Tabia ya kuomba hela (Kiholela) imekuwa desturi ya Watanzania wengi

Tatizo lako kuu ni " ur a nice guy" .

Stop being a nice.

Don't be sweet because you will be eaten.
 
Umaskini ndio tatizo, vijana hawataki kufanya kazi, tunapaswa wambia vijana msingi wa maisha ni kazi ukifanya kazi utapata kipato kitakacho tatua shida zako kuomba omba si kuzuri,
 
Majibu ya waomba hela yapo hivi hivi
 
Buku 2 ya bundle tu brother
 
Kama una jero ambalo halina kazi nitumie hapo then nitakupa kesho maskani. Nataka nijiunge Cha wiki hapa....fanya hivyo
 
Tutasaidiana pale inawezekana
So kila wakati unatoa hela tu
Kuna mmoja nimetoka kumpa kama 50k siku kama 7 hiv zimepita, juzi karudi tena.. hata kuacha interval ya wiki asikilizie hakuna.

Kuna watu hawana mshipa wa aibu.
 
Waelekeze tala, niwezeshe, branch, bustisha, salary advance, mkoba, and the likes. Kesho hawatakusumbua tena.
Ubaya unakuta ww ukihitaji shida ya hela ya chap chap huoni wa kumuomba.. unaenda huko kwenye TALA, Salary Advance etc na bado hicho kidogo ulichokopa utaombwa na utatoa.
 
Kama una jero ambalo halina kazi nitumie hapo then nitakupa kesho maskani. Nataka nijiunge Cha wiki hapa....fanya hivyo
"Mzee umeme naona unakaribia kukata alafu shemej yako simpati kwa simu em nitumie 10k hapo nakurudishia kesho"

Imetoka hiyo.. hela hairudishwi na anapotea mpk apate shida tena..
 
Asee unawezaje kuomba ukiwa tayari unachokiomba unacho.
 
Hapa penyewe nasubiri nijibu nini vizinga tayari mtu 5.
Na uwe makini katika kujibu, unaweza jiingiza ktk madeni.

Kitendo cha kusema "poa, ntaangalia" au neno "Sawa" tayari ni DENI na usipowatumia utanuniwa, utachukiwa na kila aina ya dua mbaya utasomewa. Achilia mbali simu na txt za ukumbusho.
 
Tayari km nadaiwa🤦‍♂️.
Nasema kesho haieleweki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…