Tabia ya vijana wa Arusha kugeuka Omba Omba na kujiuza kwa Watalii inadhalilisha sana!!!

[emoji23][emoji23][emoji3][emoji23][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23]
 
Sasa mtu dreva aseme Davoo useme zimetimia si bora wanyakyusa wanasema dereva huku waha wakisema dureva wangoni wanasema direva
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna Mcheza Soka wa CROATIA - Davor Suker - alivuma sana WC 1998 akifunga goli 6 ktk mechi 7....aliwahi kukipiga Arsenal... Madereva wa R ndo wakaCopy

Umenipa elimu mujarabu
 
Acheniii ureeee nyiee makengeee.....story za vijiweni hazina uwalisia.nimezaliwa DAR ES SALAAM na nimekulia DAR ES SALAAM.huo usoroo unaosema sio machali og Dar wanao fanyaa.kumbukaa wageni wamekuwa wengii Sana Dar kuna watoto wa chuga(kikosi Cha mapunga maana ndio chimbuko lilipoanzia),Kuna watoto wa kitangaa,morogoro wote wamefata fursaa ,so wanaliwa ndogo kutokana na Michongo Yao ya huko walio toka.tatizo nyie watoto wa 2000 mnawenge Sanaa, itoshe kusema ivo hata Dar nayo nyinyi watoto wa chuga ndio mmeiharibu maana mapunga mengi ukiyauliza yamezaliwa wapi utasikia chuga shenzi kabisa mnatuaribia mkoa wetu sisi wazaramo hatunaga izo mambo kabisa
 
Over
 
Chuga Mapunga Kama yote. hata Zanzibar wamasai wanapasuliwa mpaka aibu. Arusha mjitafakari
 
Na kama na wewe umekulia na kuzaliwa chuga na kwa uandishi huo bila shaka umefuga rasta na ni mtembeza watalii na sifa yako kuu ni kupenda kitonga kwa watalii kwa kigiriki...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…