Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Polisi na wauguzi nao vivyohivyoShule nyingi za Msingi na hata Sekondari zimejitengenezea utaratibu wa kuwafanyisha mitihani wanafunzi hasa walio katika mwaka wa mitihani ya Taifa kama Darasa la Nne, Saba, kidato cha pili na nne. Shule hizi hulazimisha wanafunzi kuchangia mitihani hiyo ambayo huifanya kila Jumamosi. Wanafunzi wasiochangia mitihani hiyo huadhibiwa au kujengewa uadui mkubwa na walimu
Shule ya Msingi Darajani iliyopo Kigamboni ni moja ya shule zenye hii tabia ya wanafunzi kuchangishwa pesa za mitihani. Yaani wao kila wiki ni mitihani, halafu Walimu hawasahihishi mitihani ila inasahihishwa na hao hao wanafunzi wanaofanya mitihani. Walimu wao wanaangalia pesa tu.
Mzazi unalipa pesa ya mitihani lakini cha kushangaza mitihani ikiletwa ukikagua unakuta mtoto kakosa ila kawekewa tiki, ukimuuliza anakuambia wanaosahisha ni wanafunzi wenzetu.
Naombeni na hili mlifikishe mtandaoni na mamlaka husika ili hatua stahiki zichukuliwe.
Kama haujapenda nenda shule husika kaongee na mwalimu mkuu mwanao asifanye hiyo mitihani.Wala mwanao hataguswa maana unaonekana unakwepa jukumu la kuhudumia elimu ya mwanao acha wale watakaoweza waweze kupata maandalizi mazuri usitake mkose wote.Elimu nzuri ni ghali kabla haujafikiria kuongeza familia fikiria pia elimu ya mwanao.Acheni hiyo tabia,shule ya msingi Mizimbini,iliyo Kibada na shule ya msingi Kibada,wana tabia hiyo....kama hamtaki kutoa mitihani simuache? Kwani mmelazimishwa?
Kama wakati unazaa uliishirikisha serikali endelea kusubiri matamko! Timiza wajibu wako pambana mwanao apate elimu bora.....Ndy serikali itoe tamko kama ni ada tulipe kuliko kufanya utapeli
Sina mtoto ambae yuko hukoMwanao hawezi kuwa mwanafunzi wangu.
Watakula wapi wapo sawa kabisa halafu hapo kila mwalimu ni mwanachama wa ccm.... Sasahiv ukiwa mkosaji jisajili kwanza chamani zen mpango mzima pigeni pesa walimu mmezulimiwa sanaShule nyingi za Msingi na hata Sekondari zimejitengenezea utaratibu wa kuwafanyisha mitihani wanafunzi hasa walio katika mwaka wa mitihani ya Taifa kama Darasa la Nne, Saba, kidato cha pili na nne. Shule hizi hulazimisha wanafunzi kuchangia mitihani hiyo ambayo huifanya kila Jumamosi. Wanafunzi wasiochangia mitihani hiyo huadhibiwa au kujengewa uadui mkubwa na walimu
Shule ya Msingi Darajani iliyopo Kigamboni ni moja ya shule zenye hii tabia ya wanafunzi kuchangishwa pesa za mitihkukani. Yaani wao kila wiki ni mitihani, halafu Walimu hawasahihishi mitihani ila inasahihishwa na hao hao wanafunzi wanaofanya mitihani. Walimu wao wanaangalia pesa tu.
Mzazi unalipa pesa ya mitihani lakini cha kushangaza mitihani ikiletwa ukikagua unakuta mtoto kakosa ila kawekewa tiki, ukimuuliza anakuambia wanaosahisha ni wanafunzi wenzetu.
Naombeni na hili mlifikishe mtandaoni na mamlaka husika ili hatua stahiki zichukuliwe.
Huwa mnalipanshilingi ngapi Kwa wiki?Shule nyingi za Msingi na hata Sekondari zimejitengenezea utaratibu wa kuwafanyisha mitihani wanafunzi hasa walio katika mwaka wa mitihani ya Taifa kama Darasa la Nne, Saba, kidato cha pili na nne. Shule hizi hulazimisha wanafunzi kuchangia mitihani hiyo ambayo huifanya kila Jumamosi. Wanafunzi wasiochangia mitihani hiyo huadhibiwa au kujengewa uadui mkubwa na walimu
Shule ya Msingi Darajani iliyopo Kigamboni ni moja ya shule zenye hii tabia ya wanafunzi kuchangishwa pesa za mitihani. Yaani wao kila wiki ni mitihani, halafu Walimu hawasahihishi mitihani ila inasahihishwa na hao hao wanafunzi wanaofanya mitihani. Walimu wao wanaangalia pesa tu.
