Tabia ya kwenda kwenye maduka karibu na nyumbani kwako kununua tuvitu kama nyanya, Kitunguu inatia aibu sana

njaa haina adabu,
nunua nyanya popote kapike msosi ule gentleman,

usije kuanguka kisa njaa kwasabb tu ya dhana potofu 🐒
 
Ni mimi peke yangu ndiye sijaelewa au?
Uzi mmoja stori tatu na kichwa cha habari cha nne.
😂😂😂 mara chuwa mara materu mara marufuku baba kutoka na taulo mambo tafrani 😂😂😂
 

Kwani si tunapishana siku za manunuzi??
Leo nanunua mimi vitu vya mwezi mzima kesho utanunua wewe.....
 
Ni mimi peke yangu ndiye sijaelewa au?
Uzi mmoja stori tatu na kichwa cha habari cha nne.
Dar es Salaam hutakiwi kuelewa kila kitu, mkuu hata ukirudia kusoma mara 10 hautaelewa kamwe
 
Mlevi huyu
 
Nyerere angeyajua hayo, baba wa watu asingejisumbua kudai uhuru
 
Walimu ambao husahihisha insha sijui ni wanajitoa sana kupitia kilicho andikwa au sijui wao ndio tatizo.



Kwa ujumla bado kasafari ni karefu kama Taifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…