Tabia ya kukodolea macho simu za watu


Great tech advancements
 
Nakumbumbuka nilikuwa natengeneza marafiki kibao kinoma enzi zile uzi wa masihara uko hot,nakumbuka hata nikikosa seat wahuni walikuwa wananipa seat zao ili tu wapate kusoma vizuri.
Kuna wengine wamekuwa masela damudamu
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] We jamaa ni ulitisha sana
 
Mkuu toa physical location usilete janja janja ya kutuingiza killing zone
 
Andika namba moja Mganga then ujifanye unachati naye . Andika hili jini linanisumbua kila baada ya siku mbili linanidai damu . hakika atashukia dirishani huyo anayechungulia SMS zako
 
Ndiyo maana unatakiwa kuwa na nidhamu ya simu yako. Ujue wapi PA kafanyia nini sio Kila sehemu unatumia CMU kwa app zote. Pole
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapo lazima ashuke nawewe kwenye daladala akuombe radhi[emoji28]
Hapo inabidi uwe chap sana. Unaweka namba ya uongo na kweli ukiita Mganga. Zile chatingi tumia maandishi makubwa. Then jifanye unampigia ukimwambia mtaongea vzuri ukishuka
 
Hata mimi huwa sipendi hii tabia! Lakini trust me kuna ile hali mtu unakuwa na mawazo yako tu mengine then bila kujua unakuta umekodolea macho simu ya mtu kiasi kwamba anaweza dhani unasoma mambo yake kumbe wewe macho yako tu ndiyo yako pale ila akili yako wala haiko pale!

Kwahiyo sometimes huwa naona tuache kujishitukia tu! Japo pia siyo kwa wote iko hivyo!
 
Mimi huwa situmii simu nikiwa kwenye daladala. Labda nikipigiwa ndio naweza kupokea napo kwa tabu sana kutegemea na mtu aliyepiga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…