Tabia ya vijana wa Arusha kugeuka Omba Omba na kujiuza kwa Watalii inadhalilisha sana!!!

Kipochi manyoya anapata kweli kama habari zake zimesambaa huko?
 
Sina hamu nao hao majamaa.tumekubaliana elfu 20 kupakia na kwenda kushusha mzigo marangu mtoni walipo malizia kushusha wakadai kazi ngumu wanataka 50 mixa kutoleana na mapanga
Aisee
 
Inachekesha na kusikitisha sana.
 

Umenikumbusha shauri la Mfereji Maringo,
Yarambwa bila mpango😄😄😄
 
Itasikitisha sana endapo hizi taarifa zitakua na ukweli...
 
That's what we are saying. Unapiga kekele tu "Panya Road",lakini hujui matatizo ni nini.
 
Acheniii ureeee nyiee makengeee.....story za vijiweni hazina uwalisia.nimezaliwa chuggaa nimekulia chugaa.huo usoroo unaosema sio machali og wachuga wanao fanyaa.kumbukaa wageni wamekuwa wengii Sana chuga kuna watoto wa dar es salaam(kikosi Cha mapunga),Kuna watoto wa kitangaa,morogoro wote wamefata fursaa za utalii,so wanaliwa ndogo kutokana na Michingo Yao ya huko walio toka.tatizo nyie watoto wa 2000 mnawenge Sanaa,Arusha og tuliondoka nayo 1980's to 1990's hiyo ndo ilikuwa arusha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…