Tabia ya kukodolea macho simu za watu

Tabia ya kukodolea macho simu za watu

[emoji419]Ni km protector zile za glass ila yenyew imetengenezwa kwnye mfumo kwmba utaweza kuona kinachofanyika kwnye simu only if uko usawa wa 90° kutoka usawa uliowekwa simu, pia utweza kuona kama uko umbali wa 30CM plus hzo nyuzi 90°kutoka kwnye usawa ulioshika simu.

[emoji419]So ukiwa umesimama na mwana amekaa utakua umezidi 30cm hvyo hutoweza kuona mtu anaandika nn ama anafanya nn kwnye simu yake.

Zipo za aina mbili (i)BLACK//TINTED

(ii) COLORLESS/PLAIN

[emoji419] Hiyo inamaana kwamba hata abiria mwenzako kwnye seat HATOWEZA kuona unachokifanya zaidi ya kuona giza tuu, kwasababu atakua ameshazidi nyuzi 90° kutoka usawa uliowekwa simu.

[emoji1630]Kwenu nawasilisha [emoji1630]

Great tech advancements
 
Nakumbumbuka nilikuwa natengeneza marafiki kibao kinoma enzi zile uzi wa masihara uko hot,nakumbuka hata nikikosa seat wahuni walikuwa wananipa seat zao ili tu wapate kusoma vizuri.
Kuna wengine wamekuwa masela damudamu
 
Kuna siku ilishawahi nitikea hii nikiwa kweny Daladala. Naandika sms tena kwa Group naona mtu amekodolea tuu ninachoandika nilivyomaliza kuandika nikaandika sms nyingine akiwa anaiangalia nikaandika ivii


KUNA ABIRIA NIMEKAA NAYE ANAFUATILIA SMS BILA HATA AIBU, VP NIMCHUKULIE HATUA GANI?

Daaah mjinga yule aliona aibu balaaa

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] We jamaa ni ulitisha sana
 
[emoji625]Siku ukifka kariakoo nipgie, sms, hta watsap nicheki pia namba yangu hyo hapo [emoji117]0718604980 tukuwekee.

[emoji419]Zinaitwa [emoji117]Privacy Screen Protector.

[emoji1630]Kuwa makini wasije wakakuwekea Glass protector wakakudanganya ni Privacy protector kwasababu Kariakoo wajanja wengi mkuu
Mkuu toa physical location usilete janja janja ya kutuingiza killing zone
 
Andika namba moja Mganga then ujifanye unachati naye . Andika hili jini linanisumbua kila baada ya siku mbili linanidai damu . hakika atashukia dirishani huyo anayechungulia SMS zako
 
Ndiyo maana unatakiwa kuwa na nidhamu ya simu yako. Ujue wapi PA kafanyia nini sio Kila sehemu unatumia CMU kwa app zote. Pole
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapo lazima ashuke nawewe kwenye daladala akuombe radhi[emoji28]
Hapo inabidi uwe chap sana. Unaweka namba ya uongo na kweli ukiita Mganga. Zile chatingi tumia maandishi makubwa. Then jifanye unampigia ukimwambia mtaongea vzuri ukishuka
 
Hata mimi huwa sipendi hii tabia! Lakini trust me kuna ile hali mtu unakuwa na mawazo yako tu mengine then bila kujua unakuta umekodolea macho simu ya mtu kiasi kwamba anaweza dhani unasoma mambo yake kumbe wewe macho yako tu ndiyo yako pale ila akili yako wala haiko pale!

Kwahiyo sometimes huwa naona tuache kujishitukia tu! Japo pia siyo kwa wote iko hivyo!
 
Hii tabia huwa inanikwaza sana halafu ni ya wengi sana! Upo kwenye daladala unatoa simu ujibu meseji au kuanglia kama kuna jipya, sasa jirani yako bila aibu anakodolea macho kwenye simu utadhani inamuhusu!

Unaandika meseji yeye anafuatilia na kusoma unachoandika!

Tuweni wastaarabu jamani
Mimi huwa situmii simu nikiwa kwenye daladala. Labda nikipigiwa ndio naweza kupokea napo kwa tabu sana kutegemea na mtu aliyepiga.
 
Gari lako likwapi..?
IMG_20200801_150453.jpg
 
Back
Top Bottom