya unakusumbua.
Ukikataa kutoa lift au kumpa mtu gari utapatwa na nini!!??
Unafiki brooHii ni ishara ya udhaifu kitu chako nacho una kililia humu , Bila shaka nyie ndo wale ambao ata mkiombwa pesa na mwanamke hata kama huna uwezi sema sina na upo tayari uka kope uumpe
Kumwambia mtu kuwa sipiti uelekeo wako n kitu simple tuu ili kumkwepa usimpe lift kuliko kumpa lift na kuwa kwenye makasiriko.Uzoefu unaonyesha kwamba wapewa lift wengi sio wachangiaji wa mafuta, hata ukipita kituo cha mafuta huwa hawajigusi. Ndio maana watoa lift wanapata makasiriko.
Kwani usipopewa lift utapungukiwa nini mkuu? Shida za mtu zisiwe kero kwa mwingineWewe utakuwa na roho mbaya mkuu. Huku Afrika siyo ulaya huwa tunashirikiana.
Mfano unatoka posta unaenda mbweni ukimpa lift mtu ukamuacha mwenge unapungukiwa nini hapo?
Wewe hujiamini, waambie wenyewe, huku unaposema labda unaturingishia tu kuwa una gari, la sivyo mwanaume simamia misimamo Yako sio kulialia hapa, sisi hao watu hatuwajui kabisaaaaaHabari,
Hivi Watanzania huu mtindo wa kuomba lift kwenye gari za watu muda wote mmeutoa wapi?
Walau mtu awe jirani yako umemkuta mbali huko kidogo ina make sense.
Sasa ndugu zangu mtu kazini wanakuvizia kwenye parking inakera sana aisee.
Tena zaidi mtu unamuuliza unaenda wapi badala akujibu na yeye anakuuliza kwani we unaelekea wapi utanishushia hukohuko!
Mtu unashindwa hata kupitia kwa kimchepuko chako kisa hawa watu.
Halafu huwezi jua mtu ana michongo yake gani anataka aifanye ila hapendi watu wa kazini wajue.
Pia tambueni gari mkipanda watu wengi hata ulaji wa mafuta unaongezeka tofauti na akiwa mtu mmoja au wawili.
Tabia ya nyingine ni kuazima gari yaani pale ofisini inafika mchana, mtu anakwambia niazime gari nikafuate chakula hotelini, daah! Yaani unampa mtu kupunguza lawama ila hii tabia inakera maana wengine Wana uendeshaji mbaya kama mi gari yangu ni manual Sasa wengine hawawezi hata kuziendesha vizuri ila wanaforce pia mafuta wakitumia hawa watu Huwa hawachangii hata tone.
Kwanini mtu kama hujataka kununua gari basi kwenye michongo yako bolt au kapande daladala usiwe kero kwenye Mali za watu wengine
Sijui nidhibiti vipi hizi tabia
Kwani usipopewa lift utapungukiwa nini mkuu? Shida za mtu zisiwe kero kwa mwingine
Tukianzia hapo mdau kwenye "Sijui nidhibiti vipi hizi tabia" inatupa picha halisi ya mahusiano yako na colleagues wako hapo mishe mishe.Habari,
Hivi Watanzania huu mtindo wa kuomba lift kwenye gari za watu muda wote mmeutoa wapi?
Walau mtu awe jirani yako umemkuta mbali huko kidogo ina make sense.
Sasa ndugu zangu mtu kazini wanakuvizia kwenye parking inakera sana aisee.
Tena zaidi mtu unamuuliza unaenda wapi badala akujibu na yeye anakuuliza kwani we unaelekea wapi utanishushia hukohuko!
Mtu unashindwa hata kupitia kwa kimchepuko chako kisa hawa watu.
Halafu huwezi jua mtu ana michongo yake gani anataka aifanye ila hapendi watu wa kazini wajue.
Pia tambueni gari mkipanda watu wengi hata ulaji wa mafuta unaongezeka tofauti na akiwa mtu mmoja au wawili.
Tabia ya nyingine ni kuazima gari yaani pale ofisini inafika mchana, mtu anakwambia niazime gari nikafuate chakula hotelini, daah! Yaani unampa mtu kupunguza lawama ila hii tabia inakera maana wengine Wana uendeshaji mbaya kama mi gari yangu ni manual Sasa wengine hawawezi hata kuziendesha vizuri ila wanaforce pia mafuta wakitumia hawa watu Huwa hawachangii hata tone.
Kwanini mtu kama hujataka kununua gari basi kwenye michongo yako bolt au kapande daladala usiwe kero kwenye Mali za watu wengine
Sijui nidhibiti vipi hizi tabia
Hapo umesema ni shida.Mtu akikukuta unakula chakula no ukamkaribisha. Huwa unamuuliza kwanza hayo maswali? Au huko kwenu hata chakula na majirani hamkaribishani?
Mtaani kwako mtu akipata shida ya ghafla usiku na hana gari wala pesa utaweza kumsaida kweli wewe?