Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hukufanya vizuri, bora ungemuweka wazi manzi ako mkaona namna ya kusema either kuna emegensi au laa!
Ivyo ndo alifanya vizuri zaidi kusepa ila ingependeza zaidi angemuacha na uyo demu wake hapo kwa wenzakeHukufanya vizuri, bora ungemuweka wazi manzi ako mkaona namna ya kusema either kuna emegensi au laa!
Ivyo ndo alifanya vizuri zaidi kusepa ila ingependeza zaidi angemuacha na uyo demu wake hapo kwa wenzake
Hapana basi angejikaza kiume akatoa hio walioagiza mara moja kisha wakasepa wakiwaacha hao wanakunywa , hao wangemaliza hawawaoni wangejiongeza kuondoka!!Ivyo ndo alifanya vizuri zaidi kusepa ila ingependeza zaidi angemuacha na uyo demu wake hapo kwa wenzake
Wewe ndo walewaleHapana basi angejikaza kiume akatoa hio walioagiza mara moja kisha wakasepa wakiwaacha hao wanakunywa , hao wangemaliza hawawaoni wangejiongeza kuondoka!!
Masikini kama hawakua na hela sipati picha walitokaje hapo! Ndomana mimi siwezi kutembea bia akiba yangu hata kama mtu ameniambia anaenda kuninunulia baadhi ya vitu au kunitoa out lazima niwe nahela yangu pembeni!Kiukweli mkuu! Uamzi niliochukua ni sahihi sana kwangu! Ungeanza hizo excuses wasingeweza kupata fundisho! Na ile mtu ajifunze na aelewe vzr ni lazima apitie changamoto kidogo!
Sina huo ujinga wa kutoka out na mabest zangu! Nimejiweka tu kwenye position ya hao mashost plus niwe sina hata kumi mfukoni au hata kama ninayo iwe kidogo sana ambayo haitoshi hata. Inasikitisha sana.ww ndo walewale
Ndo tunataka tuikomeshe hii tabia mbovu........Sina huo ujinga wa kutoka out na mabest zangu! Nimejiweka tu kwenye position ya hao mashost plus niwe sina hata kumi mfukoni au hata kama ninayo iwe kidogo sana ambayo haitoshi hata. Inasikitisha sana.
Hio staili ya ukomeshaji sio nzuri aisee unamwambia tu ukweli huyo mtu wako kuwa hauko vizuri kama muelewa atakuelewa ila kama kichwa maji basi! Ila wa kujifunza atajifunza siku nyingine hatorudia! Pia mnaonekana tu by nature sio wa kujitoa kiivo na hali yenu kiuchumi pia ni tete vinywaji/vyakula kitu gani bana nususaa nyingi mtu anaenda msalani!! Kama unazo unatoa tu uzidi kubarikiwa zaidi!Ndo tunataka tuikomeshe hii tabia mbovu........
Ukweli wa nn uambiwe wanawake wenzio juu hapo wamesema ukweli kwamba mwanamke wa ivo hakupendi........hapo jino kwa jino unaachwa kwnye mataa na shost zako ili next time utie adabuHio staili ya ukomeshaji sio nzuri aisee unamwambia tu ukweli huyo mtu wako kuwa hauko vizuri kama muelewa atakuelewa ila kama kichwa maji basi! Ila wa kujifunza atajifunza siku nyingine hatorudia! Pia mnaonekana tu by nature sio wa kujitoa kiivo na hali yenu kiuchumi pia ni tete vinywaji/vyakula kitu gani bana nususaa nyingi mtu anaenda msalani!!
Mkuu sababu ya kutokukupenda huwa ingine ila sababu kinara kabisa ni USWAHILI!!!!!!!!!!!Mwanamke akikufanyia hivyo ujue hakupendi, sema anataka kukupiga Vizinga tu, na hapo anaita wenzie ili kuwatambia kuhusu ww
Chakufanya wakija wengi hivyo unakula nao stories kwa dakika tano then unanyanyuka kua umepata dharula kisha unasepa ukiwaambia mtaonana Siku ingine, picha inaishia hapo tu
Za kuadimika vp mdogo wanguHapana basi angejikaza kiume akatoa hio walioagiza mara moja kisha wakasepa wakiwaacha hao wanakunywa , hao wangemaliza hawawaoni wangejiongeza kuondoka!!
Sawa cheupeKutokujielewa tu na ukiona unafanyiwa hivyo jua kabisa we mwanaume haupendwi unachunwa tu
Mwanaume unayempenda unaanzaje kumfanyia hivyo
Masikini kama hawakua na hela sipati picha walitokaje hapo! Ndomana mimi siwezi kutembea bia akiba yangu hata kama mtu ameniambia anaenda kuninunulia baadhi ya vitu au kunitoa out lazima niwe nahela yangu pembeni!
Mkuu sababu ya kutokukupenda huwa ingine ila sababu kinara kabisa ni USWAHILI!!!!!!!!!!!
1. USWAHILI
2.KUTOJITAMBUA
3.HAKUPENDI
Kama mwana hujamuelewa unamwambia tu au unaenda basi sio unamkusanyia Wana vikoba wote haipendezi maana mtashindwa hata kuongea mambo yenu binafsi... Nimefanya uswahili mwingi ila huu HAPANA!