Auto-Marvelt
JF-Expert Member
- Jul 13, 2019
- 2,661
- 5,583
Wanaolinda dhidi ya nani???
Matendo yao police ndiyo yanayodharaulisha Jeshi la Police. Walichokifanya Kisutu tarehe 24 April 2025 ni muendelezo wa ushahidi usiotia shaka kwamba wao ni majambazi yanayovaa uniform na nembo za police. Hakuna ubishi kwamba kumkemea jambazi siyo kutweza au kudhalilisha utu wake!Kuna baadhi ya mambo tunaanza kuyaona kama ni kawaida kumbe ni kutweza utu wa mwanadamu.
Polisi anakulinda live kwenye mkutano halafu unaamua kumdhalilisha.
Mbona wao wanatweza utu wetu,chuki wamepanda wenyeweKuna baadhi ya mambo tunaanza kuyaona kama ni kawaida kumbe ni kutweza utu wa mwanadamu.
Polisi anakulinda live kwenye mkutano halafu unaamua kumdhalilisha.
Usitake nielewe unavyotaka ,watacharuriwa tuelewa mada
Inasikitisha sanaNdo maana ya chama pinzani, muda wote ni kupinga tuu
Wanachoambiwa na kina Heche ni kuwa CCM imeshindwa kuwapa maslahi bora, imeshindwa kuwapa nyumba bora wanaishi kwenye vibanda na wakistaafu wanakutana na kikokotoo cha mwendokasi na bado wanatumika kuwaumiza wapinzani. Sasa hapo nani ni mdhalilishaji?Kuna baadhi ya mambo tunaanza kuyaona kama ni kawaida kumbe ni kutweza utu wa mwanadamu.
Polisi anakulinda live kwenye mkutano halafu unaamua kumdhalilisha.