Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Habari!.
Watoto wa matajiri hufanikiwa zaidi kwakuwa ni watoto wanaokua kwa furaha.
Wazazi wao ni marafiki zao.
Mtoto hahitaji majumba ya ghorofa, hahitaji magari ili afurahi. Anahitaji kupendwa na kupewa vizawadi vidogovidogo kabisa.
Uswahili watoto wanadundwa sana , wanakaripiwa sana na wakati mwingine hutukanwa huku wazazi wakijua ndio malezi sahihi.
Mtoto usipomchapa na ukamwonyesha kumjali atafanikiwa zaidi kuliko ukimchapa na kumkaripia hovyo.
Juzi mwanangu P wa miaka 4 alikaripiwa na mama yake(wife wangu) alimwambia kwa ukali "Acha"
Mtoto aliacha kitu alichoambiwa aache ila alimwambia mama yake amwambie acha kwa sauti ndogo huku akitamka hayo maneno. Mama yake alijihisi kawa mtoto halafu mtoto kawa mkubwa.
Msiwachape watoto, watoto ni zao lako. Ukimchapa ni sawa unajichapa wewe mwenyewe. Ikumbukwe tabia za mtoto 75% ni za kwako.