Tabia ya kwenda kwenye maduka karibu na nyumbani kwako kununua tuvitu kama nyanya, Kitunguu inatia aibu sana

dorge

Senior Member
Joined
Feb 7, 2025
Posts
118
Reaction score
186
Nimejikuta napata ubaridi baada ya kurejea maskani kwangu I mean home safari za dukani zimenisikitisha sana.

Wadau inawezekana tunatofautiana utaratibu wa kibajeti. Napenda kununua Michele, Mahindi,maharagwe, sukari, mavitunguu nk nk

Sometimes nikiwa nyumbani say weekend ndefu, nalala kama siku tatu nikiwa ndani au week nakaa ndani kulala kupika na kula viporo.

Potelea pote,ila sipati adha ya kupigia boda alete. Nakumbuka nina boda namtumia sana anifanyie manunuzi ya ghafla, yale ya emergency, jamaa aliingua bucha akachukua mifupa na minyama banana wewe, nilishangaa sana, wakati huu najisemea, nimeingia cha Kike, sasa hizi ni emergency na sijajilaumu sana.

Sasa ni kawaida kwa sisi wadau wa kupotea wiki mbili tatu, watu hata hawakudamu, wengine wanahoji wanakosa majibu maana ni kawaida kuwaonya wanafamilia kueleza alipo mzee mwenye nyumba. Hata mama mwenye nyumba anakulaga ovyo kuropoka.

Ilikuwa hivi, siku moja mshua nimejilaza, akaja mdau akaniulizia, WiFi enu si akajichanganya kuja kuniamsha eti kuna mgeni wako, au hata ile simu I apigwa na mwanafamilia eti unaniletea na mimi niongee.. Pambaffuu..ni kosa kubwa, kuongea na simu kwangu ninlazima nifanye maandalizi. Kwetu sisi tunaopenda kujifungia ni kosa mtoto kuja kukuita mzee Stoke na taulo...no sasa jamani huu ni utaratibu tu.

Kifupi nimejikuta nafurukutwa na maini,moyo,Figo mapigo siyaelewi ile kuona mtu anafwata kibiriti dukani kwa chuwa. Mara sijalaa sawa nyannya! Mamamaaee Mara tunguska shemzi kabisa.....

Niliita boda boda nikachukua peni na karatasi andika kila kitu, ofa yake imechangamka, nikasema potelea mbali. Neno moja kwa familia ikawa marufuku kwenda kwa Materu.

Ninwaambie wanangu wale tunapenda kwenda kwa mangi, initially aibu sana, tukilo moja moja ni vibaya, unadharaulika kila unapokuwa mmepanga foleni. Initia aibu mno.

Lamsiki
 
Watu wanaguswa sana hapo kwa hiyo tarajia mapovu
 
Sasa ni kawaida kwa sisi wadau wa kupotea wiki mbili tatu, watu hata hawakudamu, wengine wanahoji wanakosa majibu maana ni kawaida kuwaonya wanafamilia kueleza alipo mzee mwenye nyumba. Hata mama mwenye nyumba anakulaga ovyo kuropoka. Likuwa hivi, siku moja mshua nimejilaza, akaja mdau akaniulizia, WiFi enu si akajichanganya kuja kuniamsha eti kuna mgeni wako, au hata ile simu I apigwa na mwanafamilia eti unaniletea na mimi niongee.. Pambaffuu..ni kosa kubwa, kuongea na simu kwangu ninlazima nifanye maandalizi. Kwetu sisi tunaopenda kujifungia ni kosa mtoto kuja kukuita mzee Stoke na taulo...no sasa jamani huu ni utaratibu tu.

Kifupi nimejikuta nafurukutwa na maini,moyo,Figo mapigo siyaelewi ile kuona mtu anafwata kibiriti dukani kwa chuwa. Mara sijalaa sawa nyannya! Mamamaaee Mara tunguska shemzi kabisa.....

Niliita boda boda nikachukua peni na karatasi andika kila kitu, ofa yake imechangamka, nikasema potelea mbali. Neno moja kwa familia ikawa marufuku kwenda kwa Materu.

Ninwaambie wanangu wale tunapenda kwenda kwa mangi, initially aibu sana, tukilo moja moja ni vibaya, unadharaulika kila unapokuwa mmepanga foleni. Initia aibu mno.

Lamsiki
Japo mwandiko wako sijaelewa baadhi ya maneno ila napinga sana Suala la kurundika vitu ndani kama mchere, unga, ndoo ya mafuta ya kula, vitunguu, nyanya nk. Utadhani unaishi nchi yenye vita!
Hivi wote tukiishi mpaka na mabox ya vibiriti ndani na madebe ya nyanya hao wenye maduka na vibanda mtaani watamuuzia nani? Au wafunge maduka?
 
Nimejikuta napata ubaridi baada ya kurejea maskani kwangu I mean home safari za dukani zimenisikitisha sana.

Wadau inawezekana tunatofautiana utaratibu wa kibajeti. Napenda kununua Michele, Mahindi,maharagwe, sukari, mavitunguu nk nk

Sometimes nikiwa nyumbani say weekend ndefu, nalala kama siku tatu nikiwa ndani au week nakaa ndani kulala kupika na kula viporo.

Potelea pote,ila sipati adha ya kupigia boda alete. Nakumbuka nina boda namtumia sana anifanyie manunuzi ya ghafla, yale ya emergency, jamaa aliingua bucha akachukua mifupa na minyama banana wewe, nilishangaa sana, wakati huu najisemea, nimeingia cha Kike, sasa hizi ni emergency na sijajilaumu sana.

Sasa ni kawaida kwa sisi wadau wa kupotea wiki mbili tatu, watu hata hawakudamu, wengine wanahoji wanakosa majibu maana ni kawaida kuwaonya wanafamilia kueleza alipo mzee mwenye nyumba. Hata mama mwenye nyumba anakulaga ovyo kuropoka.

Ilikuwa hivi, siku moja mshua nimejilaza, akaja mdau akaniulizia, WiFi enu si akajichanganya kuja kuniamsha eti kuna mgeni wako, au hata ile simu I apigwa na mwanafamilia eti unaniletea na mimi niongee.. Pambaffuu..ni kosa kubwa, kuongea na simu kwangu ninlazima nifanye maandalizi. Kwetu sisi tunaopenda kujifungia ni kosa mtoto kuja kukuita mzee Stoke na taulo...no sasa jamani huu ni utaratibu tu.

Kifupi nimejikuta nafurukutwa na maini,moyo,Figo mapigo siyaelewi ile kuona mtu anafwata kibiriti dukani kwa chuwa. Mara sijalaa sawa nyannya! Mamamaaee Mara tunguska shemzi kabisa.....

Niliita boda boda nikachukua peni na karatasi andika kila kitu, ofa yake imechangamka, nikasema potelea mbali. Neno moja kwa familia ikawa marufuku kwenda kwa Materu.

Ninwaambie wanangu wale tunapenda kwenda kwa mangi, initially aibu sana, tukilo moja moja ni vibaya, unadharaulika kila unapokuwa mmepanga foleni. Initia aibu mno.

Lamsiki
Mengine hueleweki umekula farujohn!
 
Alieelewa Anifafanulie
 
Upo baa gari nije mie mishikaki 3 tu na Pepsi moja tu, maana unayoandika bora nije kukusaidia kuhesabu usije kosea kulipa bili
 
Back
Top Bottom