Tabia ya kwenda kwenye maduka karibu na nyumbani kwako kununua tuvitu kama nyanya, Kitunguu inatia aibu sana

Nimejikuta napata ubaridi baada ya kurejea maskani kwangu I mean home safari za dukani zimenisikitisha sana.

Wadau inawezekana tunatofautiana utaratibu wa kibajeti. Napenda kununua Michele, Mahindi,maharagwe, sukari, mavitunguu nk nk

Sometimes nikiwa nyumbani say weekend ndefu, nalala kama siku tatu nikiwa ndani au week nakaa ndani kulala kupika na kula viporo.

Potelea pote,ila sipati adha ya kupigia boda alete. Nakumbuka nina boda namtumia sana anifanyie manunuzi ya ghafla, yale ya emergency, jamaa aliingua bucha akachukua mifupa na minyama banana wewe, nilishangaa sana, wakati huu najisemea, nimeingia cha Kike, sasa hizi ni emergency na sijajilaumu sana.

Sasa ni kawaida kwa sisi wadau wa kupotea wiki mbili tatu, watu hata hawakudamu, wengine wanahoji wanakosa majibu maana ni kawaida kuwaonya wanafamilia kueleza alipo mzee mwenye nyumba. Hata mama mwenye nyumba anakulaga ovyo kuropoka.

Ilikuwa hivi, siku moja mshua nimejilaza, akaja mdau akaniulizia, WiFi enu si akajichanganya kuja kuniamsha eti kuna mgeni wako, au hata ile simu I apigwa na mwanafamilia eti unaniletea na mimi niongee.. Pambaffuu..ni kosa kubwa, kuongea na simu kwangu ninlazima nifanye maandalizi. Kwetu sisi tunaopenda kujifungia ni kosa mtoto kuja kukuita mzee Stoke na taulo...no sasa jamani huu ni utaratibu tu.

Kifupi nimejikuta nafurukutwa na maini,moyo,Figo mapigo siyaelewi ile kuona mtu anafwata kibiriti dukani kwa chuwa. Mara sijalaa sawa nyannya! Mamamaaee Mara tunguska shemzi kabisa.....

Niliita boda boda nikachukua peni na karatasi andika kila kitu, ofa yake imechangamka, nikasema potelea mbali. Neno moja kwa familia ikawa marufuku kwenda kwa Materu.

Ninwaambie wanangu wale tunapenda kwenda kwa mangi, initially aibu sana, tukilo moja moja ni vibaya, unadharaulika kila unapokuwa mmepanga foleni. Initia aibu mno.

Lamsiki
njaa haina adabu,
nunua nyanya popote kapike msosi ule gentleman,

usije kuanguka kisa njaa kwasabb tu ya dhana potofu 🐒
 
Ni mimi peke yangu ndiye sijaelewa au?
Uzi mmoja stori tatu na kichwa cha habari cha nne.
😂😂😂 mara chuwa mara materu mara marufuku baba kutoka na taulo mambo tafrani 😂😂😂
 
Japo mwandiko wako sijaelewa baadhi ya maneno ila napinga sana Suala la kurundika vitu ndani kama mchere, unga, ndoo ya mafuta ya kula, vitunguu, nyanya nk. Utadhani unaishi nchi yenye vita!
Hivi wote tukiishi mpaka na mabox ya vibiriti ndani na madebe ya nyanya hao wenye maduka na vibanda mtaani watamuuzia nani? Au wafunge maduka?

Kwani si tunapishana siku za manunuzi??
Leo nanunua mimi vitu vya mwezi mzima kesho utanunua wewe.....
 
Nimejikuta napata ubaridi baada ya kurejea maskani kwangu I mean home safari za dukani zimenisikitisha sana.

Wadau inawezekana tunatofautiana utaratibu wa kibajeti. Napenda kununua Michele, Mahindi,maharagwe, sukari, mavitunguu nk nk

Sometimes nikiwa nyumbani say weekend ndefu, nalala kama siku tatu nikiwa ndani au week nakaa ndani kulala kupika na kula viporo.

Potelea pote,ila sipati adha ya kupigia boda alete. Nakumbuka nina boda namtumia sana anifanyie manunuzi ya ghafla, yale ya emergency, jamaa aliingua bucha akachukua mifupa na minyama banana wewe, nilishangaa sana, wakati huu najisemea, nimeingia cha Kike, sasa hizi ni emergency na sijajilaumu sana.

Sasa ni kawaida kwa sisi wadau wa kupotea wiki mbili tatu, watu hata hawakudamu, wengine wanahoji wanakosa majibu maana ni kawaida kuwaonya wanafamilia kueleza alipo mzee mwenye nyumba. Hata mama mwenye nyumba anakulaga ovyo kuropoka.

Ilikuwa hivi, siku moja mshua nimejilaza, akaja mdau akaniulizia, WiFi enu si akajichanganya kuja kuniamsha eti kuna mgeni wako, au hata ile simu I apigwa na mwanafamilia eti unaniletea na mimi niongee.. Pambaffuu..ni kosa kubwa, kuongea na simu kwangu ninlazima nifanye maandalizi. Kwetu sisi tunaopenda kujifungia ni kosa mtoto kuja kukuita mzee Stoke na taulo...no sasa jamani huu ni utaratibu tu.

Kifupi nimejikuta nafurukutwa na maini,moyo,Figo mapigo siyaelewi ile kuona mtu anafwata kibiriti dukani kwa chuwa. Mara sijalaa sawa nyannya! Mamamaaee Mara tunguska shemzi kabisa.....

Niliita boda boda nikachukua peni na karatasi andika kila kitu, ofa yake imechangamka, nikasema potelea mbali. Neno moja kwa familia ikawa marufuku kwenda kwa Materu.

Ninwaambie wanangu wale tunapenda kwenda kwa mangi, initially aibu sana, tukilo moja moja ni vibaya, unadharaulika kila unapokuwa mmepanga foleni. Initia aibu mno.

Lamsiki
Mlevi huyu
 
Nyerere angeyajua hayo, baba wa watu asingejisumbua kudai uhuru
 
Walimu ambao husahihisha insha sijui ni wanajitoa sana kupitia kilicho andikwa au sijui wao ndio tatizo.

Kwa ujumla bado kasafari ni karefu kama Taifa.
 
Back
Top Bottom