Marconho
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 287
- 445
Kuna siku nilikua na miadi na manzi mmoja, budget yangu ilikua ni mimi na yeye, nashangaa anafika na nyomi la rafiki zake! Nikawakaribisha kwa roho ya unyenyekevu sana! Wakaona hapa wamepata shem mwenye kujali.
Nikawaeleza waagize chochote! Baada ya hapo nikamuita pembeni yule manzi wangu, tukaelekea kwenye gari, alivyofika nikawasha gari nikachukua simu yake nikaizima! Sijui nini kiliendelea nyuma, ila yule manzi wangu alilaani sana kile kitendo na kusema hao rafiki zake hawataki hata kumuona!
Kuna mtu aliisha wahi kupata mkasa kama huu! Uliukabili vipi?