KERO Tabia ya Shule kuchangisha pesa za mitihani kila wiki inakithiri, Walimu wameifanya kuwa mtaji

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
kama unaona elimu ni nghali , basi jaribu ujinga.
 
Karibu shule zote za msingi hapa Dar zinachangisha michango ya mitihani kila wiki.Na kiwango chq pesa ni kuanzia 1000 hadi 2000 kutegemea tu na eneo husika.Lakini ukiondoa pesa hiyo ya mitihani ya kila wiki pia kuna pesa ya masomo ya asbh(Hii shule zingine huiita speed test)na kiwango ni kuanzia 200 hadi 500 kutegemea na eneo husika.
Habari ndio hiyo na hiyo ndio habari.
Ccm ooyeeee
 
Kuna jamaa fulani wa platform inaitwa Wachokonozi kama sikosei alizungumzia jambo fulani kuhusu watu wengi kuzaliwa na wahuni, Akimaanisha kama wazazi wako wakishindwa kukupatia malezi yenye ubora na kukutosheleza kimahitaji basi ulizaliwa na kikundi cha wahuni ambao hawakujiandaa na kuwajibika.

Nilimuelewa sana jamaa.
 
Wewe lipa mwanao apate elimu nzuri vinginevyo endelea kuandaa mpiga kura. Private huku unalipa ada kubwa unalipa remedial kisha unalipa special program sasa najiuliza darasa la nne yote hayo atayasoma saa ngapi?
 
Polisi na wauguzi nao vivyohivyo
 
Acheni hiyo tabia,shule ya msingi Mizimbini,iliyo Kibada na shule ya msingi Kibada,wana tabia hiyo....kama hamtaki kutoa mitihani simuache? Kwani mmelazimishwa?
Kama haujapenda nenda shule husika kaongee na mwalimu mkuu mwanao asifanye hiyo mitihani.Wala mwanao hataguswa maana unaonekana unakwepa jukumu la kuhudumia elimu ya mwanao acha wale watakaoweza waweze kupata maandalizi mazuri usitake mkose wote.Elimu nzuri ni ghali kabla haujafikiria kuongeza familia fikiria pia elimu ya mwanao.
 
Watakula wapi wapo sawa kabisa halafu hapo kila mwalimu ni mwanachama wa ccm.... Sasahiv ukiwa mkosaji jisajili kwanza chamani zen mpango mzima pigeni pesa walimu mmezulimiwa sana
 
Huwa mnalipanshilingi ngapi Kwa wiki?
 
Mimi Nina ushahidi kabisa kwasababu nimepitia huko ndio maana sikutaka mwanangu kupeleka huko. Hiyo shule si hitaji jina iko mjini kabisa Dar es salaam
 
Mwalimu amekukabia juu ashaona mashambilizi yanaatalisha uhai tumbo lake mkuu.
 
Mbuzi hula kufuata Urefu wa kamba.
 
Kama wakati unazaa uliishirikisha serikali endelea kusubiri matamko! Timiza wajibu wako pambana mwanao apate elimu bora.....
Watanzania bado tuna safari ndefu sana.

Nilichogunduwa ni kwamba 90% za Watanzania akili ni viazi.
 
Hakuna Cha Bure Dunia ya sasa ulitaka mitihani ifanywe bure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…