Charliemic
JF-Expert Member
- Feb 17, 2019
- 602
- 969
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji419]Ni km protector zile za glass ila yenyew imetengenezwa kwnye mfumo kwmba utaweza kuona kinachofanyika kwnye simu only if uko usawa wa 90° kutoka usawa uliowekwa simu, pia utweza kuona kama uko umbali wa 30CM plus hzo nyuzi 90°kutoka kwnye usawa ulioshika simu.
[emoji419]So ukiwa umesimama na mwana amekaa utakua umezidi 30cm hvyo hutoweza kuona mtu anaandika nn ama anafanya nn kwnye simu yake.
Zipo za aina mbili (i)BLACK//TINTED
(ii) COLORLESS/PLAIN
[emoji419] Hiyo inamaana kwamba hata abiria mwenzako kwnye seat HATOWEZA kuona unachokifanya zaidi ya kuona giza tuu, kwasababu atakua ameshazidi nyuzi 90° kutoka usawa uliowekwa simu.
[emoji1630]Kwenu nawasilisha [emoji1630]
Haujalazimishwa kusoma wala Hakuna aliyekuandikia wewe ili usomeDah! Vingine mshee kwenye magroup yenu wasap huko...
Kuna siku ilishawahi nitikea hii nikiwa kweny Daladala. Naandika sms tena kwa Group naona mtu amekodolea tuu ninachoandika nilivyomaliza kuandika nikaandika sms nyingine akiwa anaiangalia nikaandika ivii
KUNA ABIRIA NIMEKAA NAYE ANAFUATILIA SMS BILA HATA AIBU, VP NIMCHUKULIE HATUA GANI?
Daaah mjinga yule aliona aibu balaaa
Utoto huo.Haujalazimishwa kusoma wala Hakuna aliyekuandikia wewe ili usome
Usilazimishe kila mtu awe na umri sawa na wako! Huku jf watoto pia tupoUtoto huo.
Mkuu toa physical location usilete janja janja ya kutuingiza killing zone[emoji625]Siku ukifka kariakoo nipgie, sms, hta watsap nicheki pia namba yangu hyo hapo [emoji117]0718604980 tukuwekee.
[emoji419]Zinaitwa [emoji117]Privacy Screen Protector.
[emoji1630]Kuwa makini wasije wakakuwekea Glass protector wakakudanganya ni Privacy protector kwasababu Kariakoo wajanja wengi mkuu
Andika namba moja Mganga then ujifanye unachati naye . Andika hili jini linanisumbua kila baada ya siku mbili linanidai damu . hakika atashukia dirishani huyo anayechungulia SMS zako
Hapo inabidi uwe chap sana. Unaweka namba ya uongo na kweli ukiita Mganga. Zile chatingi tumia maandishi makubwa. Then jifanye unampigia ukimwambia mtaongea vzuri ukishuka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapo lazima ashuke nawewe kwenye daladala akuombe radhi[emoji28]
Hapo inabidi uwe chap sana. Unaweka namba ya uongo na kweli ukiita Mganga. Zile chatingi tumia maandishi makubwa. Then jifanye unampigia ukimwambia mtaongea vzuri ukishuka
Nimewahi kumfanya mtu ashuke mahali asipopajua. Pale nilitumia stlye ya nyoka wa kichawi. Niliandika Mganga huyu nyoka nikiwa mahali penye kelele ananisumbua anachungulia njeInaonyesha una kauzoefu fulani hivi [emoji28][emoji28]
...😂😂😂.Kwani wanachama wa JF wote si tuna magari? Kwani lako bovu?😀
Hili ndio sahihi zaidi wewe usoependa kuchaguliwa paku angalia Asante mjumbe Umeeleweka umesha kata mtia niaKweli
Mimi huwa situmii simu nikiwa kwenye daladala. Labda nikipigiwa ndio naweza kupokea napo kwa tabu sana kutegemea na mtu aliyepiga.Hii tabia huwa inanikwaza sana halafu ni ya wengi sana! Upo kwenye daladala unatoa simu ujibu meseji au kuanglia kama kuna jipya, sasa jirani yako bila aibu anakodolea macho kwenye simu utadhani inamuhusu!
Unaandika meseji yeye anafuatilia na kusoma unachoandika!
Tuweni wastaarabu jamani