Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umaskini ndio tatizo, vijana hawataki kufanya kazi, tunapaswa wambia vijana msingi wa maisha ni kazi ukifanya kazi utapata kipato kitakacho tatua shida zako kuomba omba si kuzuri,Pesa ni vitu vidogo umasikini wa Fikra ndo unakusumbua hadi mnaamini pesa ndo kila kitu , na mwisho mnakufa masikini yaani kuombwa buku tano au lakitano ndo mnakaa kuandika nyuzi sijui mmeanza kudata maybe au mpo brainwashed au labda mmeugua mental illiness? Mnachekesha mnapojikuta mmemaliza Maisha
Majibu ya waomba hela yapo hivi hiviPesa ni vitu vidogo umasikini wa Fikra ndo unakusumbua hadi mnaamini pesa ndo kila kitu , na mwisho mnakufa masikini yaani kuombwa buku tano au lakitano ndo mnakaa kuandika nyuzi sijui mmeanza kudata maybe au mpo brainwashed au labda mmeugua mental illiness? Mnachekesha mnapojikuta mmemaliza Maisha
Hili ni tatizo na ni tabia inayonikera sana.
Mtu usipost upo kiwanja flani utashangaa inaingia text "Mzee nisaidie elfu 10 hapo"..
Sawa tunapaswa kusaidiana kwa shida na raha ila ukipata request za kuombwa hela na watu zaidi ya 6 kwa siku mbili tu lazima hata ule moyo wa kiutu unaisha.. utakuwa unafanya kazi ya kuwatumia watu hela tu?
Na hii tabia naiona inakuja kwa kasi sana, Mwanzo nilifikiri ni wanawake tu ndio wenye hii tabia ila kwa sasa mpaka wanaume nao wanaomba hela kama dada zao na mbaya zaidi unamwomba mwanaume mwenzio bila kuzuga zuga.. yaan unaomba ile direct kabisa as if ni haki yako kupewa hiyo hela.
Ndio maana watu wanaamua wakae kimya, maana ukimsalimia mtu tu ni kosa hapo hapo unakula kirungu cha hela ya kula etc..
Na ole wako umuahidi ntakuchekia au ntakutumia.. inageuka kuwa deni, zitapigwa simu mpaka uchanganyikiwe.
Kama una jero ambalo halina kazi nitumie hapo then nitakupa kesho maskani. Nataka nijiunge Cha wiki hapa....fanya hivyoHili ni tatizo na ni tabia inayonikera sana.
Mtu usipost upo kiwanja flani utashangaa inaingia text "Mzee nisaidie elfu 10 hapo"..
Sawa tunapaswa kusaidiana kwa shida na raha ila ukipata request za kuombwa hela na watu zaidi ya 6 kwa siku mbili tu lazima hata ule moyo wa kiutu unaisha.. utakuwa unafanya kazi ya kuwatumia watu hela tu?
Na hii tabia naiona inakuja kwa kasi sana, Mwanzo nilifikiri ni wanawake tu ndio wenye hii tabia ila kwa sasa mpaka wanaume nao wanaomba hela kama dada zao na mbaya zaidi unamwomba mwanaume mwenzio bila kuzuga zuga.. yaan unaomba ile direct kabisa as if ni haki yako kupewa hiyo hela.
Ndio maana watu wanaamua wakae kimya, maana ukimsalimia mtu tu ni kosa hapo hapo unakula kirungu cha hela ya kula etc..
Na ole wako umuahidi ntakuchekia au ntakutumia.. inageuka kuwa deni, zitapigwa simu mpaka uchanganyikiwe.
Ndio maana nikatumia neno Watanzania kwa ujumla iwe Me au Ke.Ila demu akikuomba unatoa chapu??
Mwanamke atakuzika??
Kuna mmoja nimetoka kumpa kama 50k siku kama 7 hiv zimepita, juzi karudi tena.. hata kuacha interval ya wiki asikilizie hakuna.Tutasaidiana pale inawezekana
So kila wakati unatoa hela tu
Well noted sir....Tatizo lako ni kuu ni " ur a nice guy" .
Stop being a nice.
Don't be sweet because you will be eaten.
Ubaya unakuta ww ukihitaji shida ya hela ya chap chap huoni wa kumuomba.. unaenda huko kwenye TALA, Salary Advance etc na bado hicho kidogo ulichokopa utaombwa na utatoa.Waelekeze tala, niwezeshe, branch, bustisha, salary advance, mkoba, and the likes. Kesho hawatakusumbua tena.
sungura mbili zinapatikana hapo au kasichana kadogoUtaskia "Mzee huku maduka yamefungwa em nitumie buku 5 chap nijiunge bundle"
Pesa ni vitu vidogo umasikini wa Fikra ndo unakusumbua hadi mnaamini pesa ndo kila kitu , na mwisho mnakufa masikini yaani kuombwa buku tano au lakitano ndo mnakaa kuandika nyuzi sijui mmeanza kudata maybe au mpo brainwashed au labda mmeugua mental illiness? Mnachekesha mnapojikuta mmemaliza Maisha
"Mzee umeme naona unakaribia kukata alafu shemej yako simpati kwa simu em nitumie 10k hapo nakurudishia kesho"Kama una jero ambalo halina kazi nitumie hapo then nitakupa kesho maskani. Nataka nijiunge Cha wiki hapa....fanya hivyo
Hapa penyewe nasubiri nijibu nini vizinga tayari mtu 5.Utaskia "Mzee huku maduka yamefungwa em nitumie buku 5 chap nijiunge bundle"
Na uwe makini katika kujibu, unaweza jiingiza ktk madeni.Hapa penyewe nasubiri nijibu nini vizinga tayari mtu 5.
Tayari km nadaiwa🤦♂️.Na uwe makini katika kujibu, unaweza jiingiza ktk madeni.
Kitendo cha kusema "poa, ntaangalia" au neno "Sawa" tayari ni DENI na usipowatumia utanuniwa, utachukiwa na kila aina ya dua mbaya utasomewa. Achilia mbali simu na txt za ukumbusho.