Vhagar
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,550
- 39,949
Ukija nae ukienda chooni me huku naanza kumchombeza na vile hampendanagi nyie.🙌😀Nilivo na wivu hivi na nikicheki marafiki walivo pisi kali àaah kwa babe wangu naenda mwenyewe hata bila kuaga!asije akabadilisha choice akamchoose rafiki buree😂