Tabia ya kuwa na miadi sehemu na mwanamke, yeye anakuja na rafiki zake bado ipo?

Tabia ya kuwa na miadi sehemu na mwanamke, yeye anakuja na rafiki zake bado ipo?

Niambie before Kua " honey ntakuaja na friends kadhaa will it be ok!.. sio gafla unaniibukia na timu ya mpira'' hata faragha tunakosa hatuwezi enjoy tuzungumza,, MDA wote mnaongea issue zenu za saloon!.. no way!.. guys kama tulivyokubaliana wakija wengi zaidi ya wawili unawamwaga !..
 
Next time unawanunulia soda tu . Halafu unaaga zako. Unasepa unawaacha.
 
Mkuu inasikitisha ila kuna muda inabidi tu ubae uhusika wa uanaume! Yaani ukanyweshe na kulisha watu ambao wakitoka hapo wameshiba wanaenda kugawa nyapu bila ttz lolote!
Wapuuzi sana hawa watoto
 
Kama mpo wanne! Mhudumu leta soda nne, chips mayai sahani 2, ku- share wawili. Tena wakarihishe kwa ukarimu. Mwisho waambie pesa yangu inaishia hapa, au kuna ya nyongeza? Okay! Asanteni sana na karibuni tena!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1666]
 
Niambie before Kua " honey ntakuaja na friends kadhaa will it be ok!.. sio gafla unaniibukia na timu ya mpira'' hata faragha tunakosa hatuwezi enjoy tuzungumza,, MDA wote mnaongea issue zenu za saloon!.. no way!.. guys kama tulivyokubaliana wakija wengi zaidi ya wawili unawamwaga !..

Sasa hiyo ndo solution pekee iliyobaki! Na pia hata km anakujulisha kuwa atakuja friends kadhaa! Wanakuja kufanya nini kwako hao friends?
 
Nilivo na wivu hivi na nikicheki marafiki walivo pisi kali àaah kwa babe wangu naenda mwenyewe hata bila kuaga!asije akabadilisha choice akamchoose rafiki buree[emoji23]

Mara nyingi huwa tunawachanganya balaa! Maana umeniketea mwenyewe wasaudizi wako bila kutumia nguvu!!
 
Wakati nasoma comments nilikuwa nafikiri hichi kitu pia, wakati hata picha nikiipost ya birthday natamani niifiche ili jamaa asione mtoto mkali halafu Leo eti nampelekea kabisa.?? Over my dead body..!

Mazoea ya my man na beshtez huwa sitakagi kabisa, I don't trust a soul..!

Una maamuzi mazuri sana! Tumewamega mtu na rafiki zake sana kwa style hiyo
 
Next time unawanunulia soda tu . Halafu unaaga zako. Unasepa unawaacha.

Hawafai hata kupata soda! Kwanza wanavyojiona upstairs wasingekunywa hizo soda mkuu, nilichokifanya ndicho kiliwastahili.
 
Kuna siku nilikua na miadi na manzi mmoja, budget yangu ilikua ni mimi na yeye, nashangaa anafika na nyomi la rafiki zake! Nikawakaribisha kwa roho ya unyenyekevu sana! Wakaona hapa wamepata shem mwenye kujali.

Nikawaeleza waagize chochote! Baada ya hapo nikamuita pembeni yule manzi wangu, tukaelekea kwenye gari, alivyofika nikawasha gari nikachukua simu yake nikaizima! Sijui nini kiliendelea nyuma, ila yule manzi wangu alilaani sana kile kitendo na kusema hao rafiki zake hawataki hata kumuona!

Kuna mtu aliisha wahi kupata mkasa kama huu! Uliukabili vipi?
Ulikosea, ilibidi ukae pale japo hata kidogo ili upate namba zao za simu. Baada ya hapa ilikubidi kufanya mchakato wa kumpata mmoja baada ya mmoja na kumla uroda wa kinyama. Kwa vyovyote vile huyo manzi wako angekuja kujuwa kuwa umewala uroda marafiki zake na atakuuliza tu, unamwambia nilikuwa nalipizia fidia yangu. Atakuacha wewe na atagombana na marafiki zake wete.
 
Kwa sisi wanaume huwa kuna hatua inafikia unakuwa huna Uoga wala Hofu ya Kumjibu mwanamke kuwa Sitaki au Siwezi tofauti na vivulana wanavyovipelekesha. Kuna wanawake wamekuja kujikuta wao wanajua sana Matumizi ya Pesa na wanaijua Pesa kuluko hata unayeitafuta kila uchwao.

Huyo ukimuuliza tofauti na kukupa uchi ana nini kingine cha kukupa, atabaki anakukodolea tu macho na kutingisha matako.
 
Kweli nilikosea mkuu! Nimepata funzo hapa
 
Kwa sisi wanaume huwa kuna hatua inafikia unakuwa huna Uoga wala Hofu ya Kumjibu mwanamke kuwa Sitaki au Siwezi tofauti na vivulana wanavyovipelekesha. Kuna wanawake wamekuja kujikuta wao wanajua sana Matumizi ya Pesa na wanaijua Pesa kuluko hata unayeitafuta kila uchwao.

Huyo ukimuuliza tofauti na kukupa uchi ana nini kingine cha kukupa, atabaki anakukodolea tu macho na kutingisha matako.

Kabisa mkuu.
 
Back
Top Bottom