Tabia ya kwenda kwenye maduka karibu na nyumbani kwako kununua tuvitu kama nyanya, Kitunguu inatia aibu sana

Wadau inawezekana tunatofautiana utaratibu wa kibajeti. Napenda kununua Michele, Mahindi,maharagwe, sukari, mavitunguu nk nk
Kwa sababu budget yako inakuruhusu kufanya hivyo....na wao ndipo walipofikia mkuu
 
Crap
 
Kwa sababu budget yako inakuruhusu kufanya hivyo....na wao ndipo walipofikia mkuu
Uzi unakimbia kama rocket 🚀 hii kitu inafanywa na wengi sana.

Wengi wetu tunaweza kujaza mahindi ,Michele, maharagwe, walau na mafuta.

Vingine haviwezekani
 
Ni mimi peke yangu ndiye sijaelewa au?
Uzi mmoja stori tatu na kichwa cha habari cha nne.
Mkuu sisi wa memkwa naona tunatoka kapa. Labda jamaa waliosoma international school watusaidie kuelewa. Nadhanii hii ni kwa wale waliosoma cuba tu.
 
Kumbe ndo akizungumzia hili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…