Tabia ya Lema na heche kuwananga polisi wanaolinda mmikutano yao ikemewe!

Ndo maana ya chama pinzani, muda wote ni kupinga tuu
 
We mbona unakwepa mada
 
Kuna baadhi ya mambo tunaanza kuyaona kama ni kawaida kumbe ni kutweza utu wa mwanadamu.
Polisi anakulinda live kwenye mkutano halafu unaamua kumdhalilisha.
Binafsi nashangaa hawa Polisi wetu vipi?
 
Kuna baadhi ya mambo tunaanza kuyaona kama ni kawaida kumbe ni kutweza utu wa mwanadamu.
Polisi anakulinda live kwenye mkutano halafu unaamua kumdhalilisha.
, ILA KUWAELEA UKWELI SAWA, SIYO KUWATUKANA HAPANA
 
Kupinga sio kudhihaki wajifunze ustaarabu wa Kitanzania
Ustaarabu Gani wa kitanzanja wakati wanaowatuma..wananunua viwanja kwa billions of money kwa kodi za wananchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…