Mzazi unalipa pesa ya mitihani lakini cha kushangaza mitihani ikiletwa ukikagua unakuta mtoto kakosa ila kawekewa tiki, ukimuuliza anakuambia wanaosahisha ni wanafunzi wenzetu.
Naombeni na hili mlifikishe mtandaoni na mamlaka husika ili hatua stahiki zichukuliwe.
Mimi Nina ushahidi kabisa kwasababu nimepitia huko ndio maana sikutaka mwanangu kupeleka huko. Hiyo shule si hitaji jina iko mjini kabisa Dar es salaamKama wanasahisha wenyewe kwa wenyewe walimu waje watuambie lengo la hiyo mitihani kama ni tofauti na kupima uelewa au uwezo wa wanafunzi waseme ni kwa kiwango gani mwalimu anaweza kuimprove ufundishaji wake kwa kuzingatia mahitaji ya wanafunzi au wanafundisha kwa mazoea
Shida siyo ghali kipi wanapata kwa pesa wanazo toa mbona ufaulu hauwongezeki.kama unaona elimu ni nghali , basi jaribu ujinga.
Mwalimu amekukabia juu ashaona mashambilizi yanaatalisha uhai tumbo lake mkuu.Angalia na huyu anaongea kama amekatwa kichwa. Aise nchi hii ndiyo maana viongozi wanawadharau sana wananchi kwasababu ya watu kama nyinyi.
Sasa hapa unaona umetoa bonge la hoja yaani. Au wewe ndio mwalimu mwenyewe unayechangisha michango iliyopigwa marufuku ili tu ikupunguzie ugumu wa maisha?
Wewe unajua mimi niko wapi?Sina mtoto ambae yuko huko
Shule za kataWewe unajua mimi niko wapi?
Mbuzi hula kufuata Urefu wa kamba.Shule nyingi za Msingi na hata Sekondari zimejitengenezea utaratibu wa kuwafanyisha mitihani wanafunzi hasa walio katika mwaka wa mitihani ya Taifa kama Darasa la Nne, Saba, kidato cha pili na nne. Shule hizi hulazimisha wanafunzi kuchangia mitihani hiyo ambayo huifanya kila Jumamosi. Wanafunzi wasiochangia mitihani hiyo huadhibiwa au kujengewa uadui mkubwa na walimu
Shule ya Msingi Darajani iliyopo Kigamboni ni moja ya shule zenye hii tabia ya wanafunzi kuchangishwa pesa za mitihani. Yaani wao kila wiki ni mitihani, halafu Walimu hawasahihishi mitihani ila inasahihishwa na hao hao wanafunzi wanaofanya mitihani. Walimu wao wanaangalia pesa tu.
Mzazi unalipa pesa ya mitihani lakini cha kushangaza mitihani ikiletwa ukikagua unakuta mtoto kakosa ila kawekewa tiki, ukimuuliza anakuambia wanaosahisha ni wanafunzi wenzetu.
Naombeni na hili mlifikishe mtandaoni na mamlaka husika ili hatua stahiki zichukuliwe.
Watanzania bado tuna safari ndefu sana.Kama wakati unazaa uliishirikisha serikali endelea kusubiri matamko! Timiza wajibu wako pambana mwanao apate elimu bora.....
Nafanya nini kwenye shule za kata?Shule za kata
Mwanao asingekuwepo huko kwenye shule za 200, usingeshupaza shingo kwa kusema hizo fedha zinatumika kama mitaji.Sina mtoto ambae yuko huko
Hakuna Cha Bure Dunia ya sasa ulitaka mitihani ifanywe bureShule nyingi za Msingi na hata Sekondari zimejitengenezea utaratibu wa kuwafanyisha mitihani wanafunzi hasa walio katika mwaka wa mitihani ya Taifa kama Darasa la Nne, Saba, kidato cha pili na nne. Shule hizi hulazimisha wanafunzi kuchangia mitihani hiyo ambayo huifanya kila Jumamosi. Wanafunzi wasiochangia mitihani hiyo huadhibiwa au kujengewa uadui mkubwa na walimu