Tabia ya vijana wa Arusha kugeuka Omba Omba na kujiuza kwa Watalii inadhalilisha sana!!!

Sio vijana wote wa Arusha bro ni wachache wasiokuwa na akili Lkn usijisahaulishe Zanzibar vijana wanavuliwa ubingwa sana bro na hata hapo sinza na tabata vijana wanaliwa sana kwa chupa za Moet na Hennessy.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa Waswahili ndio zao, wanachojua ni MIPASHO na MICHAMBO kama mama zao

Wameandika Uongo na Uzushi mtupu kuwafananisha vijana wa Arusha na hao wabana pua na mapaja wa Dsm [emoji23][emoji23]
Ngoja tuwachore hapa, sie tunawalia ganzi hao masoro
 
Wanajifanya wahuni sana ila Man 2 Man ni weupe m1 nilimzaba vibao kama mtoto wangu! Ila kabla ya hapo alikua anafoka kama kobra
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…