Hili zoezi gumu la nini?Ulifanya la maana sana! Au kama mfuko wako ungekua njema,ungeteketeza tu 500k, then unaanza mtafuna mmoja baada ya mwingine! Siku wakija shituka usharamba wote!
Ebwana si mchezo ila sikupingi mheshimiwa nimekubali.Ulifanya la maana sana! Au kama mfuko wako ungekua njema,ungeteketeza tu 500k, then unaanza mtafuna mmoja baada ya mwingine! Siku wakija shituka usharamba wote!
Ulifanya la maana sana! Au kama mfuko wako ungekua njema,ungeteketeza tu 500k, then unaanza mtafuna mmoja baada ya mwingine! Siku wakija shituka usharamba wote!
Ulifanya la maana sana! Au kama mfuko wako ungekua njema,ungeteketeza tu 500k, then unaanza mtafuna mmoja baada ya mwingine! Siku wakija shituka usharamba wote!
Mwanamke akikufanyia hivyo ujue hakupendi, sema anataka kukupiga Vizinga tu, na hapo anaita wenzie ili kuwatambia kuhusu ww
Chakufanya wakija wengi hivyo unakula nao stories kwa dakika tano then unanyanyuka kua umepata dharula kisha unasepa ukiwaambia mtaonana Siku ingine, picha inaishia hapo tu
Ulifanya lililo jema mkuu, safi sanaMkuu hata me yule manzi niliona hanifai nikatana nae mapema tu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mwanaume aliwaambia waagize watakacho wao wakaagiza vya bei juu kumbe mwanaume hana ela,Mwanaume alitoka kwa staili ya kuongea na simu,walimsubiri kila wakimpigia hapatikani, na wao walikuwa hawana ela walinyang'anywa simu zao[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787]mwanaume aliwaambia waagize watakacho wao wakaagiza vya bei juu kumbe mwanaume hana ela,Mwanaume alitoka kwa staili ya kuongea na simu,walimsubiri kila wakimpigia hapatikani, na wao walikuwa hawana ela walinyang'anywa simu zao[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mwanamke wa hivo sio wa kuoa. Hapo ina maana hata hao shoga zake wakiitwa na yeye huwa anaenda.