Tabia ya vijana wa Arusha kugeuka Omba Omba na kujiuza kwa Watalii inadhalilisha sana!!!

Chuki binafsi tu suala la ushoga Ni current ishu kwa almost mikoa yote dsm nazani ndio yyheadquter kuhusu kuomba omba hakuna mkoa utaenda ukose omba omba by the way mtoa mada una lako Jambo kuitolea mfano Arusha wakikusanya nini hao machalii wa ara tuanzie hapo
 
Mbona kama wajisema maana details mmmmh
 
Aisee, noma sana.
 
Nakuhakikishia Unadhani ni vijana wa Arusha ila ni Tabia ya vijana wa nchi nzima....nenda Zanzibar utaona.

Hiyo mitaa wamejazana vijana toka kila mikoa.
Zanzibar hadi wamasai wanaliwaa jicho
 
Mashoga ya dar yameamia R baada ya mama yao kutoka visiwani kuwambia kuna fursa huku njooni mliwe
[emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] watu wana maneno khaaah
 
Nyie mmezidi na kushobokea wazungu mpaka manguo wakichakaa ya wazungu unavaa eti ujanja wavivu usela mavi tu kupelekewa moto daily then mnapewa vitu kama viatu ,makoti Yale kama bodaboda
Nenda pale chin plaza uone vijana wa Arusha hawajielewi uhuni wa kithenge nilinunua nguo mmoja pale tukafahamia likaanza kuombe Hela kama jidemu
 
Kuna Mcheza Soka wa CROATIA - Davor Suker - alivuma sana WC 1998 akifunga goli 6 ktk mechi 7....aliwahi kukipiga Arsenal... Madereva wa R ndo wakaCopy
Safi Sana, mwaka ule Mimi nilivutiwa na Croatia Hadi nikawa mshabiki wao kisa davor suker!

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna Mcheza Soka wa CROATIA - Davor Suker - alivuma sana WC 1998 akifunga goli 6 ktk mechi 7....aliwahi kukipiga Arsenal... Madereva wa R ndo wakaCopy
Pamoja na real Madrid mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…